mistari4G
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 552
- 653
Mama Janet anaweza kua amepanda mbegu ili Lissu aponeTusisahau hulka ya kitanzania ambayo baba wa taifa letu alitujengea "UMOJA NA MSHIKAMANO". Hata kama ni ccm bado wao pia ni watanzania, pia sio wanaccm wote wanaounga mkono udhalimu wa awamu hii.
Atakayeguswa achangie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akikunyanyua hakuna wa kumpinga
Lissu alionekana tantalila ila ss matumbo yanawauma
Sent using Jamii Forums mobile app