Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

At first I trusted Magufuli. Sasa hivi simwamini kabsaaa! Naamin kuwa wapo watanzania wengi wenye uwezo wa kufanya mazuri ya awamu hii bila kutekana,kupotezana wala kupigana risasi au kuwekana ndani kwa kukomoana.
Kaka, mtanzania wa kawaida ukimwambia kwamba Raisi Magufuli anaharibu hawezi kukuelewa kabisa. Lakini sisi tunaofanya kilimo na biashara tunajua kabisa kwamba Raisi nchi imeshamshinda ila analazimisha akiamini kwamba There's is a magic hand ambao unaweza kurudisha things to default.

Ameshachelewa sana na watanzania tumeshamjua yeye ni mtu wa aina gani. Kiongozi mimi nasema hivi, ifike mahali tuachane na kutegemea taasisi ya Uraisi katika kusubiri maendeleo maana kwa mifumo hii iliyopo hata upinzani wakishika ikulu watavuruga tu.

It's about time we change for the better. Ile katiba ya mwaka 1977 tuiweke kwenye makumbusho na tuangalie ni mbinu gani mbadala inaweza kulitibu hili tatizo.
 
Ccm wanataka kumtajirisha lissu, kumyima mshahara lissu ni blessing in disguise,akina bill gate, Warren buffet wakisikia hii habari watampa hela ndefu.
Hawaelewi binadamu akifunga mlango mmoja mungu anafungua saba.kama walivyojaribu kufunga kwa mwele malechela ili afe njaa
 
Huu ni upendo au ni kukomoa? Sentensi hiyo isitafsiriwe vibaya,

Kuna mtu anaweza kuambiwa kuna majanga au mafuriko akachangia hiyo?

Kuna mambo bwana si yote lazima yaandikwe hata nawatakieni michango miema

Kutoa ni Moyo, Tumchangie mwenzetu

View attachment 1046444

View attachment 1046442

Ishu ya Tundu Lissu is more than michango tu.... It goes beyond that

Ishu hii ni pamoja na kutuma ujumbe kwa watawala kuwa, watanzania hawaburuzwi na propaganda uchwara za kisiasa bali wanajua kila kitu hatua kwa hatua....

Wanawapelekea ujumbe watawala wenye maamuzi serikalini kuwa, Mungu pekee ndiye mwenye hatima ya maisha ya mtu na kamwe si binadamu....!!
 
Wako wana ccm wengi ambao hawakubaliani na alivyotendewa Lissu. Hawawezi kusema lakini wanaumia sana. Msiwakatie michango yao. Damu ya Yesu itashughulika na pesa za majini. Kilangila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni miongoni mwao, japo ni mwaka wa pili sasa sijalipia kadi yangu ya ccm. Dhamira inanisuta. Sitoondoka ccm maana ndiko hazina yangu iliko. Tangu utoto tumeimba ccm no. 1, hadi sasa uikache tu kisa kuna jambo halijakufurahisha? Big no.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela iliyojaa DAMU
nimemkumbuka mrembo Akwilina

Ukiwaza mara mbili eti ubani 80m,kuna mambo yanatia uchungu,ufanye ujinga halafu uwanyamazishe na fungu la nchi

Risasi yenyewe imetoka sijui kwa malaika

Maee...

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mungu hadanganyiki wala hadhihakiwi mwisho wa hawa watu ni mbaya hata ngonjera za viwanda hazisikiki kwenye tungo za kina Roma, Daimond na harmonizer.
 
Kaka, mtanzania wa kawaida ukimwambia kwamba Raisi Magufuli anaharibu hawezi kukuelewa kabisa. Lakini sisi tunaofanya kilimo na biashara tunajua kabisa kwamba Raisi nchi imeshamshinda ila analazimisha akiamini kwamba There's is a magic hand ambao unaweza kurudisha things to default.

Ameshachelewa sana na watanzania tumeshamjua yeye ni mtu wa aina gani. Kiongozi mimi nasema hivi, ifike mahali tuachane na kutegemea taasisi ya Uraisi katika kusubiri maendeleo maana kwa mifumo hii iliyopo hata upinzani wakishika ikulu watavuruga tu.

It's about time we change for the better. Ile katiba ya mwaka 1977 tuiweke kwenye makumbusho na tuangalie ni mbinu gani mbadala inaweza kulitibu hili tatizo.
Watanzania wote wanajuwa si mali kitu ni hasara kwa taifa ngapi zote za maisha wamekuwa kuanzia kitongoji kijiji tarafa silaha mkoa jiji taifa
 
By Mange Kimambi

Tuendelee kumchangia Mh Tundu Lissu, Mpaka sasa zimefika M28 kwa mwezi March, kutoa ni moyo si utajiri.
.
.
Tafadhali tuma pesa kwenda #M_pesa 0754 616 564 au Tigopesa 0716445360 Jina FRANK MUGHWAI.......... Au kupitia benki ya #CRDB nambari ya akaunti 01J2043045300 TUNDU ANTIPAS LISSU.
View attachment 1046472
Hiyo akaunti yake si sahihi sana.Inaweza pigwa pini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom