Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Kuna kipindi nilikua naogopa sana yote kuhusu kifo ila baada ya kufiwa na mtu wangu wa karibu sana siogopi kifo,naogopa kuoza tu baada ya kufa.
 
Watu wanajivika hali ya maiti ndio maana wanaogopa.

Mfano kufukiwa na udogo, kuchomwa moto, kuoza, upweke n.k

Even though, time is too short to spend in worries.

Ukifa unakabiliana na hali za wafu. Si hiyari ndivyo huwa.
 
Uwezi amini namalizia kusoma mada, nashtuka nakuta machozi yametoka bila sababu ya kitoreshi.
 
Guess who is the next.....
Siwez kutabiri!..ila naogopa sana!..na bahati mbaya hata nikienda msibani kwa mtu wangu wa karibu huwa sielewi km kweli amekufa au vipi.?

Naumia sana rohoni ila siwez kulia wala kutoa machozi kirahisi!.. KIFO bado sijakielewa.NAKIOGOPA MNO!...naogopa KUFA sijui kwanini
 
Watu wanajivika hali ya maiti ndio maana wanaogopa.

Mfano kufukiwa na udogo, kuchomwa moto, kuoza, upweke n.k

Even though, time is too short to spend in worries.

Ukifa unakabiliana na hali za wafu. Si hiyari ndivyo huwa.
jogi the secret is very simple! Tunakitazama kifo kwa jicho la huu mwili uozao badala ya ile roho isiyokufa milele
 
Siogopi kifo ila naogopa kaburi, ile hali ya kuzikwa mwenyewe uwii nikifikiria nakosa raha!!
Ni kwavile ishu ya kifo unaitazama kimwili zaidi kuliko kiroho
 
Very very wonderful experience, yani mtu unaweza kutamani kuendelea kufa
wacha kunilisha tongo pori
mimi nmewahi kuexperience ,vile kama pumzi inakata....
kwanza mawasiliano yanakata unasikia kimya... halafu unaanza kuona ndo basi tena ,kile kitendo cha kuona ndo basi kibaya usisikie...
halafu unaanza kuota vitu vya ajabu unamfata mtu unamuita haitiki, unaongea na watu wanaendelea na mambo yao.
unalia mno
hapo sikufa ,nilionja ⅓ yani nilionja kama punje ya choroko

kufa kubaya sana
kaka mshana sitaki kuamini
 
Back
Top Bottom