Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Huwezi kukuta maskini nje ya
a Maknisa wakiomba sadaka, wale wenye ukoma kutoka Shinyanga na vipofu wa kule Dodoma

Wahitaji hutunzwa na kupelekewa mahitaji yao, na huwa kwenye ibada kuna mpango maalum kwa ajiri ya wajane na yatima. Hayo ndiyo makuu kwa wakristo. Hawawapangishi foleni.
Umeelewa msukule wewe ?
 
Weeeeeeerrrrraaaaa

Hata nyerere alivaa kofia na Kanzu.

Na wagalatia wengine hawa hapa wanaovaa km waislamu.

1417752868048.jpg

1417752904270.jpg

Sasa hawa wakibeba Boksi la Gongo wakakatiza mtaani utasema Ni wagalatia?

Mnapenda sana Kujifananisha na Sisi kila siku!

Kwanini msivae GAUNI na SKIRT km huyu msela Hapa?
👇👇👇

1417753097040.jpg
 
Hata nyerere alivaa kofia na Kanzu.

Na wagalatia wengine hawa hapa wanaovaa km waislamu.

View attachment 208132

View attachment 208133

Sasa hawa wakibeba Boksi la Gongo wakakatiza mtaani utasema Ni wagalatia?

Mnapenda sana Kujifananisha na Sisi kila siku!

Kwanini msivae GAUNI na SKIRT km huyu msela Hapa?
👇👇👇

View attachment 208134

Punguza uzezeta, kanzu sio vazi lililobuniwa na Muhammad kwa ajili ya waislam, ni vazi la kawaida kabla hata Muhammad hajazaliwa.
 
Wabara na wagalitia hawana akili ya biashara .utajiri wao ni wa kuiba serikalini tumeina juzi escrow mpaka benki ya ukombozi ni special kukwapua mali za serikali.
Hata Epa mijizi ya kigalatia ndio iloiba pesa zetu kule BOT
 
Ha ha ha Msukule wahedi, Muhammad alikufa na nyama ya govi lake ----- wewe, hakuna ushahidi wa kimaandiko wala kihistoria juu ya Muhammad kutahiriwa, makuraish hawakuwa na utamaduni wa Ibrahim kamwe.
Muhammad aliondoka nalo Kama kufa na govi ni ukafiri Muhammad ni kafiri mwandamizi...
Tatizo la kuchelewa darasa la saba kupangiwa shule,ingekuwa umepangiwa shule,usingeleta utoto jf.
 
Wahitaji hutunzwa na kupelekewa mahitaji yao, na huwa kwenye ibada kuna mpango maalum kwa ajiri ya wajane na yatima. Hayo ndiyo makuu kwa wakristo. Hawawapangishi foleni.
Umeelewa msukule wewe ?

Ukiristu una nyumba wapi ya kusaidia wazee na maskini !?
 
acheni kuleta mada ya za kibaguzi na za udini, wewe kama unajuaa sehemu fursa ipo na unaona watu wamelala changamkia kivyako siyo kuanza kuwaponda watu kutokana na kabila lao au tamaduni zao na dini yao ya kutoka sehemu fulani......

Wagalatia wakisha iba na kujiona matajiri ndipo wanapokuja na mada za kifedhuli ! wezi wakubwa na wala rushwa.
 
Tatizo ni uchawi, bao, kahawa na wivu...yaani we ukijishughulisha ukajipatia senti kidogo tu, ndo utakoma kila mtu ataleta pembe yake ajichotee..kwa hiyo wote wanakaa kimya.

Mnajishughulisha kwa wizi na rushwa, uchawi upo bara kwa kuua Albino na kuchuna watu ngozi.
Mnaishia kukesha Bae mkiteketeza pesa za rushwa na asubuhi unaenda kanisani na hang over !
 
Mnajishughulisha kwa wizi na rushwa, uchawi upo bara kwa kuua Albino na kuchuna watu ngozi.
Mnaishia kukesha Bae mkiteketeza pesa za rushwa na asubuhi unaenda kanisani na hang over !

Wagalatia wanaiba kila kona, serikalini,makanisani na kwenye mabank yao, sijaona wagalatia majizi kama wagalatia wa Tanzania
 
Wezi wana dini ? Ngoja tuwajue wezi wote tuwaweke hapa basi Kama kuna ushahidi msukule wewe

WEZI watatu WA ESCROW Wote NI VIONGOZI WA MAKANISA.

Kwa hio Jibu ni NDIO wana Dini.
Na Dini yao NI UKRISTO!

wawili ni MAPADRI na Mmoja ni MCHUNGAJI!

Hamna aibu nyie wala huruma Kuiba Pesa nyingi namna ile wakati Mahospitali WATOTO Wanakufa Kwa Kukosa DAWA?

Hivi Hayo makanisa ndio yanawafundisha KUIMALIZA NCHI YETU?

Siku yenu itafika tu. Mtakiona mnachokipanda!

Maadui wa haki wakubwa! Majizi msio na Haya nyie!
Mnfnsssssss!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom