Mimi taitazama usiku pekeyangu gizaniView attachment 490941 tafuta movie hiyo..... Kifo kinatsha sana. Usiitazame usiku.
Mkuu mi nilipata maluweluwe sana. Ok go ahead.Mimi taitazama usiku pekeyangu gizani
Kwahio Mungu umuaminie yupo juu. Ukisema juu una maanisha angani???Okay...nafikiri nimeconfuse Elia na Elisha.
Nashukuru.
Acha kudanganya wewe.Tupo duniani kwa sababu maalum ebu fikiria.Death is not to be feared! It's one of the state of which you should smile at. When you know 'Why you have Life ' and start to live accordingly, you'll find Death to be a motivator and not an inhibition fact. Live Fully, Die empty, smile at your Death.
LIVE BEFORE YOU DIE!
Kwa imani yangu kila nafsi itaonja umauti(kila kiumbe) hata malaikawatakufa atabaki m/Mungu tuSwali zuri sana.
Sisi Wakristo tunaoiamini Biblia, tunaamini mambo makubwa mawili kuhusiana na suala hili.
MOSI,
Wapo manabii wakubwa wawili ambao ni Elia (Elijah) na Henoko (Enock) waliotwaliwa na Farasi wa moto kuelekea Mbinguni.
Kuna ushahidi katika hilo kwani Henoko alimwona Elia akitwaliwa kisha akamwachia joho (wakiwa pamoja)
PILI,
Tunaamini kwa HAKIKA kuwa Yesu Kristo atarudi mara ya pili wakati wa unyakuo na wapo watakaotwaliwa wakiwa HAI na wengine wakiwa makaburini yaani maiti.
Hao watakaotwaliwa wakiwa hai watakuwa ni miongoni mwa Nafsi ambazo zitahukumiwa ila "HAZITAONJA UMAUTI"
Sawa?
Greeting!!
Ulimwengu wa roho hauna mipaka ya kibinadamu na roho ikishazaliwa haifi mileleGreeting!!
So mkuu unaamin katia incarnation? Me nilipitia kusoma mahala nikajawa na iman kuhusu roho kuishi milele.. ila nawaza mf nipo mwanza nikifa roho itawonder hapa hapa mwanza au itaenda mbali na hivo kuweza kua kiumbe i.e congo or oman or mafia etc?Cc; mshana jr
So nkifa nitaendelea kuwa roho tu mwanzo mwisho mkuu..?Ulimwengu wa roho hauna mipaka ya kibinadamu na roho ikishazaliwa haifi milele
Mkuu sijakuekewa umemaanisha nini?Wengi tunaogopa kufa kwa sababu ya tuliotanguliza mikono yetu
Mkuu sijakuekewa umemaanisha nini?Wengi tunaogopa kufa kwa sababu ya tuliotanguliza mikono yetu
Naomba maelezo ya blissfull state, hungry ghost (usinchoke plz)Utavaa uhusika mwingine ama utakuwa hungry ghost au kubaki kaburini kwenye blissful state (pepo)
Sawa, kwa hiyo roho Yangu itaenda chins Russia Kenya nknk na sio mbinguni...Ulimwengu wa roho hauna mipaka ya kibinadamu na roho ikishazaliwa haifi milele