Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Kwenye hili mke wangu naomba unisamehe

Mwanaume anayetandika kitanda hafichiki. Kalio moja linakuwa juu zaidi ya jingine kama wacheza pool table wanaokunywa soda. Tutamjua tu.



kiongozi wangu bora umesema,

mie nawaonaga tu barabarani........kumbe kwishajua hii maneno lol..
 
Kiukweli wanaume tunawapenda sana wake zetu sio siri......,

ukiachana na misukosuko midogo midogo ya kimaisha inayojitokeza kila siku,

kuna wakati tunadiriki hata kuwasaidia kazi ndogo ndogo za home, kupika, kufua n.k.

ili kudhihirisha wazi kuwa tunawapenda,......

mwenzenu mie karibu mengi tu nayafanya tena bila kinyongo.....

Lakini hili la kumsaidia my wife kutandika kitanda lol......

Nimeshindwa aisee.......yaani najiona nakuwa mdogo kupitiliza, moyoni naona nimedharauliwa mpaka basi......

Nawasilisha..........wenzangu mnaweza toa ushuhuda!!!!!!!

Asubuhi njema
kweli mkuu hata mimi kutandika kitanda ni Big NO.
kingine kufua pia ni Big NO!
 
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa babu yangu banah imeharibika tokea lini?

Tangu juzi ile. Aliingia nayo bafuni kwa bahati mbaya mhemko ukamshinda ikadondoka.

Muazime yako kwa muda basi kama kweli unampenda.
 
huo ni udhaifu tu mkuu!mbona kusaidiana ni kawaida sana tu,hata kufanya usafi wa chumbani wakati mwingine ni vyema kusaidiana mkuu kikubwa ukifika 6x6 lazima uweke heshima pale ndipo pa kuonyesha kwamba wewe ni baba mkuu.
 
Ukizoea shauri zako. Utatumwa gengeni ukanunue pilipili hoho.


haha ha ha aha ha ha aha,

kiongozi nimekupata.......hivi kukunua pampus ni sawa na kununua pilipili hoho

ha ha ha ha aha ha
 
huo ni udhaifu tu mkuu!mbona kusaidiana ni kawaida sana tu,hata kufanya usafi wa chumbani wakati mwingine ni vyema kusaidiana mkuu kikubwa ukifika 6x6 lazima uweke heshima pale ndipo pa kuonyesha kwamba wewe ni baba mkuu.


dah.....haya asante msemakweli,

uanaume kitandani au sio,

na ukimaliza hapo usisahau kutandika kitanda
 
hapana mkuu bacha wala sio ngumu ni kiasi tu cha kujizoeza utaona mambo yanenda vizuri tu,after all the thing is soooo romantic,em kajaribu kufanya hivyo na wife uje utupe feedback ukikuta hali ni lie ile basi hapo tutasema kweli there is no way out.


mmh...wewe hebu usinitie majaribuni,
 
Aiseee kweli mkuu umedhamiria kutoosha vyombo. Yani uko tayari ukapimwe ukimwi kuliko kuosha vyombo??? Hehehe izi ndo morning vibes nazozipenda jf

Mkuu kupima ngoma labda iingizwe kwenye rasimu ya katiba ntakuwa sina jinsi. İla kuosha vyombo ikiingia kwenye katiba niko radhi nikawe raia mtiifu wa Kagame. Aftaroo Kwetu Kuzuri, kwanini ayaruhusu???
 
haha ha ha aha ha ha aha,

kiongozi nimekupata.......hivi kukunua pampus ni sawa na kununua pilipili hoho

ha ha ha ha aha ha

Sasa hilo ndo janga la kiumeni. Yani kwa lugha ya kiMulugo tunasema hapo mwanaume umeskoo divishen faivu.
 
Sasa hilo ndo janga la kiumeni. Yani kwa lugha ya kiMulugo tunasema hapo mwanaume umeskoo divishen faivu.

haha ha ha ha ah aha ha aha,


division faivu = ufaulu haifu sana.....................
 
we kajifunze kutandika tu huko


Hivi Mwallu,

ukishamaliza kutandika kitanda,

unatakiwa uende ukamkaribishe wife sasa tayari kwa kuja kulala eeeh.....

ngoja Aspirin aje, atoe ushuhuda kwenye hili......
 
Hivi Mwallu,

ukishamaliza kutandika kitanda,

unatakiwa uende ukamkaribishe wife sasa tayari kwa kuja kulala eeeh.....

ngoja Aspirin aje, atoe ushuhuda kwenye hili......

Kwani kitanda kinatandikwa kabla au baada ya kulala?? Mi nachomokaga namwacha wife kalala, nikienda kulala namkuta kishalala. Mi hata sijuagi haya makitu.
 
ni kweli ndivyo ilivyo mi nsilopenda kutendewa huwa simtendei mwingine na mi kwangu kutandika kitanda wala siyo ishu hata kidogo na ndio maana hata nimethubutu kukutia moyo we pia ujaribu,au nilikosea wapi mkuu?
usilolopenda kutendewa wewe usimtendee mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom