Kumbaff kweli, wenzake wanaweka vitu hewani na kuhamasisha tuvipakie yeye ana block!
Mbona inaonekana kama ni issue ya copyright?
"This video contains content from Spice Digital South Africa, who has blocked it on copyright grounds."
Kumbaff kweli, wenzake wanaweka vitu hewani na kuhamasisha tuvipakie yeye ana block!
PoleNgoja niitafute Umeme ukirudi.....!
Aswa pale kidume kinavyo kusanya virago vyake na kuweka kwenye box... Hahahahaaaa nimecheka sanaNimee angalia video nzima eatv daa kwa jinsi nilivyo elewa ni kama kiboom kwa Gardner..!!