Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,697
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndii ndii ( kashachukua dvd)Umeongea vizuri sana,hivi kwenye ile kesi yao mahakama iliamuaje,maana Gadna anahitaji fidia amepotezewa muda sana, na pia kwa kuchuma mali alishiriki kwa kiasi fulani ana certain percent ya mchango wake...