Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,961
- 42,166
Dah!Kuwa masikini ni kukosa furaha automatically, haijalishi umedhulumu au hujadhulumu watu, haijalishi una dhambi au hauna dhambi kama malaika.
Dah!Kuwa masikini ni kukosa furaha automatically, haijalishi umedhulumu au hujadhulumu watu, haijalishi una dhambi au hauna dhambi kama malaika.
DuhUkose chakula mavazi na makazi halafu eti uwe na furaha Mr Bob katuona vilaza kwel
Hujamwelewa mleta maadaHata ukilala njaa utakuwa na furaha kwa sababu hujakataliwa na mungu 😁
Unaandika vitu vizuri sana kosa lako ni kupinga uwepo wa MUNGU MWENYEZIFuraha na amani ya moyo inategemea na matarajio yako ya maisha(expectations)na wale wanaokuzunguka, kama ulikuwa unategemea kumiliki baiskeli tu maishani ukija kumiliki pikipiki huwezi kuwazia au kuumia sana kukosa gari, kama ulikuwa unategemea kuajiriwa kuwa mtumishi wa Halmashauri tu huwezi kuwazia sana kufika wizarani, kwenye mashirika ya ndani ya kmataifa bungeni au Ikulu, kama hukuwahi kuwazia hata kumiliki nyumba yako huwezi kuwaza na kuumia kuhusu kumiliki ghorofa n.k n.k
Kama unatoka jamii za Pwani Lindi na Mtwara huwezi kuwa na mawazo sana jinsi jamii iliyokuzunguka inavyokutazama maendeleo yako kama ukiwa unatoka Kaskazini.
Hakuna mahali popote napinga uwepo wa mungu, nachukia ujinga na pomposity inayaondamana na wafia dini wakijidai na kujifanya wana majibu ya mambo yote yote ya ulimwengu zaidi ya wanasayansi na critical thinkers.Unaandika vitu vizuri sana kosa lako ni kupinga uwepo wa MUNGU MWENYEZI
Mnahangaika sana kuongelea habari za huyo Mungu na kumtetea ili aonekane yupo.Unaandika vitu vizuri sana kosa lako ni kupinga uwepo wa MUNGU MWENYEZI
Sema Mzee Infropreneur haya mambo ni magumu sana kuyaamini. Nilisoma bible Mungu alitoa order kwa waisrael wakiongozwa na Yoshua kuwaua watu wote wa mji wa Yericko pamoja na mifugo yao. Yaani wauteketeze mji wote wasibakishe kitu. Ilikuwa GENOCIDE mbaya sana. Na kweli waisrael wakateketeza hadi vichanga. Huenda ni Mungu pia anaamuru vichanga vya Gaza viuwawe.Maisha ambayo mnadai Mungu yupo, Ndio watoto na wanawake wanafanyiwa ukatili na huyo Mungu anabaki kimya tu!
Rejea Eipstein files, huyo Mungu alikaaga kimya tu! Alishindwa kuwanusuru wale watoto.
Rejea vita vya Gaza, maelfu ya watoto waliuwawa. Na huyo Mungu wenu akabaki kimya tu! Bila kusaidia chochote.
Maisha ambayo yanadaiwa kuna uwepo wa Mungu ndio hayana maana kabisa.
Na uwepo wa huyo Mungu hauna maana kabisa. Kwa sababu Mungu huyo anashindwa kudhibiti maovu yasifanyike duniani.
Mungu hana maana! kwenye maisha yaliyojaa ukatili na uovu ambao angeweza kuudhibiti.
Uwepo wa Mungu mwema, mwenye upendo na huruma, Hauna maana Kwenye Dunia iliyojaa uovu na ukatili.
Sasa huyo Mungu sio mwema. Wala sio mwenye upendo na huruma.Sema Mzee Infropreneur haya mambo ni magumu sana kuyaamini. Nilisoma bible Mungu alitoa order kwa waisrael wakiongozwa na Yoshua kuwaua watu wote wa mji wa Yericko pamoja na mifugo yao. Yaani wauteketeze mji wote wasibakishe kitu. Ilikuwa GENOCIDE mbaya sana. Na kweli waisrael wakateketeza hadi vichanga. Huenda ni Mungu pia anaamuru vichanga vya Gaza viuwawe.
Uovu ufanye wewe alafu unataka Mungu afanye unavyotaka weweMaisha ambayo mnadai Mungu yupo, Ndio watoto na wanawake wanafanyiwa ukatili na huyo Mungu anabaki kimya tu!
Rejea Eipstein files, huyo Mungu alikaaga kimya tu! Alishindwa kuwanusuru wale watoto.
Rejea vita vya Gaza, maelfu ya watoto waliuwawa. Na huyo Mungu wenu akabaki kimya tu! Bila kusaidia chochote.
Maisha ambayo yanadaiwa kuna uwepo wa Mungu ndio hayana maana kabisa.
Na uwepo wa huyo Mungu hauna maana kabisa. Kwa sababu Mungu huyo anashindwa kudhibiti maovu yasifanyike duniani.
Mungu hana maana! kwenye maisha yaliyojaa ukatili na uovu ambao angeweza kuudhibiti.
Uwepo wa Mungu mwema, mwenye upendo na huruma, Hauna maana Kwenye Dunia iliyojaa uovu na ukatili.
Unajua maisha ya maana? Unafikiri walio na magari na manyumba ndio wana maisha ya maana sana kuliko wasiyokuwa nayo? Au hujui hata wapumbavu hufanikiwa hayo unayofikiri ni ya maana sana?Siku ukikutana na watu wasioamini mungu wanaoishi maisha ya maana kuliko wewe utaelewa jinsi ulivyokuwa kwenye box la fikra za ujinga wa kidini.
Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kutenda maovu?Uovu ufanye wewe alafu unataka Mungu afanye unavyotaka wewe
Huyo Mungu angekuwa na akili, asingeumba binadamu wenye uwezo wa kutenda maovu.Umkatae Mungu alafu utake afanye unavyotaka wewe
Aliyekuumba wewe na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana unajiona umemzidi akili
Haiwezekani hiyo kitu.
Ni vile concept ya Mungu ni complicated
Akili haiwezi ku operate bila kutambua uwepo wa Mungu. Ndio maana inamipaka.
Concept ya Akili nayo ni pana na haina mwisho kama ilivyo Iman kwa sababu unaelezea moja ya character ya Mungu.