Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

Kuna tetesi ambazo nimezisikia hapa, nasema tetesi kwasababu siwaamini wanaozisema. Wanasema Dr. Mwakyembe anatafuta njia ya kuhamia CHADEMA.

Wanasema kwenye mkutano wa leo yule kijana wa CHADEMA aliyewahi kuwekwa ndani wakati ule wa ziara ya JK ndiye alikuwa mbele katika waandaaji. Pia wanataja uhusiano wa Dr. Mwakyembe na Mbowe pamoja na Mengi kama sababu za kuamini hivyo.

Ninachofahamu Mengi anauhusiano zaidi na CCM kuliko chadema, na hata amekuwa akifanya ziara na wabunge wa CCM, kwa chadema sijawahi sikia. Au ndio wale mnaotaka kuomgombanisha Mengi na Mkuu wa nchi? sentensi yako inamaanisha mengi ni mdhamini wa chadema
 
Mwakyembe inaelekea kuwa yuko so bitter...yaani vagi lake na Rostam juzi jumamosi alilihamishia kwenye fainali ya kombe la NSSF kwenye mechi ya timu ya UHURU v/s HABARI CORP.

So sad huyu jamaa nilikuwa namheshimu miaka ileee alipokuwa na kile kiofisi chao cha LEGAL AID na Dr MVUNGI pale kwenye jengo la SUKITA enzi hizo Mwakyembe alikuwa ni mtu kweli kweli sasa tangu aingie kwenye siasa amekuwa kama mwehu vile

Mpka leo sielewi what was the point ya kupandishana pesa jumamosi...lakini ndio hao wanasiasa wetu

AMA KWELI PESA MWANA HARAMU

Lakini hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye ni miongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za Rostam wakati wa Kampeni sasa leo hii asitake kujidai yeye ni msafi kuliko wote.

In short Rostam ni kama Nyerere tena naweza kusema zaidi kwenye hii game ya Politics za TZ, Maana mwalimu yeye alikuwa ni mcheza Game kwenye politics tuu lakini Rostam ni mpaka Biashara in other words HE OWNS THE CURRENT RULING ELITES na hawana cha kumfanya baada ya kula pesa zake

So Mwakyembe should spare himself further embarrassment kuendelea kutukanana na mtu ambaye hamjibu except ana rewind ule mkanda wa makabidhiano now and then

Mwisho zaidi nasema I CANT KNOCK ROSTAM'S HUSTLE....jamaa ni mtafutaji na anaitumia opportunity anavyoona itamnufaisha

Ugonjwa wetu mnajua tatizo lake lilianzia wapi na dawa yake wote mnaijua

HUYU JAMAA ni mswahili mwenzetu kweli??????? maana hiyo lugha aliyotumia inatia mashaka, kajipange upya, STORY yako haieleweki na KAMWE huwezi kumlinganisha RA na Nyerere USHINDWE NA ULEGEEE
 
Kinachoimaliza hii nchi ni watu kuogopa kuambiana ukweli. Kuna watu wanaamini kabisa kwamba ni kosa kumwambia mtu hadharani kwamba wewe ni mwizi hata kama kila mtu anajua hilo. Eti ni tusi kumwambia mtu umeshindwa kufanya kazi yako, achia ngazi. Eti kwa vile wote tuko chama kimoja basi hata tukifanya kinyume na matarajio ya waliotuweka kazini tulindane tu tuwadanganye wananchi kwamba wote tu safi.

Nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya kulindana na kufichiana maovu. Tunahitaji mtu mwenye ujasiri wa kusema HAPANA pale ambapo mambo yanatendwa kinyume na malengo. Mfano mzuri ni usanii unaofanywa na mwenye nchi na watu wake; tunataka ujumbe umfikie kwamba tabasamu zake haziipeleki nchi mbele tunataka aachie wenye uwezo wa kuongoza waichukue nafasi yake. Ni nani wa kumfikishia ujumbe kama huo?? Na je akiambiwa hilo mtasema katukanwa?

Kwani Mwakyembe amekuwa kwenye ubunge vipindi vingapi hadi sasa? Kuna wengi tu wamekuwepo bungeni tangu enzi lakini nchi inaibiwa na wao wako pale kupiga makofi na uitikia ndio mheshimiwa. Unafikiri hiyo itatusaidia nini? Sema Dr. Mwakyembe, kaa nao huko huko ndani ya chama ila wavurumishe hasa. Tunataka na wengine wenye nguvu kama za Dr. wajitokeze tumechoshwa na wizi na uzembe wa wanasiasa wanaojifanya wajamaa. Kama unaogopa kutukanwa matusi ya nguoni basi kuwa mwadilifu, chapa kazi na acha wizi. Vinginevyo acha hiyo kazi au tutakusema hadharani.

Kwa nini mtu tunayejua wazi ni mwizi aitwe MHESHIMIWA??????? Eti Mh RA, Mh EL, Mh. Chenge, the list is endless! they can hang themselves if they can't live without the Mh.
 
Anayesimama na kutetea maslahi ya nchi kaishiwa kisiasa, na yule anayesimama na kuweka maslahi ya CCM mbele badala ya yale ya nchi kama akina Chiligati na Malecela ndiyo wanaonekana wanasiasa wanaokubalika!!! Kazi kweli kweli!!!!

KAISHIWA, aongee hoja sio kuendeleza malumbano, atupe fact wizi gani kafanya RA, atamke wazi kuwa yeye ndio KAGODA, TANGGOLD NAKADHALIKA hizo sifa za RA kuwa mwizi kila mtanzania anazijua tunachotaka ni facts ili tuweze kumnai huyu fisadi.

Mambo ya kusema sema hajasoma hayatusaidiii sana sana anawadhalilisha wasomi wenzake kuwa mtu asiyekuwa na elimu amealubuni mpaka akajilimbikizia utajiri wa ajabu na wizi kama inavyosemekana.

TUNAKATAKA FACTS PLEASEEEE
 
Ubutu wa kufikiri ndio mpaka wa leo bado tuna kasumba za ubaguzi, ukitazama wachangiaji wengi pamoja na huyo Mwakyembe, wanajaribu kutowa taswira kuwa RA si mzalendo?

Jee, uzalendo wa Tanzania unapimwa kwa rangi ya mtu? dini ya mtu au ukabila wa mtu?

Upuuzi wa siasa hizi ndio unaoifanya hii nchi bado iwe nyuma na utajiri wote iliyokuwa nao! leo tunalalamika ooohh eti Rostam sio mzalendo, sababu? rangi yake au dini yake au kabila lake?

Wakati huo huo tunaona mikakati ya kukaribisha wawekezaji kutoka nje, ambao wengi wameshafanya madudu ya ajabu, mifano ipo mingi tu, haina haja ya kuirudia. Wakati huo huo tunaona ''wazalendo'' ikiwa tu, kwa rangi zao ni wazalendo, wakifanya madudu, ufisadi na ubadhirifu ambao hausemeki, hapa pia sina haja ya kutaja majina, mifano na mingi na haina haja ya kuirudia.

Ufisadi, mafisadi, hawana rangi, uzalendo wa rangi, wala dini, wala ukabila. Ukisha kuwa fisadi, umeshapingana na vitabu vyote vya dini na vya sheria za kibinadamu, halikadhalika, utapoanza kuhukumu watu kwa rangi zao, kabila zao na dini zao bila ya kuwa na ushahidi kuwa wametumia hayo kwa kufisadi, utakuwa na wewe ni fisadi mmoja wapo.

Leo waTanzania wanaojitapa kuwa si wabaguzi wanafikia kuhukumu kwa rangi? hebu niambieni, fisadi ana rangi gani? Kama ni rangi, mbona tunawafata wenye mitaji huko ulaya na merekani kuwakaribisha kuwekeza? isn't it a double standard?

Upuuzi wa kujihami uzalendo kwa ajili ya rangi tuuache, wengi wenye rangi tofauti na RA hawana uzalendo hata chembe.

Leo tukianza rangi, kesho tutaanza, huyu mngoni huyu asili yake si hapa, huyu mmakonde huyu asili yake si hapa, huyu mzanaki huyu asili yake si hapa! hiyo ndio dhambi ya kuanza kuutazama uzalendo kwa rangi zetu.

Sioni mantiki ya mtu kama Mwakyembe kuanza na kujitetea kikampuni cha-wazalendo, huo ni upuuzi wa hali ya juu, at the same time hiyo technology anayoisemea italetwa na wazalendo? si ndio hayo hayo? na hata baadhi ya wamiliki wa hiyo kampuni ni hao hao. Tusidanganyane, hakuna siasa wala uzalendo katika hili la RA na Mwakyembe, wanajificha nyuma ya pazia la siasa lakini ukweli wanaujuwa wao na washirika wao!
 
Kwenye haya yote, jimbo la Kyela liko wapi? Wananchi wa Kyela wako wapi? Miaka mitano inaisha, kama mtu ame deliver hakuna hajaya kuwa na wasiwasi sijui kuna mtu anatoka wapi.

Yeye ni mbunge na ana nafasi kubwa kuliko watakaompinga maana ana resources, anaweza kufanya mikutano bila kuambiwa kaanza kampeni mapema nk.

Atumie huo muda kusukuma maendeleo mbele. Kweli Kyela imechoka na ugomvi na sio siri tutawauliza 2010 kwanini waliamua kuwagawa watu kiasi hicho?

Kyela kwenyewe tuna matatizo ya umeme na kufa kwa Kiwira coal mine, si washughulikie Kiwira pia.
 
Kwa taarifa yako, Kyela haiwezi kupelekewa maendeleo yoyote. Nchi hii ukishapingana na mafisadi jimbo lako litazoroteshwa kwa kila hila. Mfano mzuri ni majimbo ya Kilimanjaro kipindi kilichopita ambapo majority walienda upinzani, fuatilia hali ilivyokuwa. na sasa uliza habari za Tarime uambiwe. Maendeleo yanatakiwa hivi sasa ni kupambana kwanza na ufisadi, mambo ya majimbo individually baadaye.
 
Ubutu wa kufikiri ndio mpaka wa leo bado tuna kasumba za ubaguzi, ukitazama wachangiaji wengi pamoja na huyo Mwakyembe, wanajaribu kutowa taswira kuwa RA si mzalendo?

Jee, uzalendo wa Tanzania unapimwa kwa rangi ya mtu? dini ya mtu au ukabila wa mtu?

Upuuzi wa siasa hizi ndio unaoifanya hii nchi bado iwe nyuma na utajiri wote iliyokuwa nao! leo tunalalamika ooohh eti Rostam sio mzalendo, sababu? rangi yake au dini yake au kabila lake?

Wakati huo huo tunaona mikakati ya kukaribisha wawekezaji kutoka nje, ambao wengi wameshafanya madudu ya ajabu, mifano ipo mingi tu, haina haja ya kuirudia. Wakati huo huo tunaona ''wazalendo'' ikiwa tu, kwa rangi zao ni wazalendo, wakifanya madudu, ufisadi na ubadhirifu ambao hausemeki, hapa pia sina haja ya kutaja majina, mifano na mingi na haina haja ya kuirudia.

Ufisadi, mafisadi, hawana rangi, uzalendo wa rangi, wala dini, wala ukabila. Ukisha kuwa fisadi, umeshapingana na vitabu vyote vya dini na vya sheria za kibinadamu, halikadhalika, utapoanza kuhukumu watu kwa rangi zao, kabila zao na dini zao bila ya kuwa na ushahidi kuwa wametumia hayo kwa kufisadi, utakuwa na wewe ni fisadi mmoja wapo.

Leo waTanzania wanaojitapa kuwa si wabaguzi wanafikia kuhukumu kwa rangi? hebu niambieni, fisadi ana rangi gani? Kama ni rangi, mbona tunawafata wenye mitaji huko ulaya na merekani kuwakaribisha kuwekeza? isn't it a double standard?

Upuuzi wa kujihami uzalendo kwa ajili ya rangi tuuache, wengi wenye rangi tofauti na RA hawana uzalendo hata chembe.

Leo tukianza rangi, kesho tutaanza, huyu mngoni huyu asili yake si hapa, huyu mmakonde huyu asili yake si hapa, huyu mzanaki huyu asili yake si hapa! hiyo ndio dhambi ya kuanza kuutazama uzalendo kwa rangi zetu.

Sioni mantiki ya mtu kama Mwakyembe kuanza na kujitetea kikampuni cha-wazalendo, huo ni upuuzi wa hali ya juu, at the same time hiyo technology anayoisemea italetwa na wazalendo? si ndio hayo hayo? na hata baadhi ya wamiliki wa hiyo kampuni ni hao hao. Tusidanganyane, hakuna siasa wala uzalendo katika hili la RA na Mwakyembe, wanajificha nyuma ya pazia la siasa lakini ukweli wanaujuwa wao na washirika wao!

Hiyo tafsiri yako ya uzalendo ni ya kwako. Mhindi, mzungu, mwarabu anaweza kuwa na uzalendo kukuzidi wewe limbukeni na weusi wako. RA si mzalendo kwa vitendo vyake vya wizi tunavyovijua tayari. Kama unataka proof mwulize raisi wake.
 
Vitendo vipi vinavyokufanya wewe usimuone RA kuwa mzalendo, au maneno ya kusikia? au maneno ya Mwakyembe? ambao sio wazalendo si umewaona kwenye ile kamati ya Mwakyembe na si unajuwa sasa hivi wako wapi? hao ndio proven si wazalendo! Ya RA mpaka utapokuja na proof isiyo na doubt hapo tutakwenda sambamba lakini kwa sasa inabaki si mzalendo kwa rangi yake, kama wengi wanavyotaka ionekane.
 
Wewe utakuwa kipofu au umeshakula ya mbuzi au vyote viwili..
 
Mheshimiwa Mwakyembe alisema kama Rostam anaona ametukanwa aende mahakamani na atapambana naye huko. Kwamba yeye ni mwanasheria namba moja na hawezi kupambana na mtu mjinga kama Rostam.

Hapa kila mtu anamwambia mwenzake aende mahakamani, sijui nani ataanza kwenda huko huko mahakamani.

Jamaa wa IPP wa Mbeya walikuwa wana record kila kitu. Inatakiwa wawe na audio clip, tuwaombe watuwekee hapa ili kila mtu aamue mwenyewe. Wengine tusije tukaambiwa tumetumwa na mafisadi kuandika.
 
Kwa taarifa yako, Kyela haiwezi kupelekewa maendeleo yoyote. Nchi hii ukishapingana na mafisadi jimbo lako litazoroteshwa kwa kila hila. Mfano mzuri ni majimbo ya Kilimanjaro kipindi kilichopita ambapo majority walienda upinzani, fuatilia hali ilivyokuwa. na sasa uliza habari za Tarime uambiwe. Maendeleo yanatakiwa hivi sasa ni kupambana kwanza na ufisadi, mambo ya majimbo individually baadaye.

Hivi maendeleo kumbe yanaletwa na mafisadi? Mimi nilifikiri wananchi kwa kushirikiana na viongozi wao wanajiletea maendeleo yao wenyewe? Fisadi Rostam atakwamisha vipi maendeleo ya Kyela?

Au wote wanafanya kama Mtikila, kwenda kukopa kwa Rostam ili waje waziendeleze wilaya zao?

Sisi Kyela tunajiletea maendeleo yetu wenyewe. hatuna mjomba wa kutuazima pesa za EPA. Muhimu tu ni umoja na kuacha kugombana.
 
mh sasa hawa si wa chama kimoja? badala ya kujenga chama ili kishinde uchaguzi mkuu mwakani wao wanaweka mambo ya binafsi mbele! Poor them hawana lolote wote mafisadi tu hapa wanaonyesha jinsi walivyo wabinafsi na wanatetea interest zao binafsi si kwa manufaa ya mtanzania yeyote.

Kama Rostam ni fisadi na mbaya kiasi hicho hakuna chombo cha Chama kinachoshughulikia kesi za namna hii pasipo kushirikisha hadhara nzima ya watanzania? Mbona Nnauye aliongelea vitu kama hivi hadharani wakamvua cheo?

Ama keli CCM mmeishiwa sera na msipoangalia 2010 mtavuna mabua

Ufisadi wa Dr.Mwakyembe ni upi?
 
Wewe utakuwa kipofu au umeshakula ya mbuzi au vyote viwili..

Na wewe mwenye ushahidi wa kuwa RA fisadi mbona humpeleki mahakamani una nini ni kiwete? au unaogopa ukishindwa kutowa ushahidi itakunyeeshea?

Nakupa wazo la bure: Tangaza tu humu JF kuwa sasa unataka kukusanya ushahidi wa kumpleleka RA mahakamani, utasaidiwa mpaka ushindwe mwenyewe, unangoja nini?
 
Kwa taarifa yako, Kyela haiwezi kupelekewa maendeleo yoyote. Nchi hii ukishapingana na mafisadi jimbo lako litazoroteshwa kwa kila hila. Mfano mzuri ni majimbo ya Kilimanjaro kipindi kilichopita ambapo majority walienda upinzani, fuatilia hali ilivyokuwa. na sasa uliza habari za Tarime uambiwe. Maendeleo yanatakiwa hivi sasa ni kupambana kwanza na ufisadi, mambo ya majimbo individually baadaye.

Unaishi Tanzania ama, ina maana majimbo yote yasiyo na maendeleo toka enzi na enzi walikuwa wanapinga mafisadi. Kuna majimbo toka tupate uhuru yako yako tu. Kama huna cha kuandika soma ya wenzako. Mwakyembe huu ni mwaka wake wa ngapi Ubunge?, wakati kuna Mbunge mwingine kulikuwa na maendeleo gani?.
 
Ufisadi wa Mwakyembe ni kuanza kutumia ''uzalendo'' katika kujitetea na ''ka kampuni'' kake aliko kaanzisha.

Heh he..Naona tafsiri ya neno fisadi imebadilika siku hizi. Kama kuanzisha kampuni ni ufisadi RA anayo makampuni mangapi?
 
Na wewe mwenye ushahidi wa kuwa RA fisadi mbona humpeleki mahakamani una nini ni kiwete? au unaogopa ukishindwa kutowa ushahidi itakunyeeshea?

Nakupa wazo la bure: Tangaza tu humu JF kuwa sasa unataka kukusanya ushahidi wa kumpleleka RA mahakamani, utasaidiwa mpaka ushindwe mwenyewe, unangoja nini?

Siwezi kumpeleka one MAFIOSO kwa MAFIOSO mwengine ili haki itendeke, utakuwa ni wendawazimu.
 
Mwakyembe inaelekea kuwa yuko so bitter...yaani vagi lake na Rostam juzi jumamosi alilihamishia kwenye fainali ya kombe la NSSF kwenye mechi ya timu ya UHURU v/s HABARI CORP.

So sad huyu jamaa nilikuwa namheshimu miaka ileee alipokuwa na kile kiofisi chao cha LEGAL AID na Dr MVUNGI pale kwenye jengo la SUKITA enzi hizo Mwakyembe alikuwa ni mtu kweli kweli sasa tangu aingie kwenye siasa amekuwa kama mwehu vile

Mpka leo sielewi what was the point ya kupandishana pesa jumamosi...lakini ndio hao wanasiasa wetu

AMA KWELI PESA MWANA HARAMU

Lakini hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye ni miongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za Rostam wakati wa Kampeni sasa leo hii asitake kujidai yeye ni msafi kuliko wote.

In short Rostam ni kama Nyerere tena naweza kusema zaidi kwenye hii game ya Politics za TZ, Maana mwalimu yeye alikuwa ni mcheza Game kwenye politics tuu lakini Rostam ni mpaka Biashara in other words HE OWNS THE CURRENT RULING ELITES na hawana cha kumfanya baada ya kula pesa zake

So Mwakyembe should spare himself further embarrassment kuendelea kutukanana na mtu ambaye hamjibu except ana rewind ule mkanda wa makabidhiano now and then

Mwisho zaidi nasema I CANT KNOCK ROSTAM'S HUSTLE....jamaa ni mtafutaji na anaitumia opportunity anavyoona itamnufaisha

Ugonjwa wetu mnajua tatizo lake lilianzia wapi na dawa yake wote mnaijua

Clearly humjui Rostam! Usishabikie mtu husiye mjua..afadhali unadetailed background ya mwakyembe alikotoka na anako elekea.
 
Ninachofahamu Mengi anauhusiano zaidi na CCM kuliko chadema, na hata amekuwa akifanya ziara na wabunge wa CCM, kwa chadema sijawahi sikia. Au ndio wale mnaotaka kuomgombanisha Mengi na Mkuu wa nchi? sentensi yako inamaanisha mengi ni mdhamini wa chadema

Gosheni,

Mbona imeandikwa mara nyingi hapa? Ni kwamba Mengi yeye mfanyabiashara, anacheka na kila mtu. Huku anafadhili CCM, kesho anaenda kufadhili CHADEMA. Ukitaka pato somo toka kwa Field Marshal ES.

Mengi anacheka na JK, kesho anaenda kucheka na Mbowe. Mimi namuunga mkono Mengi na naunga msimamo wake huo. Mimi sio CHADEMA lakini nikiona mtu mzuri CHADEMA kama nina uwezo kwanini nisimuunge mkono? Hivyo hivyo CCM nikiona kiongozi mzuri namwunga mkono.

Kumbuka Nyerere 1995, kura ya urais alitoa CCM, ubunge NCCR. Huyo ni mwanzilishi wa chama na alifanya hivyo, ndio awe Mengi?
 
Back
Top Bottom