Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

Tatizo Hilo haliko kwa wanaoamini Mingus. Ni tatizo la wanasayansi wa maumbo na maumbile ambao wao wanafikiri Kila kitu lazima kiwe na majibu(uthibitisho), kieleweke kwa akili za nyama(maumbile), au kiwe na maelezo(mantiki ya lugha), kitu ambacho kimewavuka upeo



Huwezi kutaja jambo lolote duniani bila kumhusisha Mungu. Liwe baya au zuri.
Kumtoa Mungu tuu kunadhirisha upeo Mdogo wa akili ya mhusika.

Mfano, wewe unadai Haki na demokrasia kwa misingi ipi? Kama hutotumia imani? Embu eleza.
Kumbuka kisayansi sisi ni wanyama kama wanyama wengine.
Ila kiimani Sisi ni special kutokana na Yale tunayoamini yanatutofautisha na viumbe wengine.

Haya twende KAZi.
Kumtoa Mungu kwenye hoja si upeo mdogo wa akili.
ni jaribio la kueleza dunia bila kutoa majibu kabla ya maswali.
 
Zipo njia nyingi za kukuza akili. Mojawapo umeitaja. Kujifunza, uzoefu wa maisha,
Lakini kuna revealed knowledge yaani mafunuo au wahyi.

Hiyo njia ya mafunuo ndio msingi mkuu wa teknolojia duniani.
Wengine watajifunza baada ya wewe kubuni teknolojia mpya ambayo umefunuliwa na miungu.

Wewe Fanya tafiti utakavyofanya lakini Bila mafunuo kamwe huwezi kubuni Jambo jipya kwenye huu ulimwengu.

Revealed knowledge msingi wakw mkuu ni tafakuri, fikra tunduizi.
Swali linakuja unajua chanzo kikuu cha mawazo yako?
Yaani unapokaa chemchem ya mawazo yako unaijua. Kwamba mawazo yako yanatokea wapi?
Achana na Yale mawazo ya kumbukumbu, unachoona, kuhisi na kusikia.
Hapana sijui, mawazo yangu yanatokea wapi?
 
Unaulizwa tu Mr Bob, huenda umesaha😃u

😂😂 Ananizingua huyo jamaako.

Yeye haamini katika miungu(Imani), sio kosa ni uchaguzi wake. Tupo kwenye mjadala. Mimi nipo upande wa kuamini kwenye Mungu.

Naona Hana hoja kutetea upande wake. Kila Tawi analoshika linateleza.
Mimi nimeamua kuleta hoja ya sayansi makusudi kwa sababu ndio silaha atakayokuja kuitumia baadae.

Sasa naye ameshagundua mtego niliomuwekea ambao namfanyi Correction tactics kabla hajafika huko alikokuwa anakutegemea. Ndio unaona.

Nikuambie tuu kwa sasa hajabakiwa na silaha yoyote.
Hivyo tegemea matusi, lugha Kali, na kejeli ambapo ni kiashiria cha kushindwa
 
Unapimaje mkuu kukataliwa ili tukafanye test tujue na sisi kenge wengine!

Huenda 90% ya wabongo walikataliwa kwa ung'ombe huu tulionao. Hebu lete litmus fasta tuanze kupima mambo hapa!
 
Kumtoa Mungu kwenye hoja si upeo mdogo wa akili.
ni jaribio la kueleza dunia bila kutoa majibu kabla ya maswali.

Ni upeo Mdogo kwa sababu ya kutoelewa mifumo ya ulimwengu.
Ni Sawa MTU awe anajua tuu Cell ya mwili alafu umwambie kuhusu organism awe anabisha.
 
Unapimaje mkuu kukataliwa ili tukafanye test tujue na sisi kenge wengine!

Huenda 90% ya wabongo walikataliwa kwa ung'ombe huu tulionao. Hebu lete litmus fasta tuanze kupima mambo hapa!

Vipimo ni vingi.
Kuitwa bara la giza sio kimakosa. Hata kama ilikuwa kejeli lakini ulikuwa ukweli
 
Hii nchi tukija kuacha haya mambo ya kufikirika kwa angalau 25% tu yani angalau watanzania 20m kati na 60m wakaacha huu ujinga ndipo tutaanza kuwa binadamu, sio kuwa na maendeleo tu yani tutapungua kama 60% hivi ya usokwe na tutaanza kurudi kwenye mind zetu na kujua purpose ya maisha yetu ni nini. Kwa sasa hivi tunaishi kama wanyama tu wa mbugani unaamka unafikiria supu, vitumbua, asbh then ugali wa mchana na badaye wa usiku then tunalala kusubiri hewala ya kuamka tena km itatokea. Kila tunachowaza kinatupeleka kuhudumia tumbo, usingizi, mapenzi, uzazi, na starehe kikiwepo cha ziada, tunaiba, tunatapeli, tunafanya kazi, nk zote tupate ugali, usingizi na mapenzi baaaasi!

Hata ukimuuliza mama yao na abduli wake hata mkwere na salma wake mnalimbikiza mali za nini mzisitosheka nazo watakwambia wanatafuta huduma ya hayo mambo kwa future. Ukienda Kenya tu wenzetu wakiiba wanaongeza viwanda na ajira, sisi tunapeleka dubai na swiss ili tuje kula baadaye.

Sasa tuna tuna tofauti gani na swala, nyumbu, bata na ngedere wa porini?

Povu ruksa...
 
Ni upeo Mdogo kwa sababu ya kutoelewa mifumo ya ulimwengu.
Ni Sawa MTU awe anajua tuu Cell ya mwili alafu umwambie kuhusu organism awe anabisha.
Mifumo ipi bila uthibitisho wa wazi ?

Kwa hiyo haturuhusiwi kuzungumzia anga kwa sababu hatujui ndege inavyoruka .

Hili ni shambulio la binafsi na sio hoja bwashee .
 
Hii nchi tukija kuacha haya mambo ya kufikirika kwa angalau 25% tu yani angalau watanzania 20m kati na 60m wakaacha huu ujinga ndipo tutaanza kuwa binadamu, sio kuwa na maendeleo tu yani tutapungua kama 60% hivi ya usokwe na tutaanza kurudi kwenye mind zetu na kujua purpose ya maisha yetu ni nini. Kwa sasa hivi tunaishi kama wananyama tu wa mbugani unaamka unafikiria supu, vitumbua, asbh then ugali wa mchana na badaye wa usiku then tunalala kusubiri hewala ya kuamka tena km itatokea. Kila tunachowaza kinatupeleka kuhudumia tumbo, usingizi, mapenzi, uzazi, na starehe kikiwepo cha ziada, tunaiba, tunatapeli, tunafanya kazi, nk zote tupate ugali, usingizi na mapenzi baaaasi!

Hata ukimuuliza mama yao na abduli wake hata mkwere na salma wake mnalimbikiza mali za nini mzisitosheka nazo watakwambia wanatafuta huduma ya hayo mambo kwa future. Ukienda Kenya tu wenzetu wakiiba wanaongeza viwanda na ajira, sisi tunapeleka dubai na swiss ili tuje kula baadaye.

Sasa tuna tuna tofauti gani na swala, nyumbu, bata na ngedere wa porini?

Povu ruksa...
Kuna dada alianguka kifafa watu wakaanza piga maombi wakiamini ni mapepo, badala ya kumuwahisha hospital , alivuta fasta tu kwa upumbavu wa kiimani.
 
Wakoloni sio wajinga walielewa kuwa imani ina nguvu kubwa sana ya kudhibiti mawazo , tabia na maamuzi ya mtu , hauwezi kutawalika kama vitu hivyo havijadhibitiwa.
Miaka zaidi ya 100 bado tu tunapiga usingizi mkongwe wa kuamini mungu kakuumba halafu kakukataa ndio ukafeli darasa, maisha, ukaugua kipindupindu, ukakosa mayai ya uzazi, ukakosa furaha, ukakosa ndoa nk? Pamoja na mijisayansi yote na maevidence ya jinsi dunia na mifumo yake inavyofanya kazi?? Hadi na maAI nayo yakaja bado tu tumepiga pono. Tunatazama makalio soft tu, Dah!

Kizazi hiki pia kitapita watu weusi hawajaregister chochote cha maana kwenye maendeleo ya dunia kama vilivyotangulia, japo vya nyuma vilitoa hata nguvu tu kwenye utumwa, cha leo kinalegeza tu suruali na kusubiri miujiza ya kukubalika kwa mungu...
 
Huyo Mungu anaye kataa watu wake, ni Mungu mpumbavu, katili, mwendawazimu na punguani kabisa.

Huyo Mungu anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hajielewi kabisa.
 
KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU.
Huyo Mungu kwa nini anakataa watu wake mwenyewe?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Kukataliwa na Mungu wako.
Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi.
Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha.
Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu.
Mungu gani mwenye upendo, rehema na huruma nyingi anaacha maelfu ya watoto na wanawake wanateseka na kupitia mateso ya kutisha na kisha kuuwawa?

Maelfu ya watoto wanafanyiwa ukatili wa kutisha na huyo Mungu unayedai ni mwenye upendo hafanyi chochote.

Mafaili ya "Eipstein" yanaonyesha ukatili wa kutisha dhidi ya watoto, Lakini huyo Mungu wenu mnayedai ni mwenye huruma, Hajafanya chochote!!

Maelfu ya watoto wamekufa kwa vita kule  Gaza huyo Mungu hajasaidia chochote!

Maelfu ya watoto na wanawake wanateseka na kufa maeneo mbalimbali Duniani kwa vita, njaa, ukatili, mateso na magonjwa. Huyo Mungu mwenye upendo na huruma hasaidii chochote!!

Huyo MUNGU ni Katili, Bandidu, Sadist, Mpumbavu, Mwehu na Mwendawazimu. Huyo Mungu anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana ni Kichwa maji kabisa!!
FB_IMG_1766136717350.jpg



2. Maisha bila uwepo wa Mungu hayana maana kabisa.
Huyo Mungu mnayehangaika kumtetea na kumuelezea, Kama kweli yupo, aje yeye mwenyewe kujitetea na kujisemea kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumuongelea huyo Mungu, kufosi uwepo wake.

Huyo Mungu kama yupo, ajitokeze mwenyewe, sio anajificha huko halafu anataka kutafutwa.

Huyo Mungu wenu inaonekana ana ukichaa!
3. Unaweza kupewa Kila kitu duniani lakini ukimkosa Mungu. Unagundua Kila kitu hakina maana.
Ni kweli Kila kitu hakina maana bila uwepo wa Mungu Maishani Mwako.
Hakuna Mungu anayetoa vitu kwa mtu yeyote yule.

Watu wana hustle kwa nguvu, akili na jasho lao wenyewe kutafuta vitu.

Uwepo wa huyo Mungu, mnajaribu kuufosi fosi tu!

4. Fuatilia watu wote wasio na furaha, wenye misongo ya mawazo, wapweke, wenye hasira, wenye chuki, wenye maumivu ya moyo. Wengi hawapo na Mungu. Ni aidha walimkataa Mungu au Mungu aliwakataa.
Huyo Mungu aki kubaliwa anafaidika nini?

Huyo Mungu aki kataliwa, anapungukiwa nini?

Huyo Mungu akikataa watu, inamfaidisha nini yeye?

Huyo Mungu ALISHINDWAJE kuumba binadamu watakao mwamini na kumkubali siku zote na wakati wote bila kumkataa?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
5. Ukiwa na MUNGU huwezi kuwa mpweke.
Huwezi kuwa na hasira na chuki moyoni.
Huwezi kuwa na depression
Maelfu ya watu wana mtumainia huyo Mungu na bado wana upweke, depression na stress kibao!
FB_IMG_1762369480393.jpg

6. Ukiwa na Mungu unakuwa huru hata kama umefungwa jela.
Ukiwa huna Mungu unakuwa mfungwa hata kama haupo jela.

7. Ogopa Mungu akupe kisogo. Yaani akuache ujiamulie mambo yako.

8. Siongei haya kama MTU wa dini, wala kama mtu asiye na uelewa wowote. Nazungumzia uhalisia wa maisha ya mwanadamu.

9. Mtibeli nasema, kwenye maisha yako. Omba ukose yote lakini kamwe usimkose Mungu katika maisha yako.

10. Malengo yako makuu katika maisha yawe kuwa na Mungu Siku zote za maisha yako.

11. Sisi Watibeli, Ombi letu kuu ni kumsapoti Mungu hata kama hatumuelewi.
Kukosa yote lakini kamwe tusimkose Yule Mungu Muumbaji. Yeye ndiye Kila kitu kwetu. Na hiyo ndio siri ya sisi kuwa juu ya yote.

12. Ni Bora tuwe maskini wa kutupwa na kudharauliwa lakini tukiwa na Mungu inatosha. Na kwa bahati tuu ukishakuwa na Mungu huwezi kuwa maskini roho.

13. Ndugu zangu, hiyo ndio siri ya maisha ya furaha wewe na familia yako. Wewe na mkeo,wewe na Watoto wako.
Kuwa na Mungu katika maisha yenu.

14. Sio pesa.
Sio cheo wala mamlaka.
Sio umashuhuri
Sio uzuri
Hayo yote bila kuwa na Mungu ni ubatili. Huwezi kuwa na furaha.

15. Najua wapo waliotoka maisha masking Sana ambao hawajawahi kuwwa na Mali au kuishi na Mali watabisha.

16. Lakini Sisi wengine tulipata Neema ya kuishi maisha ya aina mbalimbali. Kuishi na watu wenye utajiri, wenye mamlaka. Tuna ndugu na marafiki wenye maisha ambayo ni ndoto ya watu wengi. Lakini
Wanamaisha magumu, wanateseka na upweke, depression, ufungwa, hawana furaha.

17. Na ndipo Ile kauli ya pesa au utajiri haikupi furaha inapokuja ingawaje wengi hawaielewi.

18. Ila ukiwa tajiri alafu ukawa na Mungu utaenjoy Sana.

19. Fanya ufanyacho mwombe Mungu kama kuna Jambo litakalomfanya akugeuzie kisogo au akuache Jambo hilo akuepushe nalo.

20. Mara nyingi watu waliokataliwa na Mungu hukosa mambo nyeti kwenye maisha. Kama Amani ya moyo, wanakuwa wapweke, na familia zao zinakuwa zinawasumbua Sana.

21. Ukishasumbuliwa kwenye familia yako mwenyewe hata upewe dunia yote inakuwa haina maana.
Mkeo/mumeo na Watoto wanakukosesha furaha na Amani.

22. Ukishakosa Amani ya Moyo hata upewe umungu Mdogo inakuwa haina mana. Unakuwa mtumwa wa maisha yako mwenyewe.

23. Unazeeka haraka, watu unaowapenda hawakupendi, watu unaowaheshimu hawakuhehimu wanakudharau. Watu unaowatunza na kuwahudumia hawatambui jasho lako, tena kama ni mkeo anahonga wanaume wengine.
My friend ukianza kuhisi mambo kama haya ujue usilalamike, usione ni kawaida, tambua kuna waya mkubwa umekanyaga.

24. Jua uso wa Mungu wako uko mbali na wewe. Na kuna mambo unatakiwa uyafanye. Kumkaribia Mungu.

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Maisha bila uwepo wa Mungu hayana maana kabisa.
Maisha ambayo mnadai Mungu yupo, Ndio watoto na wanawake wanafanyiwa ukatili na huyo Mungu anabaki kimya tu!

Rejea Eipstein files, huyo Mungu alikaaga kimya tu! Alishindwa kuwanusuru wale watoto.

Rejea vita vya  Gaza, maelfu ya watoto waliuwawa. Na huyo Mungu wenu akabaki kimya tu! Bila kusaidia chochote.

Maisha ambayo yanadaiwa kuna uwepo wa Mungu ndio hayana maana kabisa.

Na uwepo wa huyo Mungu hauna maana kabisa. Kwa sababu Mungu huyo anashindwa kudhibiti maovu yasifanyike duniani.

Mungu hana maana! kwenye maisha yaliyojaa ukatili na uovu ambao angeweza kuudhibiti.

Uwepo wa Mungu mwema, mwenye upendo na huruma, Hauna maana Kwenye Dunia iliyojaa uovu na ukatili.
 
God is love
God is love, Anaacha watoto wanafanyiwa ukatili na mateso halafu mnasema "God is love"

Bullshit!!!

Love gani?

Maelfu ya watoto wamekufa kwa vita njaa, magonjwa na mauaji ya kutisha. Halafu mnasema "God is love"

Your GOD IS SADIST!!

Huyo Mungu wenu ni KATILI, MUUAJI BANDIDU na MWENDAWAZIMU.

Huyo Mungu hafai kabisa anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hajielewi kabisa.
FB_IMG_1762369480393.jpg
 
Back
Top Bottom