Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Unatarajia nini kama kiongozi wao ni kikwete?
Rais mwenyewe alisema hajui umaskini wa watanzania sababu ni nini kwahiyo nani awe na mkakati wa kupunguza umaskini?
 
hakuna watu wa pwani wanalala na mbuzi chumba kimoja?!!! mkuu ulishawahi kutembelea tanga? me naongea hapa sio kama ni kudhalilisha hapana! nimetembea pwani na mikoa mingine kuna tofauti kubwa sana ya kimaisha kwa ujumla.
Hiyo Tanga imegawanyika kuna Tanga Pwani na kuna Tanga Bara.Wenyeji wa Pwani Tanga wako tofauti kimaisha na wenyeji wa Tanga Bara.Wenyeji wa Pwani Tanga si rahisi kumkuta kulala na mbuzi chumba kimoja.
 
Umeeleza vizuri kuhusu waarabu lakin ungekuwa straight utamaduini upi wa waarabu...kwangu mm ni Dini walioleta...kwa watu wa pwani pia mikoa iliyotajwa na member mmoja wa hapa kuna mikoa ya kighoma na Tabora kwa ukiangalia hiyo tamaduni zao za dini zimeleta hizo.....
  • Kuswali mara 5 kwa siku utafanyaje kazi after 2 hrs unaswali na utazalisha nn
  • Taamduni za kiarabu ni kupenda zaidi wake zao..ndio sababu katika majeshi yetu wazaramo na watu wote wa pwani uwezi kuwakuata wengi.....mtu wa pwani awezi kumwacha mke wake aende lindoni usiku..zingatia majeshi yote yameanzia pwani lakini watu wa bara ndio waliomo wengi zaidi.....!!! km wakurya, wanyakyusa nk....mtu wa pwani hakuona kaz ya jeshi muhim kwa wivu wake wa kuacha mke aende Guard Usiku.
  • Angalia mikoa ya bara yenye asili ya pwani ni maskin mf Tabora, Ujiji Kighoma, Ilula Iringa...Tanga , Kondoa dodoma, mitaa pia wanaoshi kipwani ni maskini kwa sababu nilizotaja....
  • Kama mikoani mf Iringa maeneo mengi wanaendelea kwa kilimo lakin pia biashara ya Kiti moto, pombe, ndio inawoengezea kipato wenyeji ss km uko na tamaduni za kiarabu uwez kukuza kipato....Rungwe mbeya Mfugo kama nguruwe ni km kila mtu anafuga kuku na wanauza sana na wakazi wa rungwe wako vizuri kuichumi
  • Ukubwa wa familia...Mitala pia ni tamaduni za kiarabu zinachangia familia kuelemewa na kusababisha umaskin ktk kuahakikisha familia inapata mahitaj stahili au in short ni kutokuwa na quality family watakayoimudu.... tamaduni za kiarabu ni kuzaa na kuoa wake wengi.....
Mda wa kuswali hauzidi dakika kumi.Kwa mfano swala ya alfajiri ni saa kumi na moja alfajiri,dakika kumi tu,swala inayofuata ni saa saba mchana,dakika kumi tu,masaa nane mazima kutoka saa kumi na moja alfajiri mpaka saa saba mchana,ni masaa manane ya kufanya kazi.Swala ya Tatu ni saa kumi Jioni,dakika kumi,na ya nne ni saa kumi na mbili unusu,na ya Tano ni saa mbili usiku,zote ni dakika tano tu.Angalia swala ya alfajiri saa kumi na moja mpaka swala ya saa saba tena,zote ni dakika kumi kumi tu,kuna Masaa manane billa swala,masaa manane hayo hajafanya kazi na kupata maendeleo?
Hakuna mfanyakazi kwa bidii kama muarabu,sehemu zote alizoishi mwarabu,kabla ya kuhama,kulikuwa na maendeleo makubwa ya kibiashara na kiuchumi,ukiangalia Kilwa,Dar,Tanga,Zanzibar,Mombasa msumbiji,kulikuwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi,mpaka kuwa na sarafu yao katika sehemu ya Kilwa mpaka sehemu ya Pwani ya Msumbiji.Walileta mazao ya biashara ya Kilimo cha minazi na mahindi.Kilimo cha mahindi walileta warabu kutoka India,ndio maana yakaitwa mahindi.Waliyaleta kwanza Pemba,halafu wakaanzisha kilimo hiki Pwani ya Tanganyika.Baadaye wakapeleka kilimo hiki,bara ya Tanganyika.Ujenzi wa majumba ya mawe na chokaa badala ya udongo,ulianza baada ya kuingia Muarabu.Tembelea Pangani Bagamoyo,Tongoni,Tanga mjini Pangani,Dar, Zanzibar,Mombasa uone magorofa yaliyojengwa kwa mawe na chokaa.Walikuwa ni wajenzi na architecter wazuri.Na ni wajenzi wazuri wa vyombo.vya baharini na ni wasafiri wazuri wa kutumia vyombo vya baharini kibiashara na uvuvi.
 
Bao_players_in_stone_town_zanzibar.jpg
 
Mzee Mwanakijiji,
Kweli umefunga kazi na tamati ya huu mjadala. hakuna asiyekubaliana na mawazo yako unless huyu mtu ana matatizo yake.

Aljazeera,

Ndugu yangu hukunielewa kabisa. Sikusema kwamba wewe umesema hivyo,isipokuwa maelezo yako kwamba Chadema walikuwa na kila haki ya kutumia helikopta kwa sababu ndio kwanza walimweka mgombea wa ktk kiti cha Urais.

Hii ina maana kwamba kama Mbowe asingesimama kugombe Urais basi hata wewe ungekubali kuwa haikuwepo haja ya kufanya hivyo. Hivyo basi hakuna tofauti na kusema lengo la kutumia hiyo helikopta ni kumweka Mbowe Ikulu.

Anyway, Mzee mwanakijiji kesha hitimisha, mpunga mezani tule na tusambae tuangalie mengine, ikiwa bado una hoja kuhusu swal hili nadhani hakuna haja ya kulimeza. Tunafahamishana hapa na nadhani huum mwisho wa Mzee mwanakijiji umetokana na maelezo yetu sote toka huko tulikoanzia. Kilichobaki J J Mnyika atayachukua yetu na yenu pale penye mapungufu na kuyafanyia kazi huko Chadema.

Kumbuka tu sii vibaya kuwa Optimistic na Pessimistic kwa wakati mmoja.

Kwa kupitia Optimism - Waliweza kuunda ndege Ulaya (airplane) na kupitia Pessimism walitengeneza Parachuti. Hii haina kutengenezwa kwa hilo parachuti ilikuwa kuwekea shaka uundaji na matumizi ya ndege.
Hii sio ya hapa
 
Mji wa Dar es salaam,umeanziahwa na waarab,na ndio mji wenye maendeleo kuliko mji wowote Tanzania,miji walioishi wazungu wa kigalatia ni shida tupu,ukianzia Dodoma,wenyeji ni omba omba wa kutupwa,ukija Bukoba ni wakujiuza miili,ukija Morogoro ni vibarua wa mashamba omba omba kila kona,ukienda shinyanya ni vibarua wa mashamba,singinda njaa tupu.Tanga alipoingia Mjerumani aliitia umaskini sana.

Kihistoria MIJI waliokaa waarabu ilibaki nyuma daima, Dsm kumbuka haikuendelezwa na waarabu hata kidogo na mwarabu hakukaa sana hapa! Na mwarabu hakuendeleza lolote sujui kama ufahamu au shule yako ikoje ila huu ndio uweli! Bora hata Wazungu walijenga reli.
 
We nawe kikwajuni, ww unazungumzia pwani ambayo ni dsm pekee au pwani ipi? Ila yote katikayote pwani iko juuu.....kuanzia michezo hadi kiuchumi, huwezi linganisha na kanda nyingine kwa hapa tz, na wakazi wake si wavivu km mlivyo karirishwa huko mlikotoka....pwani spwani sio wavivu jamani
 
kweli hapa napo kuna tatizo cc crabat

Hata mbara namba moja alipenda sana kulicheza hili.
Alihamia nalo butiama.
Pia elewa huu ni ubunifu wa watu wa pwani katika mambo ya ku past time.
Sasa hivi mnaenda kulewa baa mpaka alfajiri.
Huo mchezo ni akili na ni sawa na Chess ambayo inachezwa huko kwa mabosi zenu..jitambueee
 
Last edited by a moderator:
Hata mbara namba moja alipenda sana kulicheza hili.
Alihamia nalo butiama.
Pia elewa huu ni ubunifu wa watu wa pwani katika mambo ya ku past time.
Sasa hivi mnaenda kulewa baa mpaka alfajiri.
Huo mchezo ni akili na ni sawa na Chess ambayo inachezwa huko kwa mabosi zenu..jitambueee
Amekuelewa,akijifanya hajakuelewa,ujiwe kakuelewa.
 
Kihistoria MIJI waliokaa waarabu ilibaki nyuma daima, Dsm kumbuka haikuendelezwa na waarabu hata kidogo na mwarabu hakukaa sana hapa! Na mwarabu hakuendeleza lolote sujui kama ufahamu au shule yako ikoje ila huu ndio uweli! Bora hata Wazungu walijenga reli.
Aliyekudanganya Muarabu hakukaa Dar ni nani.Mpaka jina la Dar es Salaam ni jina la kiarabu.Muarabu alileta ujuzi wa kutengeza Majahazi makubwa,kutengeneza zana za kuvulia,amempa ujuzi huo mwenyeji wa pwani mpaka leo anautumia kumuendeshea maisha yake.Pale unapokula samaki na sembe,ujuwe hayo ni matokeo ya kuja muarabu Tanzania.
 
Umaskini wa Tanzania un sababu kuu mbili:
1. Watanzania wanazaliwa katika familia maskini, na inakuwa ni wajibu wa mtu mwenyewe kujitoa huko kwenye umaskini.
2. Umaskini wa Tanzania unatokana na umaskini wa nchi, kumbuka kutochanganya utajiri wa rasilimali na utajiri wa nchi. Miaka ya 1990 Nigeria ilikuwa inazalisha mafuta kama sasa, lakini GDP yao ilikuwa $ 36 bn, leo kwa mafuta yale yale GDP yao ni $ 300 bn.

Kwa kusema hayo, ni wajibu wa kila mtu peke yake kujiendeleza kiuchumi. Na kama kila mtu maisha yake yatakuwa bora basi maisha ya Watanzania kwa ujumla yatakuwa bora. Pili, matumizi ya rasilimali kwa manufaa ya nchi, kujenga mazingira ya kuzalisha utajiri. Mfano mzuri ni kushindwa kutumia nafasi ya kuuza bidhaa na huduma nchini DRC badala yake wanafaidi Burundi na Rwanda. Gesi ya Mtwara inaweza kutumika kutengeneza diesel na gasoline kwa matumizi ya soko la ndani, lakini sioni kama serikali itakuwa tayari kupoteza kodi na kuokoa fedha za kigeni badala yake. Kukataa mfuma wa kiuchumi wa dunia kama ulivyo na kutumia mapungufu katika mfumo wa uchumi wa dunia kwa manufaa yatu wenyewe ndiyo njia ya kujiletea maendeleo na kujijenga kiuchumi.


Mfano mwingine ni kuwa tungeweza kuuza bidhaa zetu za kilimo moja kwa moja kwa walaji katika masoko kwa kuingia ubia na wasambazaji wa kahawa, karanga nk. Hivyo mkulima wa korosho angeweza kupata bei nzuri ya zao lake kama chama cha ushirika kingekuwa na ubia na msambazaji wa korosho tusema Italia, hivyo kuwaondoa wafanyabiashara wa kati (undermine the middlemen) na kukamata soko.
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?
wengi kulinganisha na akina nani,
 
Nimefanya Utafiti huu kwa zaidi ya miaka mitano na nikajiridhisha kuwa ndugu zangu wa mikoa yote ya pwani ni wazito sana ktk kupanga mikakati ya maisha yao ya baadae,nilikuwa London na rafiki yangu mmoja ------ nikiishi naye ktk apartment moja,huyu jamaa ana roho nzuri sana tatizo ni mvivu ile mbaya,akiwa na hela mfukoni haendi kwenye part time job hadi mfuko ukauke(huko ni ngumu kupata kazi ya kudumu kwa wageni) ukija Dar Ndugu Zangu Wazaro,wanaishi Maisha Ya Ajabu Sana,utakuta Kijana Hajihangaishi Kwa Lolote eti anasubiri baba yake afe ili arithi nyumba,au mtu ana nyumba ilala au kariakoo ya mil 200 lakini watoto wake ni vibaka na alishindwa kuwasomesha,wakati angeweza kuuza hiyo nyumba then akajenga mbagala nyumba ya mil 80 ile mil 120 anabuni miradi mbalimbali ya kuingiza kipato then watoto wake waweze kwenda shule,lakini hawa ndugu zangu sijui wakoje,hiyo ni mifano michache kati ya mingi mno ya kushangaza ya hawa watu,sijui labda kama nimekosea natanguliza msamaha maana nisije kuambulia ngeu na kipigo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom