Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,054
- 79,399
KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kukataliwa na Mungu wako.
Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi.
Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha.
Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu.
2. Maisha bila uwepo wa Mungu hayana maana kabisa.
3. Unaweza kupewa Kila kitu duniani lakini ukimkosa Mungu. Unagundua Kila kitu hakina maana.
Ni kweli Kila kitu hakina maana bila uwepo wa Mungu Maishani Mwako.
4. Fuatilia watu wote wasio na furaha, wenye misongo ya mawazo, wapweke, wenye hasira, wenye chuki, wenye maumivu ya moyo. Wengi hawapo na Mungu. Ni aidha walimkataa Mungu au Mungu aliwakataa.
5. Ukiwa na MUNGU huwezi kuwa mpweke.
Huwezi kuwa na hasira na chuki moyoni.
Huwezi kuwa na depression
6. Ukiwa na Mungu unakuwa huru hata kama umefungwa jela.
Ukiwa huna Mungu unakuwa mfungwa hata kama haupo jela.
7. Ogopa Mungu akupe kisogo. Yaani akuache ujiamulie mambo yako.
8. Siongei haya kama MTU wa dini, wala kama mtu asiye na uelewa wowote. Nazungumzia uhalisia wa maisha ya mwanadamu.
9. Mtibeli nasema, kwenye maisha yako. Omba ukose yote lakini kamwe usimkose Mungu katika maisha yako.
10. Malengo yako makuu katika maisha yawe kuwa na Mungu Siku zote za maisha yako.
11. Sisi Watibeli, Ombi letu kuu ni kumsapoti Mungu hata kama hatumuelewi.
Kukosa yote lakini kamwe tusimkose Yule Mungu Muumbaji. Yeye ndiye Kila kitu kwetu. Na hiyo ndio siri ya sisi kuwa juu ya yote.
12. Ni Bora tuwe maskini wa kutupwa na kudharauliwa lakini tukiwa na Mungu inatosha. Na kwa bahati tuu ukishakuwa na Mungu huwezi kuwa maskini roho.
13. Ndugu zangu, hiyo ndio siri ya maisha ya furaha wewe na familia yako. Wewe na mkeo,wewe na Watoto wako.
Kuwa na Mungu katika maisha yenu.
14. Sio pesa.
Sio cheo wala mamlaka.
Sio umashuhuri
Sio uzuri
Hayo yote bila kuwa na Mungu ni ubatili. Huwezi kuwa na furaha.
15. Najua wapo waliotoka maisha masking Sana ambao hawajawahi kuwwa na Mali au kuishi na Mali watabisha.
16. Lakini Sisi wengine tulipata Neema ya kuishi maisha ya aina mbalimbali. Kuishi na watu wenye utajiri, wenye mamlaka. Tuna ndugu na marafiki wenye maisha ambayo ni ndoto ya watu wengi. Lakini
Wanamaisha magumu, wanateseka na upweke, depression, ufungwa, hawana furaha.
17. Na ndipo Ile kauli ya pesa au utajiri haikupi furaha inapokuja ingawaje wengi hawaielewi.
18. Ila ukiwa tajiri alafu ukawa na Mungu utaenjoy Sana.
19. Fanya ufanyacho mwombe Mungu kama kuna Jambo litakalomfanya akugeuzie kisogo au akuache Jambo hilo akuepushe nalo.
20. Mara nyingi watu waliokataliwa na Mungu hukosa mambo nyeti kwenye maisha. Kama Amani ya moyo, wanakuwa wapweke, na familia zao zinakuwa zinawasumbua Sana.
21. Ukishasumbuliwa kwenye familia yako mwenyewe hata upewe dunia yote inakuwa haina maana.
Mkeo/mumeo na Watoto wanakukosesha furaha na Amani.
22. Ukishakosa Amani ya Moyo hata upewe umungu Mdogo inakuwa haina mana. Unakuwa mtumwa wa maisha yako mwenyewe.
23. Unazeeka haraka, watu unaowapenda hawakupendi, watu unaowaheshimu hawakuhehimu wanakudharau. Watu unaowatunza na kuwahudumia hawatambui jasho lako, tena kama ni mkeo anahonga wanaume wengine.
My friend ukianza kuhisi mambo kama haya ujue usilalamike, usione ni kawaida, tambua kuna waya mkubwa umekanyaga.
24. Jua uso wa Mungu wako uko mbali na wewe. Na kuna mambo unatakiwa uyafanye. Kumkaribia Mungu.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam