Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

Anachangisha watu hela alafu anazifuja Huyu mtu namshangaa sana kilichompeleka Huko ni matibabu ambayo kwngine hayapatikani (sijui) kwasasa ivi sjui anatibiwa nini ambacho hakiwezi fanyika huku Nchini kwake (sijui)
 
Kaka, mtanzania wa kawaida ukimwambia kwamba Raisi Magufuli anaharibu hawezi kukuelewa kabisa. Lakini sisi tunaofanya kilimo na biashara tunajua kabisa kwamba Raisi nchi imeshamshinda ila analazimisha akiamini kwamba There's is a magic hand ambao unaweza kurudisha things to default.

Ameshachelewa sana na watanzania tumeshamjua yeye ni mtu wa aina gani. Kiongozi mimi nasema hivi, ifike mahali tuachane na kutegemea taasisi ya Uraisi katika kusubiri maendeleo maana kwa mifumo hii iliyopo hata upinzani wakishika ikulu watavuruga tu.

It's about time we change for the better. Ile katiba ya mwaka 1977 tuiweke kwenye makumbusho na tuangalie ni mbinu gani mbadala inaweza kulitibu hili tatizo.
Watakao kuelewa n wachache sana
 
Back
Top Bottom