Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Last edited by a moderator:
jamani wewe mkaka hujui kuwa huyu ndugu yangu ameshaolewa?
sasa nakupa taarifa tambua my cousin Lady doctor ni mke wa Arushaone
hivyo kaa naye mbali kabisa na wala hondoa hayo mawazo mgando
Ndo maana warembo sana mi siwataki
Tizama Arushaone anavopata presha sasa...
Yaani kila mwanaume anamtaka huyu mrembo!
Ndo maana warembo sana mi siwataki
Tizama Arushaone anavopata presha sasa...
Yaani kila mwanaume anamtaka huyu mrembo!
huyo doctor wake ni matata!! huwa anamchoma hadi sindano..
halafu kwa taarifa yako mimi na Passion Lady ni mapacha wakufanana sasa sijui utakuwa umeepuka nini!
bebi nishazichanga tayari...
nataka twen'zetu huku tukale maraha...
we sema tu wapi nikupeleke
pacha we muache Eli79
azichange tutamchanganya
asijue my love wake kati yetu ni nani
c unakumbuka tulipokua watoto?atakomaje!!
okay usijali come
zis way beibe,ututambue
mie na Lady doctor nani ni nani
coz tumefanana sana!!
hahahaaa...... Ndiyo hapo sasa atakapo jibeba atajiona anatoka na wewe kumbe yupo na mimi ngoja aje tumtobolee mifuko
pacha mi sitaki twende wote nataka kila mtu amchune kwa wakati wake, we nenda kaanze nae mi nitakuja kufanya finishing
kumbe hutaki tutoke wote e! basi tufanye kila mtu na zamu yake...afu nnavofurahi kuchunwa na warembo mie!
kumbe nyie mapacha mnaofanana? hamna shida, tutakuwa tunatoka wote...mimi, weye na mchuchu wangu...usije ona wivu tu
okay usijali come
zis way beibe,ututambue
mie na Lady doctor nani ni nani
coz tumefanana sana!!
hahahaaa...... Ndiyo hapo sasa atakapo jibeba atajiona anatoka na wewe kumbe yupo na mimi ngoja aje tumtobolee mifuko
pacha mi sitaki twende wote nataka kila mtu amchune kwa wakati wake, we nenda kaanze nae mi nitakuja kufanya finishing
pacha ako kasema hamna kuongozana watatu..tutaanza mimi na weye then yeye!
ndio maana yake
utajiju mradi acc isome!!
kaniahidi kuninunulia gari aina
ya candy shop,unaijua!!