Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Mbona mimi inagoma kucheza naambia copyright owner ame block any other link please
 
Jide Kiboko kabisa...kumahaja ya petition kuishinikiza mawingu radioo kucheza nyimbo zote bila ubaguzi
 
Jide Kiboko kabisa...kumahaja ya petition kuishinikiza mawingu radioo kucheza nyimbo zote bila ubaguzi[/

Alikataa .wenyewe kuwa wasicheze nyimbo zake na akifa wasiende kumzik,she's so arrogant,Hapendi Suluhu,hii mbingu tunayoitafuta sijui ni mbingu gani
 
The crown is yours mama.......
Jide haimbi wimbo ambao utausahau kirahisi maana yakikukuta lazma utautafuta NA ndio maana wimbo wake wa machozi hauifi kwa kuwa ukipigwa NI kama uliitolewa jana...
Wimbo NI mzuri sana huu kwa sauti, ala na ujumbe wake..

Nilikuwa nimeshachoka na nyimbo za wasanii wa sasa.mapenzi tuuu kama tunapeana lecture darasani na swaga zao za Nigeria..hii ni ladha ya bongo flavour..AHSANTE JIDE

SHE IS A SOUL MATE SONGTRESS
Mkuu kumbe unazijua nyimbo zinazodumu wewe huyu mwanadada namkubali sana huwa anauchuna akitoka na kitu kinakuwa cha ukweli sana sio kama wale wanaotupigia makelele tu
 
Uko powa waipe promo tu, gadna akikaza pale e FM huku ruge km kawaida yake inaweza isifike mbali
Kwani sisi tumeusikia huko kwa hao wachawi?Jide ni balaa usipopigwa kwa radio utapigwa kwa TV
 
Naona Jide anatumia nguvu kubwa sana kurudi. Mbona tu kama angetoa singo ya kueleweka watu wangetambua tu. Oooh naamka tena, nani alisema amelala?
Nguvu kubwa kivipi Mkuu?usije ukalinganisha na kazi yako ya kubeba zege Mkuu?kule ni maufundi na kipaji mkuu
 
Nyimbo haina kichwa wala mguu...eti chizi hua haponi ..sijui mirembe nakushusha....!!?!?!?!?!....ndo umeamka tena haaaa haaaa haaa kazi kweli kweli
Ujuaji ukizidi mwisho huwa fala....................
 
Soko la mziki limebadilika inabidi watu wengi wabadilike ili kwenda sawa na soko ila kwa mwanadada huyu ni tofauti sana. ..soko ndo inabidi libadilike ili liende sawa na yeye. ...ndi ndi ndi. ...bongo ni wasanii wawili wanaoweza kwenda likizo na bado masikio ya washabiki wa music wakawasubiri warudi. ...lady jadee na ally kiba tu. ...yeyote atayethubutu zaidi ya hao basi akienda likizo aende na kufatilia mafao ya pensheni ya music
 
Niliwahi kuweka post hapa kwamba Jaydee ana tabia ya kuwatungia nyimbo watu anaogombana nao nikatoa na mifano hai lakini #Team jide hasa wale waliokuwa wanaenda kuliwazwa na bendi yake pale Zhong hua garden karibu na Morroco waliniandama mno...!
Sasa baada ya kimya kingi na misuko suko mingi katoka na wimbo wa ndii ndii ndiii humo ni full kulialia


Sasa mshana kasikilize taarabu za mipasho huko hakuna kulia lia huyu jide a.k.a commando kipens tuachie sisi.... Jide hana mambo ya kinafiki anaimba fact zenye uhalisia kuanzia machozi- ndi ndi ndi sio wale watoto wanaimba kama wamarekan kumbe hata baiskel havina
 
Nisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom