Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Kwanza sijawahi kukununia,ever!Inanichomaje hadi nijinyonge kwa mfano, hayo ni mawazo yangu na si sheria wala biblia au msahafu ni juu yake/yako kuyaamini au kutokuyaamini. Hebu tuyaache hayo, vipi mimba feki imeishia wapi ??? ( mimba ya wema a.k.a bosi wako na wewe kama " wema replies" jina unalotumia Instagram, siamini kama utanuna kama ulivyoninunia na leo bahati mbaya ume quote )
Ila huwa nakupuuza maana nalijua povu lako kama hivi tu tayari ushajaa upepo.
Bado tu unaendelea kunihisihisi?
Siku hizi nimeacha ile kazi ya reception hotelini uliyonipa?