Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Atakuwa kafanya kosa kubwa sana.

İtakula kwake mazima.

Sitegemei kama atathubutu kuwa mjinga wakati anajua kuna plan B.

Kaka hivi bado kikosi B hakijawa na uwezo wa kushiriki kwenye ligi kuu...lol..
 
kwa hiyo mkeo akisafiri kitanda kinakua vururu vururu
full michanga kama beach vile?

duh
pole sana

akiwa amesafiri huwa najizoa na mie natandika kimtindo,

issue ni kama akiwepo home.......aaah kwakweli ni mtihani, uongo mbaya
 
ahaaaa! unakosa uhondo bacha! kutandika kitanda kuna raha yake hasa kama ulikitumia ipasavyo, zile hisia za shughuli nzima ilivyokwenda zitakuja kichwani na kukuletea raha, unaweza kujikuta unatamani ukitumie tena muda ule ule. Kutandika kitanda hasa kwa mwanamume ni moja ya vitu vinavyohamasisha kuendeleza shughuli... fanya uchunguzi then utanipa jibu

Acha kumdanganya mwenzio.

Mkuu bacha usimsikilize huyu adui wa uanaume. Watakucheka watu.
 
Last edited by a moderator:
haya babu umeshinda msalimie bibi.
Atakuwa kafanya kosa kubwa sana.

İtakula kwake mazima.

Sitegemei kama atathubutu kuwa mjinga wakati anajua kuna plan B.
 
mmmmmhhhh hapana babu usimpotoshe mwenzio banah wamcheke watu kwani hao watu wataenda kumchungulia chumbani anavyotandika au ataenda kutandikia nje? bacha mwaya we jijaribie alivyokwambia happiness win huyu babu Asprin wala aikupotoshe,labda kama watu wa kwenu wambea kila asubuhi wako kwenye madirisha ya vyumba vya watu kuchungulia ya wenzao,na hata kama wakijua kwani inahuu unawaambia mtuwache sie tupume twaoneshana mahaba ya dhati.
Acha kumdanganya mwenzio.

Mkuu bacha usimsikilize huyu adui wa uanaume. Watakucheka watu.
 
Last edited by a moderator:
Acha kumdanganya mwenzio.

Mkuu bacha usimsikilize huyu adui wa uanaume. Watakucheka watu.

ndo maana nimemwambia hapo juu kuwa aniache nitafakari hii observation yake........

inataka moyo kaka...........
 
mmmmmhhhh hapana babu usimpotoshe mwenzio banah wamcheke watu kwani hao watu wataenda kumchungulia chumbani anavyotandika au ataenda kutandikia nje? bacha mwaya we jijaribie alivyokwambia happiness win huyu babu Asprin wala aikupotoshe,labda kama watu wa kwenu wambea kila asubuhi wako kwenye madirisha ya vyumba vya watu kuchungulia ya wenzao,na hata kama wakijua kwani inahuu unawaambia mtuwache sie tupume twaoneshana mahaba ya dhati.

Mwanaume anayetandika kitanda hafichiki. Kalio moja linakuwa juu zaidi ya jingine kama wacheza pool table wanaokunywa soda. Tutamjua tu.
 
mmh, wewe Blue G,

hebu itafakati tena hiyo signature yako,

mbona imekupa jibu zuri tu.............lol..
 
mmh..wewe Blue G, ngumu kumeza ujue...lol...
hapana mkuu bacha wala sio ngumu ni kiasi tu cha kujizoeza utaona mambo yanenda vizuri tu,after all the thing is soooo romantic,em kajaribu kufanya hivyo na wife uje utupe feedback ukikuta hali ni lie ile basi hapo tutasema kweli there is no way out.
 
heeeeeeeeeeeheeeeeeeeeeheeeeeee we babu wewe umetolea wapi hizo characters?mmmmhhhh mabwaku eti.
Mwanaume anayetandika kitanda hafichiki. Kalio moja linakuwa juu zaidi ya jingine kama wacheza pool table wanaokunywa soda. Tutamjua tu.
 
ndo maana nimemwambia hapo juu kuwa aniache nitafakari hii observation yake........

inataka moyo kaka...........

Ukizoea shauri zako. Utatumwa gengeni ukanunue pilipili hoho.
 
Tumetofautiana mkuu. Mi kuosha vyombo labda niburuzwe na tingatinga la manispaa ya Kinondoni.

Ni heri nikapime ukimwi kuliko kuosha vyombo. Mtihani mkubwa wa kitaifa huo.
Aiseee kweli mkuu umedhamiria kutoosha vyombo. Yani uko tayari ukapimwe ukimwi kuliko kuosha vyombo??? Hehehe izi ndo morning vibes nazozipenda jf
 
mkuu kidog sijakusoma vizuri unataka kumaanisha nini?
mmh, wewe Blue G,

hebu itafakati tena hiyo signature yako,

mbona imekupa jibu zuri tu.............lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom