Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Hata mbara namba moja alipenda sana kulicheza hili.
Alihamia nalo butiama.
Pia elewa huu ni ubunifu wa watu wa pwani katika mambo ya ku past time.
Sasa hivi mnaenda kulewa baa mpaka alfajiri.
Huo mchezo ni akili na ni sawa na Chess ambayo inachezwa huko kwa mabosi zenu..jitambueee

pamoja na kulewa huwa wanacheza bao la kizungu linaitwa pool!
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?

We mwangalie Kikwete na vitendo vyake ndipo utajuwa kwa nini watu wa Pwani ni useless.
 
Mkuu ulichoandika ni ukweli 100%

Umasikini ni baraka pia !..........kwa kuwa wabara wengi mna tamaa na wezi na pia hamna hofu ya Mungu hamlijui hilo.
Ijumaa kama leo tukitoka Msikitini omba omba wengi wamejaa wanadai sadaka. Lakini ukienda Kanisani Jumapili, hupati masikini hata mmoja anae omba sadaka.
Ijumaa kama ya leo, Masikini wanapita katika maduka ya Waislaam kuomba sadaka. Jmapili au iwe siku yeyote hakuna Mkiristu anatoa sadaka kwa Masikini. Wao wako bize kutajirisha 'Mitume'
 
Wakristo sadaka haitakiwi kuwa "show" msukule wewe, mkristo atoapo sadaka inatakiwa kuwa siri Kabisa...
 
Unatarajia nini kama kiongozi wao ni kikwete?
Rais mwenyewe alisema hajui umaskini wa watanzania sababu ni nini kwahiyo nani awe na mkakati wa kupunguza umaskini?

Sisi hatuna haja ya utajiri wa wizi ulevi na uzinifu !
Utajiri kwetu ni mtihani.
Mpo bize kuua vikongwe, mazeruzeru na kuchuna ngozi !
 
Sina kumbu kumbu vzr, lkn enzi za uhai wake, Dr. O. A. Juma aliwahi kutembelea MAHENGE, hakuamini pale alipoona wengi wa wananchi hawakuwa wamejisitiri kimavazi! Kwa uchungu, akaamrisha ujio wa mabalo ya mitumba kutoka DSM na kugaiwa bure kwa wananchi!
 
Bado Njombe wanavyoteketea na ukimwi mpaka vikongwe na watoto ndio wanao lea familia
 
Wakristo sadaka haitakiwi kuwa "show" msukule wewe, mkristo atoapo sadaka inatakiwa kuwa siri Kabisa...

Teh teh teh teh!

Yaani we kila ukiandika ni Viroja tu!

Sasa hebu tazama hapa mnapokusanya Pesa Za Vitimoto!
Hapa Kweli Kuna Siri?

Hapa VIKAPU vya Kukusanyie haramu Vinaombewa Na WASANII.

1417751967216.jpg

Kikapu cha kwanza Kinarudishwa kimesha jaa pesa za gongo na Viti moto!
1417752066405.jpg

Mchango wa Fweza za Wananchi Unaendelea.

1417752016478.jpg

1417752122373.jpg1417752138469.jpg

Unga wa Azam Na Kuku wa Kukwiba pia wanapokelewa!

Pamoja na Mafuta ya Bei poa wachungaji hawaachi.

1417752233857.jpg

Teh teh teh .

Ama kweli wagalatia Wasanii!

Sasa hivyo viroba Vya nini kwenye nyumba ya PAULO?

Kwani yule msela wa msalabani ugali anakula?
 
Hahaaa keep on dreaming shemeji.....

Na udini wako pia unawakilisha wapwani wenzako....

Muda huu na msuli wako na kasimu ka techno umekaa barazani unachat Jf ndo unajiona mshua
 
Teh teh teh teh!

Yaani we kila ukiandika ni Viroja tu!

Sasa hebu tazama hapa mnapokusanya Pesa Za Vitimoto!
Hapa Kweli Kuna Siri?

Hapa VIKAPU vya Kukusanyie haramu Vinaombewa Na WASANII.

View attachment 208123

Kikapu cha kwanza Kinarudishwa kimesha jaa pesa za gongo na Viti moto!
View attachment 208125

Mchango wa Fweza za Wananchi Unaendelea.

View attachment 208124

View attachment 208126View attachment 208127

Unga wa Azam Na Kuku wa Kukwiba pia wanapokelewa!

Pamoja na Mafuta ya Bei poa wachungaji hawaachi.

View attachment 208128

Teh teh teh .

Ama kweli wagalatia Wasanii!

Sasa hivyo viroba Vya nini kwenye nyumba ya PAULO?

Kwani yule msela wa msalabani ugali anakula?

Huwezi kukuta maskini nje ya
a Maknisa wakiomba sadaka, wale wenye ukoma kutoka Shinyanga na vipofu wa kule Dodoma
 
Teh teh teh teh!

Yaani we kila ukiandika ni Viroja tu!

Sasa hebu tazama hapa mnapokusanya Pesa Za Vitimoto!
Hapa Kweli Kuna Siri?

Hapa VIKAPU vya Kukusanyie haramu Vinaombewa Na WASANII.

View attachment 208123

Kikapu cha kwanza Kinarudishwa kimesha jaa pesa za gongo na Viti moto!
View attachment 208125

Mchango wa Fweza za Wananchi Unaendelea.

View attachment 208124

View attachment 208126View attachment 208127

Unga wa Azam Na Kuku wa Kukwiba pia wanapokelewa!

Pamoja na Mafuta ya Bei poa wachungaji hawaachi.

View attachment 208128

Teh teh teh .

Ama kweli wagalatia Wasanii!

Sasa hivyo viroba Vya nini kwenye nyumba ya PAULO?

Kwani yule msela wa msalabani ugali anakula?

Weeeeeeerrrrraaaaa
 
Attachments

  • 1417752709906.jpg
    1417752709906.jpg
    48.9 KB · Views: 85
Wafuasi wake wawe na wamekata magovi ila yeye ndio anabaki nalo ?! hizi ni akili za kigalatia tu. Muislaan wa kwanza kukata govi ni Ibrahim AS, sisi tukafuatia.
Kafiri na govi !

Ha ha ha Msukule wahedi, Muhammad alikufa na nyama ya govi lake ----- wewe, hakuna ushahidi wa kimaandiko wala kihistoria juu ya Muhammad kutahiriwa, makuraish hawakuwa na utamaduni wa Ibrahim kamwe.
Muhammad aliondoka nalo Kama kufa na govi ni ukafiri Muhammad ni kafiri mwandamizi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom