Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

Kwani Tundu Lisu kazikataa pesa zitokazo kwa wana ccm au wewe ndiye huzitaki?! na kwani inachangiwa CHADEMA au anachangiwa Tundu Lisu?! Kama Lisu aliomba msaada sidhani kama anabagua ni nani anayemtolea msaada huo, na kama ni wewe binafsi hutaki unakosea. Labda kama unafurahisha humu lakini kama huko serious nitakushangaa.
Lisu kapokea pesa za watanzania waliomsaidia kulipia matibabu yake, hakuangalia ni mwana ccm au CUF aliyemchangia na michango hiyo imemsaidia mpaka sasa, Kama kwenye matibabu hakuchagua kwanini leo achague?!
Mi nadhani michango ipokelewe tu kutoka kwa yeyote anayeguswa.
 
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.
Kwani ulidhani anaomba pesa za kununulia suti? Usiwe akili tope moja kwa moja.
 
Ni vema Chadema ikaweka wazi jambo hili ili lieleweke , ni kweli kabisa kwamba kuna kampeni imesambazwa dunia nzima ya kumchangia Mh Lissu baada ya mawakala wa shetani kuzuia mshahara wake , watu wameanza kuchanga kwa kishindo sana , tunashukuru sana na kwa kweli tunamuomba Mungu awajazie palipopungua.

Lakini ni vema michango hii isitokane na wanaccm , na kama kuna mwanaccm amechangia mpaka sasa basi ARUDISHIWE PESA ZAKE , tunahitaji mchango lakini hatupokei pesa za majini , hatupokei hela zilizojaa damu , hizo hapana , hatuzitaki , Kupokea hela za mchango wa Mh Lissu kutoka kwa wanaccm ni sawa kukufuru Mungu , ni kumdhalilisha Lissu mwenyewe , hii haina tofauti na KUTAKATISHA PESA , Tusikubali

Naomba kuwasilisha.
Kwa hili ntakupinga mpaka mbinguni, rafiki yangu, chembe chembe za "Red Blood Cells".

Najua mstuko huu uliokupata ulipoanzia: ni mada niliyoiweka hapa JF :" Na Hili Je, Linawezekana"?

Kwanza utekelezaji wake tu hauwezekani. Hiyo michango inayochangwa haina rangi ya Kijani wala Nyekundu/bluu. Utajuaje hii ni ya CCM na hii ya CHADEMA, au hii ni ya mTanzania asiyependa kujitambulisha kwa rangi zenu.

Lakini jambo la mhimu zaidi ya hilo hapo juu ni hili: CHADEMA itakuwa inafanya kosa kubwa zaidi wakitaka kuwatenga waTanzania kama wanavyofanya CCM. CCM kwa kuwaonea vyama vya upinzani (waTanzania) kwa msingi wa uanachama wao tu, ni moja kati ya makosa ambayo watajutia sana huko mbeleni.

Kama hivyo ndivyo, kwa nini CHADEMA nao waanze kutuonyesha "roho mbaya" tunayoikataa na tunayoichukia inapofanywa na CCM? Kutakuwepo na tofauti gani kati ya CCM na nyinyi!

Uamzi wa mambo kama hayo uliyoyaweka hapo juu una tofauti gani na CCM kuzuiwa hata kwenda kumjulia tu hali Mh Lissu hospitali?

Naweza nikakuelewa kidogo, ukisema michango ya baadhi yao, kama akina Ndugai na Magufuli, na pengine CCM wachache kama akina YEHODA, Jingalao, Magonjwa Mtambuka, na baadhi ya hao wanaofahamika kushangilia yaliyomtokea Mh Lissu; lakini hamuwezi kumhusisha kila mwana CCM katika ujinga kama huu.

Natumaini hili ni wazo lako binafsi, na halina uhusiano wowote na chama cha CHADEMA.

Erythro, sijasikia hata siku moja ukilalamika kuhusu wateja wanapopitia pale Kariakoo na kukuachia walichonacho!
Huwa zile za maCCM unazikataa? Hebu nipe jibu.
 
Hapa ndipo masisiem wanatamani wazime hata mitandao hakyananii..
 
Kuna la kujifunza hapo. Ujiulize ni kwa nini wanatoa bila shuruti na walikuwa wanalilia wapatiwe njia za kuwasilisha michango yao. And, people are still longing for such means of contribution to be well informed to them. Watu wana uchungu, hasira na mengi mengineyo.
umeongea kaa mfalme suleiman mkuu
 
Kuna la kujifunza hapo. Ujiulize ni kwa nini wanatoa bila shuruti na walikuwa wanalilia wapatiwe njia za kuwasilisha michango yao. And, people are still longing for such means of contribution to be well informed to them. Watu wana uchungu, hasira na mengi mengineyo.
Hivi inakuwaje mtu unakuwa na roho mbayaa na kikatili mpaka wakati wa mfungo wa kwarema ??

Watu wana mijiroho, siyo kama kina sisi ambao hata kuchinja kuku tunaogopa.
 
By Mange Kimambi

Tuendelee kumchangia Mh Tundu Lissu, Mpaka sasa zimefika M28 kwa mwezi March, kutoa ni moyo si utajiri.
.
.
Tafadhali tuma pesa kwenda #M_pesa 0754 616 564 au Tigopesa 0716445360 Jina FRANK MUGHWAI.......... Au kupitia benki ya #CRDB nambari ya akaunti 01J2043045300 TUNDU ANTIPAS LISSU.
View attachment 1046472
ASANTE SANA DADA YANGU MUNGU AKUBARIKI POPOTE ULIPO
 
Huu ni upendo au ni kukomoa? Sentensi hiyo isitafsiriwe vibaya,

Kuna mtu anaweza kuambiwa kuna majanga au mafuriko akachangia hiyo?

Kuna mambo bwana si yote lazima yaandikwe hata nawatakieni michango miema

Kutoa ni Moyo, Tumchangie mwenzetu

View attachment 1046444

View attachment 1046442
Mimi hapa ma 5m , na hata zikikosa kutosha mimi niko tayari kutoa zingine 5m au zaidi, walishindwa kumuua MHE lissu kwa risasi wanafikiri watamuua kwa kukosa hela ya matibabu, wajinga kweli wana ccm
 
CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Akiwa katika ziara hizo wewe unaangalia nini? Wenzako tumeona magongo na hata wheel chair yake alikuwa nayo. Nadhani unasema kwa ushabiki wa kuponda tu kama kawaida ya wauaji wengi humu na huko kunako mamlaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nishachangia efu Saba, si haba kwakweli
barikiwa kutoa ni moyo sio utajiri, mungu anabariki weye kutoa alicho nacho, kumbuka mama mjane aliyetoa sadaka ya cent 3 pekee ny yesu akasema huyu mjane tutamusoma milele,
 
Wako wana ccm wengi ambao hawakubaliani na alivyotendewa Lissu. Hawawezi kusema lakini wanaumia sana. Msiwakatie michango yao. Damu ya Yesu itashughulika na pesa za majini. Kilangila.
Ni vema Chadema ikaweka wazi jambo hili ili lieleweke , ni kweli kabisa kwamba kuna kampeni imesambazwa dunia nzima ya kumchangia Mh Lissu baada ya mawakala wa shetani kuzuia mshahara wake , watu wameanza kuchanga kwa kishindo sana , tunashukuru sana na kwa kweli tunamuomba Mungu awajazie palipopungua.

Lakini ni vema michango hii isitokane na wanaccm , na kama kuna mwanaccm amechangia mpaka sasa basi ARUDISHIWE PESA ZAKE , tunahitaji mchango lakini hatupokei pesa za majini , hatupokei hela zilizojaa damu , hizo hapana , hatuzitaki , Kupokea hela za mchango wa Mh Lissu kutoka kwa wanaccm ni sawa kukufuru Mungu , ni kumdhalilisha Lissu mwenyewe , hii haina tofauti na KUTAKATISHA PESA , Tusikubali

Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani upo Moyoni na si katika Kusema, Jiwe labda uuwe woote Watanzania hapo utaua Upinzani! Usikute hata Samia, Janeth na Majaliwa wanaweza Mchangia Lissu, labda wewe na Bashite ndiyo hamuwezi.
Haaaaaa ati nini mkuu, umenena ukweli kabisa,najua hata kina mama samia na majaliwa wametoa kisiri, wale kweli hawajatoa ni jiwe na kibaraka wake bashite
 
Back
Top Bottom