Siogopi kifo.
Nafahamu kuwa mimi ni zaidi ya huu mwili wa nyama. My soul will live for eternity.
We are more than this body. Are you using your mind or the mind is using you?
Huna haja ya kuogopa mauti
Safi sana Mk... Umenichefua ulipoandika afraiding .... There's no such a word in this world.
Uelewa wako wa mambo ni mpana.
Asante.
This might mean going beyond the reasoning mind.
Mshana, watu wengi hawajui yakuwa our reasoning mind is very limited.
Go beyond the reasoning mind.
Mambo ya kiroho ni ya kiroho

We are more than this body. Are you using your mind or the mind is using you?
Huna haja ya kuogopa mauti

kajitupe gorofani basi

lakini mtu nampa challenge hapa mimi mwandikaji pamoja na wewe msomaji hapo useme hili neno " mimi hapa nasubiri kufa tu" tunaliogopa hatusemi tunaona kama utakufa kweli
.lakini kuna watu wanafika mahali wanasema sasa hivi nasubiri tu kifo kije kinichukue na kauli hii nilikuwa namsiki marehemu babu yangu munge amrehemu huko alipo,nilikuwa nikishangaa akisema hivi lakini alikuwa mtu mzee sana kwa kipindi kile.Leo nyumba yako nzuri mapambo ya kila aina mengine kutoka sijui U.K huko au Japan. Mtu una Villa la nguvu kabisa uliache na kila kitu ukalazwe kaburini?

unafikiria yoote hayo kama utashauriwa utasema ahhh bado kidogo haijalipa nyumba hii.Ukiona mtu anatamani kufa ujue maisha yake nayo mhhhh,kuna watu wanasema nitakufa lini mimi? Napata tabu hii,dhiki,shida,misukosuko na madeni.Na wengine wanatumia short cut wanajiua wapate kwenda zao ahera lakini japo mtu una kibanda chako kidogo tu huna chochote na afya japo hakuna starehe yoyote ya maana lakini hukubali kuondoka. Na hata wadudu nao.Imagine maisha chini ya ardhi yana ugeni gani maana ugeni wa kwenda london au new york ule sio ugeni kwa sababu unakutana na watu kama wewe wana miguu kama wewe lakini huko uendako je wakoje.sasa ukitaka kuogoa yafikirie maisha hayo pale munapompeleka mwenzenu safari yake ya mwisho munamfukia halafu munaondoka mfikirie yule mtu ehhh maisha yake kule.kuna mshairi mmoja anasema kama mtu ataishi katika hii dunia miaka 1000 tena hiyo miaka elfu moja ya neema tupu hakuna dhiki ndani yake lakini huwezi ku compare na miaka hiyo 1000 ya neema na kulala usiku mmoja tu katika kaburi, ile utisho wake tu na uzito wake.
Mtu anapokufa huwa kuna mambo 2 nayo ni hofu na huzuni.Hofu ni kule anapokwenda hajui atapokewa vipi na huzuni kwa wale anaowaacha,mara nyengine ni baba yeye ndiye mchumaji(mtafutataji) sasa anakufa anaviacha vitoto vya miaka 3,huzuni kubwa anafikiria vitalelewa na nani na nani atavitizama mpaka vikue,anaondoka lakibu anaacha huzuni kwa watu ambao wanamtegemea.mwenye kuogopa kifo ni yule ambaye hana kitu alichotanguliza.Ukiona unaogopa kwenda mahali ujue kule unapokwenda hujakutendea vyema.Unasemaje sasa useme mimi hapa najiandaa kwa kifo muda wowote mungu akija kuchukua roho yake?lakini mtu nampa challenge hapa mimi mwandikaji pamoja na wewe msomaji hapo useme hili neno " mimi hapa nasubiri kufa tu" tunaliogopa hatusemi tunaona kama utakufa kweli
.lakini kuna watu wanafika mahali wanasema sasa hivi nasubiri tu kifo kije kinichukue na kauli hii nilikuwa namsiki marehemu babu yangu munge amrehemu huko alipo,nilikuwa nikishangaa akisema hivi lakini alikuwa mtu mzee sana kwa kipindi kile.Leo nyumba yako nzuri mapambo ya kila aina mengine kutoka sijui U.K huko au Japan. Mtu una Villa la nguvu kabisa uliache na kila kitu ukalazwe kaburini?
unafikiria yoote hayo kama utashauriwa utasema ahhh bado kidogo haijalipa nyumba hii.Ukiona mtu anatamani kufa ujue maisha yake nayo mhhhh,kuna watu wanasema nitakufa lini mimi? Napata tabu hii,dhiki,shida,misukosuko na madeni.Na wengine wanatumia short cut wanajiua wapate kwenda zao ahera lakini japo mtu una kibanda chako kidogo tu huna chochote na afya japo hakuna starehe yoyote ya maana lakini hukubali kuondoka. Na hata wadudu nao.Imagine maisha chini ya ardhi yana ugeni gani maana ugeni wa kwenda london au new york ule sio ugeni kwa sababu unakutana na watu kama wewe wana miguu kama wewe lakini huko uendako je wakoje.sasa ukitaka kuogoa yafikirie maisha hayo pale munapompeleka mwenzenu safari yake ya mwisho munamfukia halafu munaondoka mfikirie yule mtu ehhh maisha yake kule.kuna mshairi mmoja anasema kama mtu ataishi katika hii dunia miaka 1000 tena hiyo miaka elfu moja ya neema tupu hakuna dhiki ndani yake lakini huwezi ku compare na miaka hiyo 1000 ya neema na kulala usiku mmoja tu katika kaburi, ile utisho wake tu na uzito wake.
Hii tafakari yako Nina mashaka nayoMtu anapokufa huwa kuna mambo 2 nayo ni hofu na huzuni.Hofu ni kule anapokwenda hajui atapokewa vipi na huzuni kwa wale anaowaacha,mara nyengine ni baba yeye ndiye mchumaji(mtafutataji) sasa anakufa anaviacha vitoto vya miaka 3,huzuni kubwa anafikiria vitalelewa na nani na nani atavitizama mpaka vikue,anaondoka lakibu anaacha huzuni kwa watu ambao wanamtegemea.mwenye kuogopa kifo ni yule ambaye hana kitu alichotanguliza.Ukiona unaogopa kwenda mahali ujue kule unapokwenda hujakutendea vyema.Unasemaje sasa useme mimi hapa najiandaa kwa kifo muda wowote mungu akija kuchukua roho yake?lakini mtu nampa challenge hapa mimi mwandikaji pamoja na wewe msomaji hapo useme hili neno " mimi hapa nasubiri kufa tu" tunaliogopa hatusemi tunaona kama utakufa kweli
.lakini kuna watu wanafika mahali wanasema sasa hivi nasubiri tu kifo kije kinichukue na kauli hii nilikuwa namsiki marehemu babu yangu munge amrehemu huko alipo,nilikuwa nikishangaa akisema hivi lakini alikuwa mtu mzee sana kwa kipindi kile.Leo nyumba yako nzuri mapambo ya kila aina mengine kutoka sijui U.K huko au Japan. Mtu una Villa la nguvu kabisa uliache na kila kitu ukalazwe kaburini?
unafikiria yoote hayo kama utashauriwa utasema ahhh bado kidogo haijalipa nyumba hii.Ukiona mtu anatamani kufa ujue maisha yake nayo mhhhh,kuna watu wanasema nitakufa lini mimi? Napata tabu hii,dhiki,shida,misukosuko na madeni.Na wengine wanatumia short cut wanajiua wapate kwenda zao ahera lakini japo mtu una kibanda chako kidogo tu huna chochote na afya japo hakuna starehe yoyote ya maana lakini hukubali kuondoka. Na hata wadudu nao.Imagine maisha chini ya ardhi yana ugeni gani maana ugeni wa kwenda london au new york ule sio ugeni kwa sababu unakutana na watu kama wewe wana miguu kama wewe lakini huko uendako je wakoje.sasa ukitaka kuogoa yafikirie maisha hayo pale munapompeleka mwenzenu safari yake ya mwisho munamfukia halafu munaondoka mfikirie yule mtu ehhh maisha yake kule.kuna mshairi mmoja anasema kama mtu ataishi katika hii dunia miaka 1000 tena hiyo miaka elfu moja ya neema tupu hakuna dhiki ndani yake lakini huwezi ku compare na miaka hiyo 1000 ya neema na kulala usiku mmoja tu katika kaburi, ile utisho wake tu na uzito wake.
Clinging to vanity.
Nikweli,Tumezaliwa ili tufe kifo ni hakika siyo Imani. Ndio tendo pekee ambalo kila Bin/Binti Adam ana Hakika nalo.
Pole mkuu.. Sijaona lengo la mada ya mshana zaidi ya kunipa hofu. Naendelea labda mada inamwendelezo huko mbeleUwezi amini namalizia kusoma mada, nashtuka nakuta machozi yametoka bila sababu ya kitoreshi.
Uongo tu, mkuu alafu naomba nikuulize unaamini katika uwepo Wa munguVery very wonderful experience, yani mtu unaweza kutamani kuendelea kufa
Ni kweli mkuu, nadhani huyo mama anahusika kabisa na kifo cha huyo Dada ila dakika za mwisho ndo anajifanya kumwita mungu.Kwa kutumia akili yako kabisa, uamue ujirushe alafu uombe msaada uokolewe kweli , mimi bado haingii akilini kabisa, huyo mama wa kiarabu anahusika Kuna kitu anaficha na hapo nina uhakika hamna kesi. RIP dada.
Ndio naamini katika Mungu mmoja mwenye enzi yote
Naamini katika Kristo Yesu
Naamini katika roho mtakatifu