Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

ni kweli ndivyo ilivyo mi nsilopenda kutendewa huwa simtendei mwingine na mi kwangu kutandika kitanda wala siyo ishu hata kidogo na ndio maana hata nimethubutu kukutia moyo we pia ujaribu,au nilikosea wapi mkuu?

hujakosea kitu mkuu,

nakuchangamsha tu..............
 
wala sio majaribuni mkuu it's jst a piece of ushauri usiogope mkuu hii ni jf were we dare to speak openly.

wewe si umemsikia Aspirin akisema kuwa,

wanaume wanaotandika vitanda, ---- moja linakuwa kubwa kuliko jingine...lol..
 
Hongera mkuu we ushafaulu kwa kiwango kikubwa tu.....mimi nilishafeli mitihani yote uliyoitaja eti kufua????? Kupika??? Kudeki??? euuuwii. Mi nlishamuomba msamaha kwa yote hamna nnalomsaidia hata moja.
 
mazoea yanatabu.....ukiwabachela ulikuwa hutandiki leo utaanzaje?
MDOSINAYEAJIUA2.jpg
​
 
mmmhhh kwa hiyo na we babu mpaka bibi simu imemharibika bafuni afu kwa ajili ya mihemko na labda uliyempa hiyo mihemko ni wewe,unashindwa kumnunulia simu mpya mpaka umuazimie??????????mmmhh mi bibi yangu nampenda sana tu na siwezi kumyima chochote ila em mnunulie simu nyengine banah show love banah :mwaaah: :mwaaah: :mwaaah: vipi babu?
Tangu juzi ile. Aliingia nayo bafuni kwa bahati mbaya mhemko ukamshinda ikadondoka.

Muazime yako kwa muda basi kama kweli unampenda.
 
Hongera mkuu we ushafaulu kwa kiwango kikubwa tu.....mimi nilishafeli mitihani yote uliyoitaja eti kufua????? Kupika??? Kudeki??? euuuwii. Mi nlishamuomba msamaha kwa yote hamna nnalomsaidia hata moja.

mmh..pole aisee,

wewe inabidi uende rehab dah....

mie la kutandika kitanda ndo mtihani kwakweli
 
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa wala huyo babu yangu usimsikilize hata kidgo atakufanya upate presha bure,sio kweli hata.
wewe si umemsikia Aspirin akisema kuwa,

wanaume wanaotandika vitanda, ---- moja linakuwa kubwa kuliko jingine...lol..
 
inakusuta wakati na wewe umekilalia akisafiri mkeo kitanda hakitandikwi mwezi wala neti haitolewi unafanya kudumbukia tu
sijui ni mazoea au la,

kwani mengine yote nipo sawa kabisa kuyafanya,

lakini hili la kitanda lol....nafsi inanisuta....
 
Hongera mkuu we ushafaulu kwa kiwango kikubwa tu.....mimi nilishafeli mitihani yote uliyoitaja eti kufua????? Kupika??? Kudeki??? euuuwii. Mi nlishamuomba msamaha kwa yote hamna nnalomsaidia hata moja.

Yani hakika mimi na wewe tutaurithi ufalme wa mbinguni kwa kuutendea haki uanaume hasa ukizingatia Mungu mwenyewe ni Mwanaume wa shoka.
 
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa wala huyo babu yangu usimsikilize hata kidgo atakufanya upate presha bure,sio kweli hata.

Acha kumdanganya mwenzio. Unataka avae bikini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom