Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Lady doctor naomba tuwe wapenzi

jamani wewe mkaka hujui kuwa huyu ndugu yangu ameshaolewa?
sasa nakupa taarifa tambua my cousin Lady doctor ni mke wa Arushaone
hivyo kaa naye mbali kabisa na wala hondoa hayo mawazo mgando
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.

Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua mwanaume anataka nini.

Kwa kweli ukinipa nafasi nitashukuru sana. Nimeona nisikutumie PM, ila niandike humu, ili hata wanabodi waweze nao kunisaidia.

Lady doctor nakupenda na nahitaji nianzishe familia nawe, naomba ukubali ombi hili...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom