Mkuu ulichoandika ni ukweli 100%
halafu kutwa kucha kutishia watu albadiri..
Nimefanya Utafiti huu kwa zaidi ya miaka mitano na nikajiridhisha kuwa ndugu zangu wa mikoa yote ya pwani ni wazito sana ktk kupanga mikakati ya maisha yao ya baadae,nilikuwa London na rafiki yangu mmoja ------ nikiishi naye ktk apartment moja,huyu jamaa ana roho nzuri sana tatizo ni mvivu ile mbaya,akiwa na hela mfukoni haendi kwenye part time job hadi mfuko ukauke(huko ni ngumu kupata kazi ya kudumu kwa wageni) ukija Dar Ndugu Zangu Wazaro,wanaishi Maisha Ya Ajabu Sana,utakuta Kijana Hajihangaishi Kwa Lolote eti anasubiri baba yake afe ili arithi nyumba,au mtu ana nyumba ilala au kariakoo ya mil 200 lakini watoto wake ni vibaka na alishindwa kuwasomesha,wakati angeweza kuuza hiyo nyumba then akajenga mbagala nyumba ya mil 80 ile mil 120 anabuni miradi mbalimbali ya kuingiza kipato then watoto wake waweze kwenda shule,lakini hawa ndugu zangu sijui wakoje,hiyo ni mifano michache kati ya mingi mno ya kushangaza ya hawa watu,sijui labda kama nimekosea natanguliza msamaha maana nisije kuambulia ngeu na kipigo.
Wazaramo wengine tumejichanganya viwanja vikubwa usiwe na mawazo finyu ya kufikiri kwa ukabila mshamba wewe.
Umefanya research research yako imetumia methodology gani?
Imetumia control gani?
Ina margin of error gani?
Imekuwa published katika peer reviewed journal gani?
Sio umejidamkia na kujipachika kisirani chako chenye inda juu ya watu wa Pwani, unakuja hapa na kuita "research".
Nimefanya Utafiti huu kwa zaidi ya miaka mitano na nikajiridhisha kuwa ndugu zangu wa mikoa yote ya pwani ni wazito sana ktk kupanga mikakati ya maisha yao ya baadae,nilikuwa London na rafiki yangu mmoja ------ nikiishi naye ktk apartment moja,huyu jamaa ana roho nzuri sana tatizo ni mvivu ile mbaya,akiwa na hela mfukoni haendi kwenye part time job hadi mfuko ukauke(huko ni ngumu kupata kazi ya kudumu kwa wageni) ukija Dar Ndugu Zangu Wazaro,wanaishi Maisha Ya Ajabu Sana,utakuta Kijana Hajihangaishi Kwa Lolote eti anasubiri baba yake afe ili arithi nyumba,au mtu ana nyumba ilala au kariakoo ya mil 200 lakini watoto wake ni vibaka na alishindwa kuwasomesha,wakati angeweza kuuza hiyo nyumba then akajenga mbagala nyumba ya mil 80 ile mil 120 anabuni miradi mbalimbali ya kuingiza kipato then watoto wake waweze kwenda shule,lakini hawa ndugu zangu sijui wakoje,hiyo ni mifano michache kati ya mingi mno ya kushangaza ya hawa watu,sijui labda kama nimekosea natanguliza msamaha maana nisije kuambulia ngeu na kipigo.
Wazaramo wengine tumejichanganya viwanja vikubwa hatuendekezi uvivu usiwe na mawazo finyu ya kufikiri kwa ukabila mshamba wewe.
Umefanya research research yako imetumia methodology gani?
Imetumia control gani?
Ina margin of error gani?
Imekuwa published katika peer reviewed journal gani?
Sio umejidamkia na kujipachika kisirani chako chenye inda juu ya watu wa Pwani, unakuja hapa na kuita "research".
haya maswali uliomuuliza hatoweza kujibu ,huyu mtoa mada Ana kiranga
akili za wakuja siku zote zipo nyuma...nani amekwambia future anapanga binadamu?
Haya sisi hatufanyi kazi na wavivu lini umemuona ombaomba wa kizaramo akikatiza mitaani zaidi yenu nyie unaokurupuka maporini huko kuja mjini kutafuta maisha utadhani uliyapotezea huku kama kweli nyie mahodari kwanini msikae kwenye vijiji vyenu huko mkapaendelezea kuwa kama huku mnapopakimbilia!?
Kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kupanga maelezo unasema wavivu tunategema urithi ujiulizi hao wazee wetu hizo nyumba za urithi walizipata wapi kama walikuwa wavivu?
karibu Dar Es Salaam piga kazi ukasaidie familia yako sisi Watoto Dar hatuna muda wa kukimbizana na nyie wakuja
Na sasa kiranga chake kimekutana na Kiranga.