Kwa nini Tanzania ni maskini,wakati kuna kila fursa inayotakiwa kwa maendeleo kama tunavyosoma katika vitabu vya uchumi? Hili swali mtanzania namba 1, mchumi, asili yake Pwani hajui jibu lake. Baba wa familia hajui kwa nini tuko maskini,pamoja na kuzungukwa na washauri wasomi wa kila fani.
Tumeendekeza Chini Sana Kula Bata Kwa Sana
kujishughulisha kwao ni kwa vitu vidogo vidogo,uuzaji wa mihogo ya kukaanga,maandazi,barafu etc.bora wapate vijihela vya kula na siyo biashara zinazoweza kuwatoa kimaisha.pia wanaendekeza sana mapenzi
Tatizo ni uchawi, bao, kahawa na wivu...yaani we ukijishughulisha ukajipatia senti kidogo tu, ndo utakoma kila mtu ataleta pembe yake ajichotee..kwa hiyo wote wanakaa kimya.
Wamisionary walikopita walieneza elimu jiulize huko unakotaja kiwango cha elimu kikoje kwa wazaliwa.kazi unaweza kufanya lakini maarifa kidogo na tija ni ndogo
mkuu hii inaweza ikawa ni sababu kubwa.
Hapa umedanganya Mkuu, ile misusuru na maandamano ya ijumaa kupita kuomba madukani ni watu wa bara kweli ? Au tofauti ni namna ya uombaomba, wa bara wanakuwa barabarani na kila siku wakati wa pwani wao ni madukani siku ya ijumaa
ndio kitu muhimu, kwa sababu wengi wao wanapata hela lakini wanayachezea maisha, nimeishi sana huu ukanda lakini watu wenye akili kidogo za maisha wanakua na maisha mazuri tu
Wakipata hela wanapeleka kwa waganga wa kienyeji
you are very dumb my friend, watu wa pwani wanaoishi dsm wengi wao bado ni masikini sana, wanaishi buguruni, temeke, pugu, gongo la mboto, mbagala, manzese, tandale, magomeni, kigogo to mention a few. nenda kimara, mikocheni, mwenge na maeneo mengine ya watu wa bara uone kama hali yao sawa na ya wapwani. tatizo kubwa la watu wa pwani ni elimu, hawajali kabisa elimu kama wanawake wanawaza tu kuolewa, kama wanaume wanawaza tu kazi ndogondogo kuchoma chips na kuoa mitara.
maeneo mengi yaliyotawaliwa na waarabu ni masikini.kwanza utakuta elimu duni, miundombinu duni
Watu wa pwani ni mamwinyi kucha kushinda vibarazani wakicheza bao na kunywa kahawa!
sio kweli mkuu, pwani kuna fursa nyingi sana zibaparikana mfano ardhi yenye rutuba, bahari na vitu kama hivyo. labda uniambie hawajui kuzitumia fursa ipasavyo.
Umaskin wa kiuchumi ni matokeo ya umaskini wa mawazo,fikra,maarifa na akili kwa ujumla wake.Pwani ndio kwenye watoto wanao zaa watoto;wasio maliza darasa la saba; wafuasi watiifu wa vigodor;Watu wanaoridhika kwa maneno tu (Na hawa ndio mtaji wa maccm).UNA HAKI YA KIKATIBA KUKATAA AU KUKUBALI,ILA HUNA HAKI KUBADILISHA UKWELI
Wachaga wakipata fedha wanajenga mijengo ila wenzangu wapwani wao ni papuchi na majini.
Kwa sababu wanamidomo sana, maneno mengi, ushirikina wa kidini, kufuata dini ya amani ambayo haithamini maisha ya kibinadamu zaidi ya umwinyi, umbeya, wivu na majungu. Na ukiangalia maeneo yote tanzania yanaokaliwa na watu wa dini ya amani hayana mwelekeo.
Watu wa Pwani sio Masikini kuliko watu wa Bara. Watu wa Bara ni Masikini zaidi. Miongoni mwa hoja zilizo tolewa na Wadau ambazo ni zakweli ni ile hali ya watu waMikoa kama Dodoma, Tabora, Mbeya, Singida, Iringa nk, Kuendelea kulala na Wanyama katika Nyumba moja, kua ombamba kwa ulemavu wa Viungo kutokana na Magonjwa kama vile Ukoma na Kadhilika.
Lakini ukweli ni upi?. Ukweli ni kwamba, kwa watu wa Pwani, kilichofanyika ni kuwapunguza nguvu za Maandeleo kwa Makusudi kabisa. Juhudi zilizo fanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hiyo pia inaonekana ni ajenda ya Siri ya Baadhi ya Watendaji wa Chama tawala kama ifuatavyo.
Sio siri kua, Wakazi wengi wa Mikoa ya Pwani, Tanga, Mtwara, Pwani, Ruvuma na Lindi ni Waislamu. Vile vile sio siri kua, katika juhudi za kuondoa ukoloni tangu wakati wa Mjerumani hadi Mwingereza, ni Watu wa Pwani ndio waliokua vinara wa juhudi hizo na kama haitoshi, walifikia hatua ya kubeba siliha kupambana na hilo. Rejea Vita vya Maji Maji (Mtwara, Lindi na Ruvuma).na Vita vya Bwana Heri na Bushiri (Tanga - Pangani).
Nini Nyerere alifanya Mara baada ya Kusaidiwa na Watu wa Pwani kudai Uhuru wa Nchi hii.
Kwanza kabisa Nyerere alitawala kwa Ajenda ya Siri ya Udini yenye lengo la Kuuvunja Nguvu Uislamu. Amenukiliwa hivyo katika kitabu kilicho andikwa na Dr. John Sivalon, kinacho itwa
Kanisa Katoliki na siasa ya Tanzania bara 1953 hadi 1985. Alikua ni nyoka alie umma na Kupuliza.
Katika kutekeleza nia yake hiyo, kwanza babisa alihakikisha Miundo Mbinu Muhimu yote ya kuelekea Mikoa ya Pwani kama vile Bara bara, Reli, Viwanja vya Ndege na Bandari zinakufa kabisa. Hakufanya jitahada zozote kuimarisha miundo mbinu. Mfano ni reli ya Tanga, Bandari ya Mtwara na Tanga. Hata Barabara kuu ya kuelekea Tanga na Mtwara, ilikuja kujengwa wakati wa Mwinyi na Mkapa. Vile vile alihakisha kua viwanda katika Miji hiyo ya Pwani vinakufa kabisa kwa Gharama yoyote. Kwa mfano Tanga kilikua na Viwanda Cha Mbolea, Chuma, Tanga Diary, Kiwanda cha Mbao, Amboni Plastic, Kiwanda cha Sabuni - Mbuni etc. Vyote hivyo vilikufa kabla kabla Nyerere hajaondoka Madarakani.
Mpaka Nyerere anaondoka Madarakani, alikua anaogopa kwenda Tanga. Nakumbuka Ziara yake ya Mwisho aliofanya kwenda Tanga, hakuweza kuhutubia viwanja vya Hadhara licha ya Wanachi kutangaziwa kua angelifanya hivyo. Nakumbuka ziara yake ya Mwisho alipofika Muheza, licha ya Kulakiwa na Wanachi wengi, Mashushu wake walifunga geti la Uwanjwa wa Mpira wa Muheza na Kuruhusu Wanachama Hai tu wa CCM ndio kuingia ndani ya Uwanja. Mimi nikiwa kijana Mdogo, nilitamani sana kumuona Huyo Jamaa aliepigania Uhuru peke yake, Lakini Wallahi nawaambia, hili sijahadithiwa, nilishia geti la wanja na Wengi wetu tukarudi nyumbani.
Kutoka na hali hiyo, ikumbukwe pia,Mapinduzi ya Kijeshi yalioshindwa yalikua yamewashirikisha, Kijana Hatibu Gandhi (Hatty MacGhee) alikua kijana kotoka Muheza na Komandoo Mohamed Tamimu alitokea Tanga Mjini. Hatibu na Gadhi na Wenzake wengine kina Suleiman Kamando, Zakaria Hans Pope, Vitalis Mapunda, Mbogolo,Eugene Maganga, Kajaji Badru na Christopher Kadego walihukumiwa kufungwa maisha jela. Pius Lugangila alitoroka.
Rais Ally Hassan Mwinyi aliwaachia Wote waliokua Hai kwa Msamaha wa Rais October 22. 1995.
Kwahiyo, Pamoja na Juhudi za Mwalimu Nyerere Kurudisha nyuma juhudi za Kiuchumi za watu wa Pwani, bado Umasikini wa watanzania kielelezo chake sio watu wa Pwani. Inawezakana hata Juhudi zake zilizoshindwa za kuhamisha Mji mkuu wa Tanzania Kutoka Dar -es -salam hadi Dodoma ni kutokana na roho yake ya chuki dhidi ya Watu wa Pwani. Kubwa ni kwamba, watu wa Pwani sio watu wanaburuzwa kirahisi.
Kisingizio cha Uchawi ni Kisingizio dhaifu sana, kwani Mauji ya Vikongwe na Alibino, Mikoa ya Bara ndio inayo ongoza kwa Imani za Kichawi.