Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
hakuna kitu ni kujiendekeza tu kwani mkiosha vyombo mikono inavunjika ama?Mkuu kuosha vyombo ni janga la kiumeni wallah.
hakuna kitu ni kujiendekeza tu kwani mkiosha vyombo mikono inavunjika ama?Mkuu kuosha vyombo ni janga la kiumeni wallah.
sijui ni mazoea au la,
kwani mengine yote nipo sawa kabisa kuyafanya,
lakini hili la kitanda lol....nafsi inanisuta....
hakuna kitu ni kujiendekeza tu kwani mkiosha vyombo mikono inavunjika ama?
Mwishowe mtataka na sisi tubebe mimba. Wabaya sana nyie.
mmh.....we mwana wewe , taratibu basi...lol....
Funga macho..tandika tu kitanda...me ningekujua kama ndio zako ningejitia naumwaa hoi, nione kama tutalala bila kutandika au vp..
Kuosha vyombo tena????
God forbid!!!!
ha ha ha aha ah aha,
hebu funguka kaka...lol.
Mkuu kuosha vyombo ni janga la kiumeni wallah.
Hapo penye nyekundu palinifanya niwe maarufu sana kwenye take away na Mama ntilie mbalimbali
Hata mke wangu anafaham vema kabla sijaoa nilikuwa nakula barabarani tu, hata nikiwa na wageni kumi nilikuwa nalazimika kuwapeleka kula huko ili niondokane na janga la kuosha vyombo. To me suala la kutandika kitanda halijawahi kuwa tatizo hata sasa, ikitokea wife amewahi kuamka kabla yangu lazima akute nimetandika kitanda japo nakuwa sijajua kama ni siku ya kubadirisha mashuka ama lah! hivyo kumlazim kutandua na kutandika upya
unajua nkululeko,hiyo kitu haipo moyoni kabisa,
yaani kama utasema kuwa sikupendi kisa siijakutandikia kitanda,
basi na iwe ivo.........
kutumia mnatumia wote
kutandika tuu ikupe shida??
Umenichekesha sana....tunawafanyia kila kitu mnakuwa kama watoto wadogo kuosha vyombo unaona ni kitu kikubwa...
kweli haya majanga tunatofautiana sana aisee,
mie kufua sina shaka, nafua tena huku napiga mluzi kabisa!
Hapo penye nyekundu palinifanya niwe maarufu sana kwenye take away na Mama ntilie mbalimbali
Hata mke wangu anafaham vema kabla sijaoa nilikuwa nakula barabarani tu, hata nikiwa na wageni kumi nilikuwa nalazimika kuwapeleka kula huko ili niondokane na janga la kuosha vyombo. To me suala la kutandika kitanda halijawahi kuwa tatizo hata sasa, ikitokea wife amewahi kuamka kabla yangu lazima akute nimetandika kitanda japo nakuwa sijajua kama ni siku ya kubadirisha mashuka ama lah! hivyo kumlazim kutandua na kutandika upya
Mwishowe mtataka na sisi tubebe mimba. Wabaya sana nyie.
Narudia tena, kuliko nioshe vyombo ni afazali niwahi angaza kupima na kupokea matokeo ya ukimwi.