Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Naomba maelezo ya blissfull state, hungry ghost (usinchoke plz)

Yaaan I am wondering all the souls.. mana dunian kwa karne na karne kuna watu billions and trillions wamekufa i.e kupitia vita maradhi umri tu kuzeeka etc etc Je wamekua viumbe wengine i.e binadamu? Au wamekuwa wanyama?

Na je kuku ngombe mbuzi na wanyama wengine waliowao souls zao zinakuaje? Na wale wa porini je? Fisi simba popo faru hippotamus tembo? Process ni hyohyo?

Nadhan kuna mengi zaidi yakuhitajika kujua hapa!!
Blissful state ni sawa na kuwa peponi roho haina mahangaiko yoyote, na hungry ghost ni sawa na kuwa jehanam roho inawayawaya huko na huko na haina kikao maalum popote duniani
Roho ni nishati sio solid object
 
Okays pow.. fafanua na mengineyo yale sasa
 
Ulisema umaamini biblia ndo nakuambia biblia imeandikwa baada ya kifo ni hukumu
Ndio lakini Hukumu kwa maana ya kiama ile parapanda mwisho bado na tunaambiwa wafu wamelala kuzimu lakini kumbuka wale wanaoitwa wako peponi kwasasa roho zao zimelala kaburini huku zile zinazohangaika zikiwa ndio ziko jehanam

Mshana Jr. Mie biblia Yangu baada ya ufufuko Wa kristo no more kuzimu ni moto au mbingu..
Na ni kwa neema ya mungu tutamshinda shetani tuende mbinguni..
 
Wengi tumetenda kinyume na matakwa M/mungu hivyo kila nafsi inajuwa kipi ambacho alitanguliza huko mbeleni ktk safari ya kwenda kwa muitaji
Sawia mkuu.. Japo hakuna binadamu asiye na DOA la dhambi, ni jukumu la kila MTU kimpenda binadamu mwenzie!
 
Hivi mshana Jr hebu niambie zile mbegu za uzazi(xx,xy)ndo zimebeba roho na kama hazijabeba, roho inatoka wapi?
Ule ni mchakato tu wa kimwili usiohusika kabisa na ulimwengu wa roho
 
Mkuu forumyangu ule ni ukamilifu tu ili binadamu aumbike.. Japo wazazi Wetu wameshiriki kikamilifu safari ya uumbaji na Mungu!
 
Mshanajr,ms mol swali ambalo najiuliza sasa roho inatoka wapi, na kama haihusiani na mchakato huu we manii je roho ziliumbwa kabla ya kiumbe kuzaliwa?
 
Hapa unachanganya vitu viwili kimwili na kiroho, roho kiimani ni pumzi, pumzi ya uzima
 
So kufariki ni kitendo cha roho kuacha mwili kama ndo hvyo kuna mstari hapa umeandika kuwa kuna watu wakati wa kufa hupata taabu na mateso kwa sababu wanajaribu July ganja roho(pumzi) Zao.je ni nani anayechuku roho(pumzi) hizo,?kama anachukuwa anazipeleka wapi?
 
Kiimani ni ziraili, kivingine ni kuingia hatua nyingine ya maisha Kutoka maisha ya kimwili kuingia ya kiroho na Pengine kurudi tena kimwili
 
Mshana stage nyinginebya maisha ni IPI? Kurudia mwili baada ya kufa ndio concept ya biblia ya kuwafufua wazima na wafu? Mshana unaamini kuwa kuna mbingu na jehanamu?

endapo MTU atakosea meditation akafa roho yake inaenda wapi?
Regards
 
Back
Top Bottom