Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

Kuna la kujifunza hapo. Ujiulize ni kwa nini wanatoa bila shuruti na walikuwa wanalilia wapatiwe njia za kuwasilisha michango yao. And, people are still longing for such means of contribution to be well informed to them. Watu wana uchungu, hasira na mengi mengineyo.
Hii inaitwa Back-Lash. Watu wanachanga kwa huruma, lakini pia kukomoa kwa hasira. Ila tuseme za ukweli Raisi Magufuli hapendwi na wengi, ni makada wachache wanaonufaika ndiyo wamekomaa kumsifia.
 
La mhimu zaidi, pamoja na michango hii ni kwa waTanzania kuonyesha ubinaadam wao kwa mTanzania mwenzao.

Hili linatakiwa liwe somo mhimu sana kwa wale wachache wetu wanaotaka kulifanya Taifa hili liwe la mifarakano.

WaTanzania wapeleke ujumbe usio na shaka kwa viongozi, kwamba inapohusu maisha na usalama wa waTanzania, sote tunasimama pamoja bila kujali siasa zinazotumiwa kutugawa.

Mungu Ibariki Tanzania.
Safi sana ndugu Mungu akubariki.tulichanga tunachanga na tutaendelea kuchanga.wale waliomkasilikia MUNGU kwa kumponya Lisu. poleni sana.NA ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI.
 
Tunachanga tuu kwani kitu gani thamani ya utu wake ndio inafanya hata kama unashida unaona ni afadhali mgawane tuu sio mimi ni nafsi imenlazim kuchanga nikiona watesi wameshindwa majaribio yote ya kudhuru nafsi kwa kujificha sasa hadharaaaaaani! Mwenyezi amsimamie pia katika pito hili tulichanga alipolala bila kutegemea ataamka lini kwa sasa nachanga kwa shangwe zote mana chuma cha pua kipo fit
 
Ni vema Chadema ikaweka wazi jambo hili ili lieleweke , ni kweli kabisa kwamba kuna kampeni imesambazwa dunia nzima ya kumchangia Mh Lissu baada ya mawakala wa shetani kuzuia mshahara wake , watu wameanza kuchanga kwa kishindo sana , tunashukuru sana na kwa kweli tunamuomba Mungu awajazie palipopungua.

Lakini ni vema michango hii isitokane na wanaccm , na kama kuna mwanaccm amechangia mpaka sasa basi ARUDISHIWE PESA ZAKE , tunahitaji mchango lakini hatupokei pesa za majini , hatupokei hela zilizojaa damu , hizo hapana , hatuzitaki , Kupokea hela za mchango wa Mh Lissu kutoka kwa wanaccm ni sawa kukufuru Mungu , ni kumdhalilisha Lissu mwenyewe , hii haina tofauti na KUTAKATISHA PESA , Tusikubali

Naomba kuwasilisha.
 
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.

Haikuhusu. Nyie subirini ajali na matetemeko mkapige hela ya rambi rambi, lakini sisi tunamchangia TL. Over
 
Ni vema Chadema ikaweka wazi jambo hili ili lieleweke , ni kweli kabisa kwamba kuna kampeni imesambazwa dunia nzima ya kumchangia Mh Lissu baada ya mawakala wa shetani kuzuia mshahara wake , watu wameanza kuchanga kwa kishindo sana , tunashukuru sana na kwa kweli tunamuomba Mungu awajazie palipopungua.

Lakini ni vema michango hii isitokane na wanaccm , na kama kuna mwanaccm amechangia mpaka sasa basi ARUDISHIWE PESA ZAKE , tunahitaji mchango lakini hatupokei pesa za majini , hatupokei hela zilizojaa damu , hizo hapana , hatuzitaki , Kupokea hela za mchango wa Mh Lissu kutoka kwa wanaccm ni sawa kukufuru Mungu , ni kumdhalilisha Lissu mwenyewe , hii haina tofauti na KUTAKATISHA PESA , Tusikubali

Naomba kuwasilisha.
Kuendelea kupata vichekesho Kama hivi tuma neno UKIWA kwenda namba 2025.
 
Back
Top Bottom