Hizi Mada ni kwa wenye akili tu. Wakati wa Utawala wa Mwinyi, Nyerere alivyoona Mwinyi analeta Mafanikio kutoka kwenye Njaa Alio iacha hadi Neema, akanza kumuandama Mwinyi akisaidiwa na KKKT. Rejea kikao alichokifanya Mwinyi na Wazee wa Dar-es-salaam pale Starlight. Usisahau Majibu ya Mwinyi pale Uwanja wa Taifa alio Mjibu Nyerere kutokana na kauli yake kua nchi inaongozwa na Mwanamke. Mwinyi alisema hivi. ''Ukiwa Mtoni unaoga, akaja chizi akachukua nguo zako, Usimfukuze, Maana watu watashindwa kujua ni nani chizi". Babu yenu aliku anasumbuliwa na Udini hadi nchi ikamshinda akakimbia eti akajidai nangatuka. Nchi ilikua kwenye njaa, Viwanda vyote vimekufa, Mfumuko wa Bei n.k.