de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,083
- 21,969
Kwanza kabisa kuna dhana mbaya sana kuhusu eti wanaume hawaumizwi na mapenzi... My friends si mnajioneaga jinsi wanavyojiuwa? It's no joke.
Mkimwona mwanaume haendekezi wanawake na mwenye utimamu linapo kuja swala la wanawake, sio kwamba kuna muujiza umetokea.
Nikuwa anakuwa kashapitia Mikasa mibaya ambayo imemfanya kawa mkubwa kihisia.... Sasa anaona upendo wa dhati si ule wa kujishusha ama kudanganyana kwa delayed messages, kwa kupigana vizinga na mengineyo.
Nani anaijua depression ya kuachwa na pisi kali?
Binafsi nilikuwa mtoto fulani hivi niliyekuzwa katika kuambiwa mm ni handsome, na hakuna msichana ambae anaweza kuni kataa.. Sasa huu ujinga nilitumia sana kuumiza wasichana kihisia maana I thought I was more way superior and approachable japo niliyekuwa na make moves ni mimi(how delusional I was)
Sasa bwana kuna tukio lilinikumba mnamo mwaka 2023..nilipigwa tukio lililo badilisha kabisa dhana ya mapenzi.
Yule manzi mm ndo niliyempenda and it was amazing. Ila tulivyo kuja kuachana kimasihara nilipitia depression mbaya sana.. Nitalelezea jinsi ilivyokuwa ili mtu ambaye haja pitia hii kind of depression alone ukubwa wa maumivu deadly hichi kitu ilivyo..
1: kwanza ni stage ya majivuno.
Hapa unakuwa unadhani wewe ndo uko sahihi, eti nimemnyoosha atarudi tu huyu mjinga! Hapa utaendelea kuwa na fslse sense of egoism
2: maumivu ya kwanini harudi
Hapa unakuwa najilaumu kimtindo kuwa ulimess up kufanyia vile na kuwa pushy. Hapo bado ego inakudanganya.
3: unamtafuta na unakula za uso(maumivu ya mwanzo)
Hapa unaanza kuumia hasa hasa, wazee utaona ile yeye kupokea simu ni kama kufunguliwa kutoka kifungoni. Ila it's too late. Hapa utakuwa Unaumia, hichi ndo kipindi maumivu huanza kuumiza vibaya mnoo..
4 kiini cha maumivu
Hapa sasa ndo penyeew unaumizwa na kila kitu mpaka unaweza kudhani umechanganyikwq... Kuna maumivu nilikuwa nayo hasa tumboni(unakuwa unahisi kama kuna moto una kupunguza una nzi chini ya tumbo(upper abdomen) then unasokota hapo hisia za mapenzi, jinsi unaji dharau why huyu mshenzi alinichukuliaje.. Oyaa usiku hulali mzee. Yaani ni kama hujui haya maumivu yanatokea wapi ila yanasokota kuanzia kwenye tumbo yanapanda mpaka kwenye moyo... Repeatedly.. Ni hatari sana.. Hii stage huwa ni mbaya na mtu anaweza kufanya maamuzi mabaya. Kama mtu ukiona anapitia hichi kaa nae thru it all. Mpe hata distraction ya aina yoyote ili imsaidei kuvuka.
4 maumivu hatua ya mwisho(kujidharau na kuona utata wote)
Hapa unagundua ulikuwa mjinga kudhani kuna soul mate, ana mtu sahihi kwa ajili yako pekee. Unaacha kabisa kuona mapenzi kama kitu cha muhimu kivile. Kumbuka mpaka kufikia hatua hii, hisia kwa watu wengine hazipo zero.. (huwa nawashangaa wanaoachika leo kesho kashadandia mwingine, hayo sio mapenzi bali desire na sio mbaya pia)
Katika hii stage pia unaanza kumwona ex kama mtu wa kawaida na uzuri wote alikuwa nao ni wa kawaida tu.. Hapo unaanza kuona kumbe na yeye ni mtu kama wewe na ana machaguzi yake.
5 fully healed
Hapa sasa unatoka kuwa mtu mpya yaani unakuwa mtu wa kuchukulia mahusiano serious, unaacha kudesire kwa matarajio.. Unakuwa unajua kabisa huyu ni wa kuweka ndani huyu ni one hit wonder.
Mwisho kabisa najua kila mtu wanabeba hisia tofauti so mambo ya kuja naentality eti sijui wewe uko hivi kwasababu ni weak. Unakuwa mshamba tu. Kama huja experience ndo hata usije dhani unaongea kujifurahisha.
Love desperately but never forget on the other side of love is pain