Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,298
- 859,809
- Thread starter
- #161
Hapana sio lazima uumwe sana wengi wameondoka na uzima waoAise basis sawa! Ni kwa nini hadi uumwe saaaaana ndio ufariki? ( najua kuna wachache wanafariki gafla usingizini nk) kama death is such a wonderful experience.????
Ugonjwa ni kiashiria cha kifo kwakuwa huleta ubovu mwilini