mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
- Thread starter
- #61
hakuna fursa
sio kweli mkuu, pwani kuna fursa nyingi sana zibaparikana mfano ardhi yenye rutuba, bahari na vitu kama hivyo. labda uniambie hawajui kuzitumia fursa ipasavyo.
hakuna fursa
bahati nzuri nimetembelea sehemu nyingi sana Tz hii,acheni kuwasema watu wa pwani ni masikini,umasikini wa watu wa pwani humkuti mtu kutembea uchi,humkuti mtu analala na mbuzi chumba kimoja,huko mikoani ni mambo ya aibu haswa ukiyaona hayaelezeki hao jamaa wako old stone age. ningekuwa najua kama ningekuja kutoa maoni hapa ningepiga picha nadhani mngeona aibu sana.
Hivi unajua kuwa bara kuna watu hawajawahi hata kuonja chai?.you are very dumb my friend, watu wa pwani wanaoishi dsm wengi wao bado ni masikini sana, wanaishi buguruni, temeke, pugu, gongo la mboto, mbagala, manzese, tandale, magomeni, kigogo to mention a few. nenda kimara, mikocheni, mwenge na maeneo mengine ya watu wa bara uone kama hali yao sawa na ya wapwani. tatizo kubwa la watu wa pwani ni elimu, hawajali kabisa elimu kama wanawake wanawaza tu kuolewa, kama wanaume wanawaza tu kazi ndogondogo kuchoma chips na kuoa mitara.
Hebu linganisha mtwara na simiyu.Unapotanguliza hisia fulani au mahaba ya kitu kwenye kila jambo pengine inaweza kuwa sababu ya kushindwa kupambanua na kujadili mada kwa mapana yake.
Unapozungumzia dar-es-salaam ya leo pamoja na uchumu wake mkubwa kuna maswala kadha wa kadha hauna budi kuyataja kama kichocheo cha uchumi.
Asilimia kubwa ya watu wanao miliki mali na walioinua jiji la dar-es-salaam siyo wazawa ni wakuja ndiyo wenye juhudi zote hizi unazoziona na kuringia jiji la dar-es-salaam.
Kama unahistoria nzuri juu ya wazawa wa dar unaweza kudungua wao mchango wao ni kiasi gani katika hili hasa ukirejea kwenye historia kwa kuangalia wanajuduhi kiasi gani kujituma katika kazi wanahulka ya kazi amalaa.
Nikirudi kwa zanzibar kama ulivyosema nakosa mantiki ya wewe kuilinganisha Singida na Zanzibar hasa ukizingatia Zanzibar ni nchi halafu Singida ni mkoa, kwa hivyo katika hali yoyote ile hauwezi ukalinganisha kiuchumi kati ya nchi na mkoa.
Wakipata hela wanapeleka kwa waganga wa kienyeji
Wabara na maendeleo
Wengi watadhani walosababisha umasikini wa Pwani ni Waraabu lakin sio Waarabu!!!!!!Soma historia vizuri na miongoni mwa miji iliyokuwa kibiashara miji iliyomasikini leo ndo iliwika katika Historia. Angalia miji ya wenzetu Afrika miji iliyosifika leo ikoje? Ni vyema watu wakatafakari na kufanya utafiti na kuja majibu, Nikirejea historia vyama vya kupigania uhuru vilianza Pwani mfano katika mashamba ya mikonge yanakopatikana Pwani na kwingineko maeneo ya Pwani (kwa maana hiyo walikuwa na upeo mpana wa kutafuta maisha bora kuliko jamii nyingine). Umasikini wa Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Kigoma, Tabora, Morogoro na Singida ni wa kufanyia uchunguzi (utafiti ni nini chanzo cha kurudi nyuma) pasije pakawa na hila za kuzamisha jamii za Pwani na watu wa aina hiyo. Ni vyema Waarabu wasilaumiwe kwa umasikini wa Pwani kwani ni Uongo wa dhahiri kuwa wamesababisha umasikini. Nakataa kwa mujibu wa vitabu vya historia ya Tanganyika, Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Kama vitabu vya historia vinasema uongo basi Waraabu hawakuja, Wazungu hawakuja na Wamisionari hawakuja. Kama wote walikuja Tanganyika basi Umasikini hujasababishwa na Waraabu tutafute sababu nyingine lakini sio kuwalaumu Waraabu kwa kusababisha umasikini Tanganyika hasa jamii iliyoiga mila na mienendo na tamaduni za Kiarabu.
Alaa,kumbe hata mkapa ni mtu wa pwani,kwamaana hiyo nchi imetawaliwa na watu wa pwani kwa miaka 30,no wonder nchi imepiga hatua,enzi zile mtu wa bara hata tv ilikuwepo kwa watu watano tu nchini kote ukiachia zenj.Nimesafiri sana nje ya pwani arusha mbeya iringa singida tabora moshi huko sijaona zaidi ya umaskini wa kutupwa na ujinga.
Unakuta mtu hajaeahi kubaa viatu
Wengine hata nyumba zenye cement hajawaji ukimchukua anamwaga maji chini anadhani nyumba zs dongo maji yanaenda chini.
Magari kwao ni yale ya watalii.
Wengine kazi za kutembea na ngombe siku nzima zimewashinda sasa wanakuja pwani kuomba kazi za ulinzi kwa wapwani.
Hao walifanywa ni vibutio vya watalii .
Lakini katika wati wa pwani walo sababisha wanaotika bara kujua dunia ni pamoja na Mkapa
Mwinyi
Na sasa kikwete
Yule wa bara mwezenu aliwafungia kwenye animal farm na hamkuruhusiwa kufikiri.
Chambilicho marehemu Ditopile ..mmekuja mjini mnajifanya kumbe hata ngozi hamjakata wala kula chapati hamjui...leo wajuaji...
Iringa na tabora napo siku hizi ni pwani?.Umeeleza vizuri kuhusu waarabu lakin ungekuwa straight utamaduini upi wa waarabu...kwangu mm ni Dini walioleta...kwa watu wa pwani pia mikoa iliyotajwa na member mmoja wa hapa kuna mikoa ya kighoma na Tabora kwa ukiangalia hiyo tamaduni zao za dini zimeleta hizo.....
- Kuswali mara 5 kwa siku utafanyaje kazi after 2 hrs unaswali na utazalisha nn
- Taamduni za kiarabu ni kupenda zaidi wake zao..ndio sababu katika majeshi yetu wazaramo na watu wote wa pwani uwezi kuwakuata wengi.....mtu wa pwani awezi kumwacha mke wake aende lindoni usiku..zingatia majeshi yote yameanzia pwani lakini watu wa bara ndio waliomo wengi zaidi.....!!! km wakurya, wanyakyusa nk....mtu wa pwani hakuona kaz ya jeshi muhim kwa wivu wake wa kuacha mke aende Guard Usiku.
- Angalia mikoa ya bara yenye asili ya pwani ni maskin mf Tabora, Ujiji Kighoma, Ilula Iringa...Tanga , Kondoa dodoma, mitaa pia wanaoshi kipwani ni maskini kwa sababu nilizotaja....
- Kama mikoani mf Iringa maeneo mengi wanaendelea kwa kilimo lakin pia biashara ya Kiti moto, pombe, ndio inawoengezea kipato wenyeji ss km uko na tamaduni za kiarabu uwez kukuza kipato....Rungwe mbeya Mfugo kama nguruwe ni km kila mtu anafuga kuku na wanauza sana na wakazi wa rungwe wako vizuri kuichumi
- Ukubwa wa familia...Mitala pia ni tamaduni za kiarabu zinachangia familia kuelemewa na kusababisha umaskin ktk kuahakikisha familia inapata mahitaj stahili au in short ni kutokuwa na quality family watakayoimudu.... tamaduni za kiarabu ni kuzaa na kuoa wake wengi.....
wewe mbulula, hivi unajua huyo masai anamiliki ng'ombe wangapi? wengi wao hapo wana ng'ombe hata alfu tatu ambao ukiwauza thamani yake ni sawa na zaidi ya milioni mia tano. kama hauamini subiri wakija pwani na ng'ombe wanauza ng'ombe kununua maekari ya mashamba kulishia wanyama, wewe unamiliki mihogo na minazi yeye anamiliki ng'ombe wa mamilioni. nani alikwambia hao ni masikini kama nyie wacheza ngoma?Wabara na maendeleo
acha umasikini wa akili, nani alikwambia kunywa chai ndio utajiri?hahaha, aisee nyie wacheza ngoma mna matatizo kwenye akili. wewe unakunywa chai wenzio wanakunywa maziwa hata lita, nyie wa pwani mnayajua maziwa nyie, ndo maana akili zenu ndogo kwasababu hamnywi maziwa.hahaha. kwa taarifa yako, kuna nchi hata ulaya asubuhi hawanywi chai, breakfast yao haina chai. sijui utasemaje hapo. kila utamaduni wa watu unayo aina ya breakfast yake, usikariri kahawa na chai mnazouziwa na kashata mzee.Hivi unajua kuwa bara kuna watu hawajawahi hata kuonja chai?.
wewe mbulula, hivi unajua huyo masai anamiliki ng'ombe wangapi? wengi wao hapo wana ng'ombe hata alfu tatu ambao ukiwauza thamani yake ni sawa na zaidi ya milioni mia tano. kama hauamini subiri wakija pwani na ng'ombe wanauza ng'ombe kununua maekari ya mashamba kulishia wanyama, wewe unamiliki mihogo na minazi yeye anamiliki ng'ombe wa mamilioni. nani alikwambia hao ni masikini kama nyie wacheza ngoma?
ukiongelea Tanga, nenda pangani ambako hadi leo hawachimbi vyoo, wanajisaidia hovyohovyo. kuna kampeni kubwa sana inafanyika mkoa wa Tanga watu wachimbe vyoo. hivyo mkoa wa tanga ondoa kabisa kwenye ustaarabu. usiangalie pale mjini. nend apangani huko wanakoishi mamwinyi tu huko ukaone kama haujakimbia. ukienda mtwara ambako mtoto wa kike akifika miaka 14 ashakuwa na mtoto asiye na baba, asilimia kubwa ya watoto wanaozaliwa kule wanaitwa watoto wa korosho kipindi cha korosho wanunuzi wanatwanga tu hivyo binti hajui baba wa mtoto ni nani na hajui kabila gani na anatoka wapi kwasababu alikutana naye akatwanga akalala mbele. lindi ndio haipo kwenye karne ya 21. panda bagamoyo ndio salaleee hotel za mikutano ya bongo zinaisaidia siku hizi inajulikana ila wazawa wake wamepoa wanawaza kucheza ngoma tu. panda wapi, kidogo morogoro hadi kilombero utawaonea huruma wamezidi ufipi kwa mahangaiko ya maisha hata hawarefuki.Hebu linganisha mtwara na simiyu.
au mpanda na tanga.
hapo utasema wahamiaji ndo wameendeleza,sasa kwanini wasiendeleze kwao?.
na hao wahamiaji waliondeleza dar ni kina nani hebu weka orodha tufanye tathimini.
Mkuu mi mnyantuzu bana,in case hupajui natokea mwasinasi,balyati.acha umasikini wa akili, nani alikwambia kunywa chai ndio utajiri?hahaha, aisee nyie wacheza ngoma mna matatizo kwenye akili. wewe unakunywa chai wenzio wanakunywa maziwa hata lita, nyie wa pwani mnayajua maziwa nyie, ndo maana akili zenu ndogo kwasababu hamnywi maziwa.hahaha. kwa taarifa yako, kuna nchi hata ulaya asubuhi hawanywi chai, breakfast yao haina chai. sijui utasemaje hapo. kila utamaduni wa watu unayo aina ya breakfast yake, usikariri kahawa na chai mnazouziwa na kashata mzee.
Kwahiyo huko kwenu mpanda kila mwanakijiji ana choo cha kuflush?.ukiongelea Tanga, nenda pangani ambako hadi leo hawachimbi vyoo, wanajisaidia hovyohovyo. kuna kampeni kubwa sana inafanyika mkoa wa Tanga watu wachimbe vyoo. hivyo mkoa wa tanga ondoa kabisa kwenye ustaarabu. usiangalie pale mjini. nend apangani huko wanakoishi mamwinyi tu huko ukaone kama haujakimbia. ukienda mtwara ambako mtoto wa kike akifika miaka 14 ashakuwa na mtoto asiye na baba, asilimia kubwa ya watoto wanaozaliwa kule wanaitwa watoto wa korosho kipindi cha korosho wanunuzi wanatwanga tu hivyo binti hajui baba wa mtoto ni nani na hajui kabila gani na anatoka wapi kwasababu alikutana naye akatwanga akalala mbele. lindi ndio haipo kwenye karne ya 21. panda bagamoyo ndio salaleee hotel za mikutano ya bongo zinaisaidia siku hizi inajulikana ila wazawa wake wamepoa wanawaza kucheza ngoma tu. panda wapi, kidogo morogoro hadi kilombero utawaonea huruma wamezidi ufipi kwa mahangaiko ya maisha hata hawarefuki.
we mnyantuzu, hao matajiri wa ardhi wako wapi? kisarawe?mkuranga? tumeshawafukuza wote hapa mjini wanazidi kusogea pembeni karibia wataingia bahari ya hindi ardhi wabara wamekuja kuinunua yooote, hawamiliki kitu, sasaivi hata uende isarawe ni sheeedah kupata ardhi utaambiwa masanja kanunua, mara sijui mnyakyusa gani, mara masai, mara mchaga mara everything. kwani wazaramo wangapi wanamiliki nyumba hapa bongo kama hawajajazana bonde la jangwani magomeni wanasubiri mafuriko? wametuuzia ardhi kwa bei ya kutupa ili wanunue nyama ya ng'ombe wetu.Mkuu mi mnyantuzu bana,in case hupajui natokea mwasinasi,balyati.
sasa wewe unadhani kumiliki ng'ombe hata laki kama huwezi kupata a decent breakfast ama kulala pazuri ndo utajiri gani?.
unalinganishaje utajiri wa ardhi na wa ng'ombe.
ardhi unaweza kuifanya colateral,je ng'ombe.
hao matajiri wa bara si muwataje hapa tuone.