Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
803
Kiukweli wanaume tunawapenda sana wake zetu sio siri......,

ukiachana na misukosuko midogo midogo ya kimaisha inayojitokeza kila siku,

kuna wakati tunadiriki hata kuwasaidia kazi ndogo ndogo za home, kupika, kufua n.k.

ili kudhihirisha wazi kuwa tunawapenda,......

mwenzenu mie karibu mengi tu nayafanya tena bila kinyongo.....

Lakini hili la kumsaidia my wife kutandika kitanda lol......

Nimeshindwa aisee.......yaani najiona nakuwa mdogo kupitiliza, moyoni naona nimedharauliwa mpaka basi......

Nawasilisha..........wenzangu mnaweza toa ushuhuda!!!!!!!

Asubuhi njema
 
mazoea yanatabu.....we unadhan kama ukiwabachela ulikuwa hutandiki leo utabadilikaje?

sijui ni mazoea au la,

kwani mengine yote nipo sawa kabisa kuyafanya,

lakini hili la kitanda lol....nafsi inanisuta....
 
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaa bacha nisamehe em mi nicheke kwanza maanake umenichekeshaje?sasa kama umeweza kukubali kumsaidia aife kuosha vyombo na kufufa hilo dogo tu la kutandika kitanda linataka kukutoa roho jamani?
 
Last edited by a moderator:
Hata la kupaka mafuta miguuni na mgongoni, keshakusamehe buree, kuoga mara moja, kurudia soxi, na mengineyo!
 
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaa bacha nisamehe em mi nicheke kwanza maanake umenichekeshaje?sasa kama umeweza kukubali kumsaidia aife kuosha vyombo na kufufa hilo dogo tu la kutandika kitanda linataka kukutoa roho jamani?

Kuosha vyombo tena????

God forbid!!!!
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaa bacha nisamehe em mi nicheke kwanza maanake umenichekeshaje?sasa kama umeweza kukubali kumsaidia aife kuosha vyombo na kufufa hilo dogo tu la kutandika kitanda linataka kukutoa roho jamani?

yaani sijielewi tu Blue G, kiukweli mengine nayafanya kwa upendo kabisa,

issue inakuja kwenye hili la kutandika kitanda lol..,

yaani najiona kuwa nimedharauliwa mpaka basi,,

imani yangu inaniambia kuwa hila la kitanda limekaa ki kike zaidi....lol..
 
bacha unajua kila unavyolalamika kuhusu kutandika kitanda mi ndo unazidi kunichekesha(sory sikudharau ila i cant help it jamani),ila em nikuulize kitu meshawahi kukaa na wanaume wenzio mkaonegelea masuala ya kutandika vitanda majumbani?

siri za chumbani zinapokuelemea bora ukasema then utashauriwa
 
kaka yangu nikuambie ukweli, hilo ni dogo sana jamani! sasa wakati hujaoa ulikuwa unatandikiwa kindana na nani? pole sana kiukweli ila mi nakuomba msaidie pale anapohitaji kwani hilo ni dogo mno, not to mention ni la ndani sana hakuna ktu atakayejua km wewe ndio umetandika hicho kitanda...km umeweza hadi kufua ambapo watu wanakuona sembuse kutandika kitanda? pole sana ndg yangu, mimi nakutoa hofu kuwa hilo sio suala la kike we msaidie tu waifu.
 
bacha unajua kila unavyolalamika kuhusu kutandika kitanda mi ndo unazidi kunichekesha(sory sikudharau ila i cant help it jamani),ila em nikuulize kitu meshawahi kukaa na wanaume wenzio mkaonegelea masuala ya kutandika vitanda majumbani?

sijawahi, mara nyingi wanaume huwa hatuongei maswahibu yetu ya ndani,

tunaugulia ndani kwa ndani,

hata hivyo nimelileta hapa ili nione wadau wengine wanalionaje lol...
 
kutumia mnatumia wote
kutandika tuu ikupe shida??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom