Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue😀😀😀😀
Hili ni jambo la kawaida kabisa. Picha lazima iendane na mazingira ya tukio. Umewahi kuona matangazo ya mashirika makubwa kama Red Cross, Unicef au mashirika makubwa ya misaada wanapoomba donation kwenye TV? Umewahi kuhudhuria mazishi? Sauti ya ma-MC inakuwaje? Kw kifupi ni lazima picha inayotumika kwenye kuomba msaada imkumbushe au kumwonyesha mtoa msaada mtarajiwa ni kwanini msaada unaombwa.
 
CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue😀😀😀😀
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.
 
CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue
Mwanaume kuwa na wivu wa kike kwa mwanaume mwenzio ni dalili za ushoga.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
La mhimu zaidi, pamoja na michango hii ni kwa waTanzania kuonyesha ubinaadam wao kwa mTanzania mwenzao.

Hili linatakiwa liwe somo mhimu sana kwa wale wachache wetu wanaotaka kulifanya Taifa hili liwe la mifarakano.

WaTanzania wapeleke ujumbe usio na shaka kwa viongozi, kwamba inapohusu maisha na usalama wa waTanzania, sote tunasimama pamoja bila kujali siasa zinazotumiwa kutugawa.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hyo ni kweli kabisaa, Mama Samia na Majaliwa na wengine weeengi natarajia watamchangia na mungu atawaadhibu kama watapita kushoto
Upinzani upo Moyoni na si katika Kusema, Jiwe labda uuwe woote Watanzania hapo utaua Upinzani! Usikute hata Samia, Janeth na Majaliwa wanaweza Mchangia Lissu, labda wewe na Bashite ndiyo hamuwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.
Kama Jiwe anavyotaka kuwadanganya Watanzania huongea kwa sauti ya upole huku akisema "msema kweri ni Mpenzi wa Mungu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu atasurvive vizuri tu katika maisha nje ya ubunge.

Lissu tunampenda sana Watanzania hatukubali apate shida sababu ya ni mtetezi wa kweli wa rasilimali za nchi hii.

Wale waliopanga kumuua kwa risasi ikashindikana wakaamua kumnyima haki zake za matibabu ili afe nayo ikashindikana, baada ya kuona Watanzania tulijitoa sana kwake kumchangia matibabu wakaja na mbinu ya kijinga ya kumpora stahiki zake za kibunge, lakini hili nalo tunawaambia limefail kabla halijaanza maana Lissu tutamchangia pesa ndefu sana hadi watesi wake watashangaa.

Wale wenye roho mbaya na za kikatili endeleeni tu kununa maana Lissu anaenda kupata pesa nzuri toka kwa Watanzania wenye mioyo ya utu inayojali binadamu wote bila mitazamo ya kiitikadi.
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom