Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
haya basi kukata maneno naomba ujiandae sasa hvi nakupitia twende AMREF maanake huo msisitizo huo sio bure.
Narudia tena, kuliko nioshe vyombo ni afazali niwahi angaza kupima na kupokea matokeo ya ukimwi.