Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ni ngumu kuelewa kama ambavyo ni ngumu kuelewa maana ya ID yako....Nisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
Ni ngumu kuelewa kama ambavyo ni ngumu kuelewa maana ya ID yako....Nisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
Mimi huwa natofautiana sana tena sana kwenye mambo mengi na Jide lakini linapokuja swala la kuimba hapo ndipo hunishinda kabisa!
Sasa kwenye hii Tobiii ndi ndi ndi...kaniacha hoi kabisa nimemkubali hakika nimejikuta nausikiliza kila muda!
Hongera Jide..
Ila naamini akiimba taarab atatoka tena. Mipasho anaijua sana.Yani im very disappointed in Jide. Mziki wa bongo flavor umefika mbali sana. Mipasho amuachie Neema ambae tulishamzoea.
Hakustahili fanya alichofanya. Ila ataelewa tu...hapa ndipo tunaponyooshana.
Huyo amenunua hana lolote. Wewe huoni mpaka ameleta hiyo link ya jide akisema yeye ni team mibaKwanza sijawahi kukununia,ever!
Ila huwa nakupuuza maana nalijua povu lako kama hivi tu tayari ushajaa upepo.
Bado tu unaendelea kunihisihisi?
Siku hizi nimeacha ile kazi ya reception hotelini uliyonipa?
Mwache alie, ndio majaliwa yake!!kwa hiyo unamuonea wivu?!
Sio kushoto pembeni....!Na we ni za kushoto? Hawayu?
Una uhakika anamuongelea G?Umefurahia mwanaume mwenzio Gardner anavyopigwa madongo?
Teh Teh .....Nyimbo = wingi
wimbo = umoja.
Huu ni wimbo mmoja.
kiswahili sahihi: Wimbo mzuri
Next time ntakuchaji tuition fee
Teh Teh na umesha mshusha mirembe!chizi huwa haponi
Jamani no answer au hamjui kilugha cha jay deeNisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
Hili wala halihitaji kwenda shule. Mdada kwa mipasho pale ndo nyumbani kwake.Una uhakika anamuongelea G?
hiyo E fm, hata ngerengere haipo kizuri hakijitangaziTz ina vituo 100 vya Redio au vi 2 tu??
The ndi ndi ndi...khaaa huyu mwanamke ni mchawi asiee, yeye hana papara anaimba tuThe good thing about jide ni kuwa she just does good music.....It doesnt matter what the nigerians and south africans want...She gives us good music... Sasa wale wabongo wanaosubiri approval toka nigeria na south africa ili wauone mziki mzuri wakae kimya tu and let us enjoy good music....Ndi Ndi Ndi.....This shit is fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
nnavyo roll, nnavyo flow ,nnavyo grow the ndi ndi ndindi natori=mimi ni kitu, wewe sio kitu! bango kwa gadner!, then jide says... milembe nimekushusha, na geti limefungwa! naondoka ndi ndi ndi!