Gozi gumu,
..
Mkuu soma maandiko yako utaona jibu umeliandika mwenyewe.. Ametajwa na nani kisha unasema Ametajwa kuhusika na.. wewe umeipata wapi hiyo kama hakutajwa..
Hoja ilikuwa Dowans na sio Richmond! na kama haya mashirika hayahusiani imekuwaje kesi ya Dowans yarudishwe maswala ya Richmond ambayo kesi imekaliwa bungeni..Je, mnakubali kuna uhusiano..au?..
Hakuna hata sehemu moja ya maelezo ya kamati ya Nishati na madini (Mwakyembe) kuhusiana na Dowans wamegusia Richmond au hata kumtaja Rostam isipokuwa Dowans na kile walichokuwa wakiuza..Leo yeye karudishiwa kesi nzima ya Richmond wakati hakuna mtu aliyeuliza kuhusiana na Richmond.. mbona hamtaki bunge ilizungumzie swala la Richmond tena kesi mmeifunga tayari..Kama kweli mnataka ushahidi na ukweli kuhusiana na Richmond liambieni Bunge lifungue mara moja kesi ya Richmond tutamjua mchawi nani!..Ya Dowans yabakie Dowans na utapeli wake..Na mkitaka kuunganisha yote then hata Mwakyembe ana haki ya kuunganisha toka kule anakokufahamu yeye iwe hata Igunga!
Mkandara, Pengine hukuwa mfuatiliaji mzuri wa hili sakata. Huku kuchafuana kumeletwa na gazti kusema kuwa Mwakyembe hatueleza kuwa alikuwa na intererst wakati akitumikia Kamati ya Richmond Fullstop.
Current issue ya Dowans kamati ya Mwakyembe haikuwa muhusika bali ya Zitto na ya Shelukindo, umeelewa?