Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

hilo kwangu si kipimo cha mapenzi hata kidogo, kuna siku kama jumapili mie naamka mapema naenda church nikirudi yeye ameamka hajafanyia usafi kitanda tulicholalia, yaani shaghala baghala kabisaaaa, hapana aisee, atandike tu hivyo hivyo japo hawezi tandika kama mie ninavyotandika but afanye hivyo hivyo mie nitarekebisha tu, sio akurupuke kama kafumaniwa.

mmh...hivi huwa huoni raha sana baadhi ya kazi ukazifanya wewe na ukazisimamia kwa asilimia zote....,

huoni kama hili la kutandika kitanda linakuhusu kwa asilimia 100?
 
Aine mm sijui tu,

yaani najikuta napata shida kweli kwenye kutandika kitanda,

nadhani nimeathirika kisaikolojia...........mungu anisamehe tu
basi nataka nidhihirishie kuwa hakuna shida hata kidogo, tena unapaswa kujisikia vibaya unapopika mbele za watoto au kufua kuliko kutandika kitanda, kwanza huongeza mapenzi kwa mwenzi wako mnasaidiana we unatandika upande huu yeye anatandika upande ule, so very nice, haina shida bacha
 
Mke wangu alipokuwa mjamzito alinitoa jasho siku moja kidogo roho initoke.

Tumeenda pharmacy mara moja akaona sijui mafuta gani(nadhani ya nazi I dont know) akakomaa yanunuliwe. Poa nikanunua.

Heeeeee akataka nimpake miguuni pale pale pharmacy. Ee bana ee watu kibao madada, wamama, wife kitumbo kiko mbele ndiii(alikuwa trimester ya 3, ya mwisho).

Daah nikamtupia jicho, naye akakaza, nikajua hapa hakuna mjadala. Akakaa kwenye kitu mzima mzima, dah!! Wamama na visistaduu vinatoa macho!

Ee bana nikaenda chini mdogo mdogo nikampaka aisee. Nimenuna mbaya!! Baada ya kumaliza nikaona mwenzangu ana lile tabasamu kama nilipomuona siku ya kwanza maishani.

Wale wamama na visista du wakafuraaaahi wenyewe. Moyoni nimekasirika kinyama. Nikapitia ndovu mbili(maana hapo sababu nishampaka mafuta naweza kupiga bia).

Hahaha mapenzi yanafurahisha sana. Mimi namsaidiaga kutandika anashika kule mimi huku ila weekend mara nyingi au kama dogo akisumbua mama akatoka nae natandika tu si haba. After all chumba kikiwa hakijatandikwa kinakera.
 
asante kiongozi kwa ushuhuda wako....lol..
 
basi nataka nidhihirishie kuwa hakuna shida hata kidogo, tena unapaswa kujisikia vibaya unapopika mbele za watoto au kufua kuliko kutandika kitanda, kwanza huongeza mapenzi kwa mwenzi wako mnasaidiana we unatandika upande huu yeye anatandika upande ule, so very nice, haina shida bacha

Naona Aine unajitahidi kunishawishi hapa lol...
 
raha bwana mkeo/mpenzio avute tandko upande mmoja we uvute upande mwingne

ewaaa hapa umenena...ila huyu mume alikua hatandiki kitanda chake kipindi anaishi mwenyewe!!?
 
haaaa kwani kuna ubaya gani yani mwenzio kila siku atandike kitanda jamani wakati kulala mnalala wote
 
usifurahishe genge, wewe huwa unatandika?
 
Acha kumdanganya mwenzio.

Mkuu bacha usimsikilize huyu adui wa uanaume. Watakucheka watu.

unathibitishaje kama nadanganya wakati hujafanya uchunguzi! hebu kesho asubuhi baada ya shughuli zako za kitandani fanya jaribio la kutandika kitanda, nasubiri jibu lako kesho. He, mie ni adui wa uanaume??? kwa vipi? sio kweli umenifananisha banaaaaaaaaaa bacha nisikilize mimi fanya nilivyokwambia
 
Last edited by a moderator:

mmh...wewe happiness...
 
Halafu bacha unajua raha ya kukunja shuka ama blanket pamoja mkutane katikati????
 
Dah mkuu hongera yako kwa kutoa huduma nyingi kiasi hicho! Mi kutandika, kushisha net, kufua, kudeki hayo siwezi mengine nitafanya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom