Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,954
- 831,491
- Thread starter
- #221
Ms mol hizi zote ni dhana, we are all mortals maswali yako mengi yana majibu mengi.....ni ngumu mno sometimes kushare what I real know, naweza kuonekana chizi or something else very very terrifyingMshana stage nyinginebya maisha ni IPI? Kurudia mwili baada ya kufa ndio concept ya biblia ya kuwafufua wazima na wafu? Mshana unaamini kuwa kuna mbingu na jehanamu?
endapo MTU atakosea meditation akafa roho yake inaenda wapi?
Regards
![]()
Hizi mambo needs a lot of time to learn n understand
Regards