Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Ndio naamini katika Mungu mmoja mwenye enzi yote
Naamini katika Kristo Yesu
Naamini katika roho mtakatifu
Sawa, mshana huoni hukumpendeza mungu ulipofanya death meditation???? Unamjaribu kuchunguza akili za muumba wako?
 
Mie naogopa sana Kufa!..naogopa Kifo~kwa muda wa miez miwili rafik zangu watatu kifo kimewachukuwa!

NAOGOPA KUFA.NAOGOPA KIFO.
Pole sana! Elewa kifo kipo hapa duniani!
 
Sawa, mshana huoni hukumpendeza mungu ulipofanya death meditation???? Unamjaribu kuchunguza akili za muumba wako?
Hapana imenisaidia saana kunijenga mno kiimani na kunifanya nichukue maamuzi sahihi
Sasa hivi natambua kwanini naamini katika kile ninachoamini
 
Mmmh! Kwa mimi hua nafikiria vitu vya ajabu aisee!!!

Ukiachana na kutewaacha ndugu... Na maumkvu yote watakayoyapata... Sijui ntakapoishia... Kama kuna jehanamu na mbinguni yaani najiona kuelekea jehanamu kutumia speed boat!! Ile fikra tu ya what next!!! Hua inaniogopesha.
Hayo ya mchanga, sijui kiza sijawai fikiria...

Kingine... naogopa watasoma diary yangu na kupekua simu!!!
Weka password!
 
Kifo huwa kipo

Ila binafsi, kulingana na Imani yangu siamini kuwa "Kila nafsi itaonja mauti"

Ila naamini wengi wataonja mauti

Pia, naamini kuwa kuna "HUKUMU YA HAKI KULINGANA NA MATENDO/MAISHA YA DUNIANI" baada ya kifo

Woga wa kifo unapaswa kuwapata wasio na matumaini ya kule waendapo, tofauti na wale wanaotumaini maisha mazuri zaidi kuliko haya ya duniani.

Heri waliokufa katika Bwana.
Huamini kuwa kila nafsi itaonja mauti? Hao ambao hawataonja mauti ni watu gani?
 
Swali zuri sana.

Sisi Wakristo tunaoiamini Biblia, tunaamini mambo makubwa mawili kuhusiana na suala hili.

MOSI,

Wapo manabii wakubwa wawili ambao ni Elia (Elijah) na Henoko (Enock) waliotwaliwa na Farasi wa moto kuelekea Mbinguni.

Kuna ushahidi katika hilo kwani Henoko alimwona Elia akitwaliwa kisha akamwachia joho (wakiwa pamoja)

PILI,

Tunaamini kwa HAKIKA kuwa Yesu Kristo atarudi mara ya pili wakati wa unyakuo na wapo watakaotwaliwa wakiwa HAI na wengine wakiwa makaburini yaani maiti.

Hao watakaotwaliwa wakiwa hai watakuwa ni miongoni mwa Nafsi ambazo zitahukumiwa ila "HAZITAONJA UMAUTI"

Sawa?
 
Ni kitu ambacho mwanadamu ameshindwa kukizoea katika maisha yote tangu kuumbwa na huwa tuna hofu kwa sababu hatuna hakika sana na kule tunakoenda
 
Swali zuri sana.

Sisi Wakristo tunaoiamini Biblia, tunaamini mambo makubwa mawili kuhusiana na suala hili.

MOSI,

Wapo manabii wakubwa wawili ambao ni Elia (Elijah) na Henoko (Enock) waliotwaliwa na Farasi wa moto kuelekea Mbinguni.

Kuna ushahidi katika hilo kwani Henoko alimwona Elia akitwaliwa kisha akamwachia joho (wakiwa pamoja)

PILI,

Tunaamini kwa HAKIKA kuwa Yesu Kristo atarudi mara ya pili wakati wa unyakuo na wapo watakaotwaliwa wakiwa HAI na wengine wakiwa makaburini yaani maiti.

Hao watakaotwaliwa wakiwa hai watakuwa na miongoni mwa Nafsi ambazo zitahukumiwa ila "HAZITAONJA UMAUTI"

Sawa?
Umejibu vyema kulingana na imani yako, sikuwahi kuwaza kwamba kuna watu hawatoonja mauti
 
Swali zuri sana.

Sisi Wakristo tunaoiamini Biblia, tunaamini mambo makubwa mawili kuhusiana na suala hili.

MOSI,

Wapo manabii wakubwa wawili ambao ni Elia (Elijah) na Henoko (Enock) waliotwaliwa na Farasi wa moto kuelekea Mbinguni.

Kuna ushahidi katika hilo kwani Henoko alimwona Elia akitwaliwa kisha akamwachia joho (wakiwa pamoja)

PILI,

Tunaamini kwa HAKIKA kuwa Yesu Kristo atarudi mara ya pili wakati wa unyakuo na wapo watakaotwaliwa wakiwa HAI na wengine wakiwa makaburini yaani maiti.

Hao watakaotwaliwa wakiwa hai watakuwa na miongoni mwa Nafsi ambazo zitahukumiwa ila "HAZITAONJA UMAUTI"

Sawa?
Naomba ufafanuzi kidogo unaposema kuelekea mbinguni. Huko mbinguni ni wapi?????
 
Hapana imenisaidia saana kunijenga mno kiimani na kunifanya nichukue maamuzi sahihi
Sasa hivi natambua kwanini naamini katika kile ninachoamini
Mbona MTU akikaribia kufa anatapatapa baadhi lakini..si wangetulia kabisa wakisikilizia hiyo wonderful experience!
 
Swali zuri sana.

Sisi Wakristo tunaoiamini Biblia, tunaamini mambo makubwa mawili kuhusiana na suala hili.

MOSI,

Wapo manabii wakubwa wawili ambao ni Elia (Elijah) na Henoko (Enock) waliotwaliwa na Farasi wa moto kuelekea Mbinguni.

Kuna ushahidi katika hilo kwani Henoko alimwona Elia akitwaliwa kisha akamwachia joho (wakiwa pamoja)

PILI,

Tunaamini kwa HAKIKA kuwa Yesu Kristo atarudi mara ya pili wakati wa unyakuo na wapo watakaotwaliwa wakiwa HAI na wengine wakiwa makaburini yaani maiti.

Hao watakaotwaliwa wakiwa hai watakuwa na miongoni mwa Nafsi ambazo zitahukumiwa ila "HAZITAONJA UMAUTI"

Sawa?
Henoko na Eliya pana tofauti ya miaka elfu kadhaa utakuwa umekosea
 
Mbona MTU akikaribia kufa anatapatapa baadhi lakini..si wangetulia kabisa wakisikilizia hiyo wonderful experience!
Kuna dhana nyingi hapo
Kuna wale waliotenda mabaya mengi Kama wachawi wana vifo vya mateso sana
Kuna wale ambao bado hawakubali roho kutengana na mwili nao ni shida
Halafu kuna wale ambao walishajiandaa kitambo mentally, hawa hawapati maumivu yoyote
 
Aise basis sawa! Ni kwa nini hadi uumwe saaaaana ndio ufariki? ( najua kuna wachache wanafariki gafla usingizini nk) kama death is such a wonderful experience.????
 
Back
Top Bottom