Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

Kama haya ni mambo yanayofungamanishwa na mungu kwa nini Africa ambayo 99% ya raia wanashinda makanisani na misikitini ina uhaba mkubwa wa haya mambo ukilinganisha na nchi za ki-Atheists au upagani huko Japan, Korea, Singapore, Vietnam na Ulaya??

Umeuliza swali zuri na lamsingi.
Kwenda kanisani haimaanishi upo na Mungu.
Unaweza kwenda kanisani au msikitini na usimjue Mungu.

Binadamu au kiumbe chochote automatically kinapozaliwa kimewekewa mifumo ya kumjua Mungu naturally.
Mazingira ndio yanaweza kuua mfumo hip, kuupotosha au kuuimarisha.

Huko ulaya ulikotaja wanamuamini Mungu kuliko Afrika
 
Hizi ni story za kipofu aliyempapasa tembo akawa anelezea ukubwa wa kila kitu kwa kurejea ukubwa wa Tembo

Kipofu anaweza kuwa sahihi kuliko wewe uliyemtolea mfano huyo kipofu.

Unaweza kuelezea ukubwa wa Kila kitu kaa kurejelea ukubwa wa tembo. Inategemea utatumia scale gani.

Kuna namna kipofu uliyembuni amekuzidi maarifa
 
Akili inaweza kuwa na assumptions bila Imani ya Mungu.

Haiwezekani hiyo kitu.
Ni vile concept ya Mungu ni complicated

Akili haiwezi ku operate bila kutambua uwepo wa Mungu. Ndio maana inamipaka.

Concept ya Akili nayo ni pana na haina mwisho kama ilivyo Iman kwa sababu unaelezea moja ya character ya Mungu.
 
Umeuliza swali zuri na lamsingi.
Kwenda kanisani haimaanishi upo na Mungu.
Unaweza kwenda kanisani au msikitini na usimjue Mungu.

Binadamu au kiumbe chochote automatically kinapozaliwa kimewekewa mifumo ya kumjua Mungu naturally.
Mazingira ndio yanaweza kuua mfumo hip, kuupotosha au kuuimarisha.

Huko ulaya ulikotaja wanamuamini Mungu kuliko Afrika
Tatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.
Wakati mwingine na kwa mambo mengine ni vyema kufunga madomo yenu tu na kusema hamjui au haumuelewi kwa nini mambo yako yalivyo au chanzo cha jambo fulani.
 
Haiwezekani hiyo kitu.
Ni vile concept ya Mungu ni complicated

Akili haiwezi ku operate bila kutambua uwepo wa Mungu. Ndio maana inamipaka.

Concept ya Akili nayo ni pana na haina mwisho kama ilivyo Iman kwa sababu unaelezea moja ya character ya Mungu.
Akili haihitaji Mungu kukua kwake ni kwa uwezo wa kujifunza, na si reflection ya imani.
 
Basi alot of people tumekataliwa na mungu kama mambo ndio yako hivyo
Basi alot of people tumekataliwa na mungu kama mambo ndio yako hivyo
Uovu/uasi/dhambi ndio kitu kinachotuweka binadamu mbali na uwepo wa MUNGU. Isaya 59:1-2 SUV
[1] Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; [2] lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.

Isa 59:1-2 (SUV) - Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka | YouVersion
 
Tatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.
Tatizo Hilo haliko kwa wanaoamini Mingus. Ni tatizo la wanasayansi wa maumbo na maumbile ambao wao wanafikiri Kila kitu lazima kiwe na majibu(uthibitisho), kieleweke kwa akili za nyama(maumbile), au kiwe na maelezo(mantiki ya lugha), kitu ambacho kimewavuka upeo

Wakati mwingine na kwa mambo mengine ni vyema kufunga madomo yenu tu na kusema hamjui au haumuelewi kwa nini mambo yako yalivyo au chanzo cha jambo fulani.

Huwezi kutaja jambo lolote duniani bila kumhusisha Mungu. Liwe baya au zuri.
Kumtoa Mungu tuu kunadhirisha upeo Mdogo wa akili ya mhusika.

Mfano, wewe unadai Haki na demokrasia kwa misingi ipi? Kama hutotumia imani? Embu eleza.
Kumbuka kisayansi sisi ni wanyama kama wanyama wengine.
Ila kiimani Sisi ni special kutokana na Yale tunayoamini yanatutofautisha na viumbe wengine.

Haya twende KAZi.
 
Tatizo kubwa la nyie wafia dini ni kukosa 'intellectual humility", mnafikiri kila kitu lazima kiwe na majibu, kieleweke na binadamu au kiwe na maelezo yake hasa kulingana na imani zenu au mungu wenu.
Wakati mwingine na kwa mambo mengine ni vyema kufunga madomo yenu tu na kusema hamjui au haumuelewi kwa nini mambo yako yalivyo au chanzo cha jambo fulani.
Hiyo ndio mifumo ya kitheologia hauwezi kutoka nnje ,Tautology za kiimani , wanaosomea theologia wanaelewa ila nao kujichomoa hawawezi😆
 
Sio Kila kitu kinahitaji uthibitisho.
Ndio zilezile elimu za darasani za kukariri.

Kwenye maarifa ya dunia, sayansi ya maumbile ndio inahitaji uthibitisho. Upo?
Lakini sio Kila sayansi ni yamaumbile
Sayansi ni nini kwanza?? Maana kuna utopolo mwingi sana unautapika hapa kama vile hata unaelewa unachosema.
 
Sayansi ni nini kwanza?? Maana kuna utopolo mwingi sana unautapika hapa kama vile hata unaelewa unachosema.

Unaniuliza mimi? 😄😄 Wee jamaa.
Mimi sipo level ya kuulizwa maana ya dhana au nadharia. Nimetoka huko miaka mingi Sana.
 
Akili haihitaji Mungu kukua kwake ni kwa uwezo wa kujifunza, na si reflection ya imani.

Zipo njia nyingi za kukuza akili. Mojawapo umeitaja. Kujifunza, uzoefu wa maisha,
Lakini kuna revealed knowledge yaani mafunuo au wahyi.

Hiyo njia ya mafunuo ndio msingi mkuu wa teknolojia duniani.
Wengine watajifunza baada ya wewe kubuni teknolojia mpya ambayo umefunuliwa na miungu.

Wewe Fanya tafiti utakavyofanya lakini Bila mafunuo kamwe huwezi kubuni Jambo jipya kwenye huu ulimwengu.

Revealed knowledge msingi wakw mkuu ni tafakuri, fikra tunduizi.
Swali linakuja unajua chanzo kikuu cha mawazo yako?
Yaani unapokaa chemchem ya mawazo yako unaijua. Kwamba mawazo yako yanatokea wapi?
Achana na Yale mawazo ya kumbukumbu, unachoona, kuhisi na kusikia.
 
Back
Top Bottom