Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,940
Tena tunasema, Ndugui asitubabaishe. TL hatakufa njaa, hatasalimu amri kwa sababu ya njaa na wala hatafedheheka kwa sababu mawakala wa shetani wameamua kumkomoa TL, ntu asiye na hatia yoyote
Maana kwa unyama huu waliomfanyia, hata shetani halisia huwa ana huruma.
Tutamchangia TL. Atapata hela ya kula, atapata hela ya kuwasomesha watoto wako na kuitegemeza familia yake. Huyu
TL amejitoa nafsi yake, mwili na uhai wake kwaajili kuwatetea watanzania na Taifa kwa ujumla dhidi ya watu waliodhamiria kuua misingi ya Taifa letu ambayo ni upendo, umoja na mshikamano kwa kuheshimu utu wa kila mtu, uhuru wa kila raia katika kutoa maoni, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kujieleza na kujitetea, uhuru na haki ya kukusanyika, na wajibu wa serikali kutii mamlaka iliyo juu ya mamlaka zote, yaani wananchi wa Tanzania.