Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Ajabu ilioje kwa Maskini kutoka bara anavyomshangaa Maskini anaeishi pwani, ati kwa kuwa yeye Maskini mkimbizi wa bara ana uafadhali wa maisha. Let's all work together kuinua maisha ya Watanzania popote walipo. Mada aina hii zinachochea ukanda, udini na dharau. If there's slightest truth ktk madai yako basi tuletee mada zinazo propose solutions ya matatizo waliyonayo wenyeji wa Pwani. Ili wayachukue na wayafanyie kazi. Otherwise it's unhealthy to suggest kitu based on hearsay.
 
Wagalatia wanaiba kila kona, serikalini,makanisani na kwenye mabank yao, sijaona wagalatia majizi kama wagalatia wa Tanzania

Bado zile wanazo kwapua kupitia M o U haziwatoshi !
Mpaka waumini wamegoma kutoa (wa Anglikani) kwa ajili ya Hosp. yao ya Seliani. Maana Hosp inapewa pesa za kodi kupitia MoU lakini gharama zake ni ghali kama upo Nairobi !
Wakiristu ni Mafisadi Wakubwa !
 
Ukienda sehemu yoyote ukakuta jamii inamruhusu kijana kuolea kwa baba yake na kufanyia maisha kwao basi weka "?",ukiona kijana anaishi ujombani kama vile yuko kwao na hawazi kuhusu kwao wakati kwao wapo sema anaishi ujombani ili apate ubwabwa basi weka "?" ..ukiona sehemu mtu katoga masikio mashimo zaidi ya 2,pua na ulimi basi weka "?" ..ukiona anapaka rangi miguuni unyayo mpaka mapajani,viganjani mpaka kwapani basi tu,sasa ukiyajumlisha yote haya utapata maana ya kila kitu kimojakimoja na uhusiano uliopo na maisha ya kawaida
 
hawa watu inaelekea wanaathirika na udongo wanaokula mama zao wanapokuwa tumboni..ubongo unapata vumbi wakati unaumbika
 
WEZI watatu WA ESCROW Wote NI VIONGOZI WA MAKANISA.

Kwa hio Jibu ni NDIO wana Dini.
Na Dini yao NI UKRISTO!

wawili ni MAPADRI na Mmoja ni MCHUNGAJI!

Hamna aibu nyie wala huruma Kuiba Pesa nyingi namna ile wakati Mahospitali WATOTO Wanakufa Kwa Kukosa DAWA?

Hivi Hayo makanisa ndio yanawafundisha KUIMALIZA NCHI YETU?

Siku yenu itafika tu. Mtakiona mnachokipanda!

Maadui wa haki wakubwa! Majizi msio na Haya nyie!
Mnfnsssssss!

Msukule wewe; excrow kuna taarifa juu ya 73b out of 306B, huyo songasinga na waliogawana nae wengi watakuwa ni misukule ka wewe, utaweka wapi usovwako ukweli ukidhihiri ?
 
Attachments

  • 1417769589456.jpg
    1417769589456.jpg
    29.1 KB · Views: 77
Ukienda sehemu yoyote ukakuta jamii inamruhusu kijana kuolea kwa baba yake na kufanyia maisha kwao basi weka "?",ukiona kijana anaishi ujombani kama vile yuko kwao na hawazi kuhusu kwao wakati kwao wapo sema anaishi ujombani ili apate ubwabwa basi weka "?" ..ukiona sehemu mtu katoga masikio mashimo zaidi ya 2,pua na ulimi basi weka "?" ..ukiona anapaka rangi miguuni unyayo mpaka mapajani,viganjani mpaka kwapani basi tu,sasa ukiyajumlisha yote haya utapata maana ya kila kitu kimojakimoja na uhusiano uliopo na maisha ya kawaida
Hao ndio wizi wa pesa za uma?,au wizi ni wale usiotaka kuwasema.
 
hakuna watu wa pwani wanalala na mbuzi chumba kimoja?!!! mkuu ulishawahi kutembelea tanga? me naongea hapa sio kama ni kudhalilisha hapana! nimetembea pwani na mikoa mingine kuna tofauti kubwa sana ya kimaisha kwa ujumla.

Tanga gani unayoiongelea wewe watu wanapolala na mbuzi? Au mradi na wewe uandike tu?
 
wewe mbulula, hivi unajua huyo masai anamiliki ng'ombe wangapi? wengi wao hapo wana ng'ombe hata alfu tatu ambao ukiwauza thamani yake ni sawa na zaidi ya milioni mia tano. kama hauamini subiri wakija pwani na ng'ombe wanauza ng'ombe kununua maekari ya mashamba kulishia wanyama, wewe unamiliki mihogo na minazi yeye anamiliki ng'ombe wa mamilioni. nani alikwambia hao ni masikini kama nyie wacheza ngoma?

Kumiliki ng'ombe alfu tatu halafu hata umeme huujui, unalala kwenye kibanda cha tope pamoja na kuku na mbuzi, ni utajiri?
 
acha umasikini wa akili, nani alikwambia kunywa chai ndio utajiri?hahaha, aisee nyie wacheza ngoma mna matatizo kwenye akili. wewe unakunywa chai wenzio wanakunywa maziwa hata lita, nyie wa pwani mnayajua maziwa nyie, ndo maana akili zenu ndogo kwasababu hamnywi maziwa.hahaha. kwa taarifa yako, kuna nchi hata ulaya asubuhi hawanywi chai, breakfast yao haina chai. sijui utasemaje hapo. kila utamaduni wa watu unayo aina ya breakfast yake, usikariri kahawa na chai mnazouziwa na kashata mzee.

Remember 'Tanga Fresh'? Yanatoka mkoa gani wa bara? Idi.ot...
 
mkuu ukiona watu wanakimbilia sehemu ujue pale wanapokimbilia wenyeji wamelala hawajui kuchangamkia opportunity. wabara wamekimbilia pwani wakanunua dsm yote wakawafukuzia wazaramo kwenye mabonde ya kulima mchicha na wengine wako pembeni ya mji wanazidi kufukuzwa. wasingekuwa na utajiri wangewezaje kununua ardhi? wenyeji wachache sana dsm wanamiliki ardhi kwa sasa. wengi wao wameuza na hela walishakula wamerudi kupanga nyumba kwa wabara waliokuwa wamewauzia ardhi.

Ukiona watu wanakimbilia sehemu ujue pale wanapokimbilia wenyeji wamelala? Seriously? Kidunia watu wanakimbila Ulaya na America, vipi hapo? Nina wasiwasi na uelewa wako, sio kama watu wanakimbilia kwenye maendeleo? Pengine ungekuwa huko kwenu mpaka leo hata fursa hii ya kuchangia jf usingeipata...
 
Ukienda sehemu yoyote ukakuta jamii inamruhusu kijana kuolea kwa baba yake na kufanyia maisha kwao basi weka "?",ukiona kijana anaishi ujombani kama vile yuko kwao na hawazi kuhusu kwao wakati kwao wapo sema anaishi ujombani ili apate ubwabwa basi weka "?" ..ukiona sehemu mtu katoga masikio mashimo zaidi ya 2,pua na ulimi basi weka "?" ..ukiona anapaka rangi miguuni unyayo mpaka mapajani,viganjani mpaka kwapani basi tu,sasa ukiyajumlisha yote haya utapata maana ya kila kitu kimojakimoja na uhusiano uliopo na maisha ya kawaida

Ukiona mtu kakimbilia pwani kutoka kwao bara kwenye 'neema na kila utajiri' na hataki kurudi kwao, pia weka "?"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom