Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni uchawi, bao, kahawa na wivu...yaani we ukijishughulisha ukajipatia senti kidogo tu, ndo utakoma kila mtu ataleta pembe yake ajichotee..kwa hiyo wote wanakaa kimya.
 
Wamisionary walikopita walieneza elimu jiulize huko unakotaja kiwango cha elimu kikoje kwa wazaliwa.kazi unaweza kufanya lakini maarifa kidogo na tija ni ndogo
 
Sio watu wa pwani, Watanzania kiujumla! Tanzania ni nchi ya watu maskini tu, usijidanganye eti watu wa 'bara' matajiri..

Sawa sawa, na hasa wakazi wa Dar Es Salaam huwa tunajisahau sana, wengi sio wa makabila ya pwani, ila wazazi wetu walipohamia Dar nasi tukapata fursa hasa ya elimu na kazi...
Ila Tanzania yote kiujumla ni maskini iko nyuma kwenye nyanza karibu zote...

Kiuchumi..
The top 20 Largest Economies In Africa as of January 1, 2011:
#1 . South Africa

GDP- Purchasing Power Parity: US$524 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 30.8%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 2.5%

Contribution of Services Sector in GDP: 66.7% (As of 2010)

Population: 50,586,757 (As of 2011)

Unemployment Rate: 24.9% (As of 2010)
#2 . Egypt

GDP- Purchasing Power Parity: US$497.8 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 37.5%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 14%

Contribution of Services Sector in GDP: 48.3% (As of 2010)

Population: 80,801,170 (As of 2011)

Unemployment Rate: 9.7% (As of 2010)
#3 . Nigeria

GDP- Purchasing Power Parity: US$377.9 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 32%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 30%

Contribution of Services Sector in GDP: 38% (As of 2010)

Population: 155,215,573 (As of 2010)

Unemployment Rate: 4.9% (As of 2007)
#4 . Algeria

GDP- Purchasing Power Parity: US$251.1 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 61.6%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 8.3%

Contribution of Services Sector in GDP: 30.1% (As of 2010)

Population: 36,423,000 (As of 2010)

Unemployment Rate: 10% (As of 2010)
#5 . Morocco

GDP- Purchasing Power Parity: US$151.4 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 31.6%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 17.1%

Contribution of Services Sector in GDP: 51.4% (As of 2010)

Population: 32,208,557 (As of 2011)

Unemployment Rate: 9.1% (As of 2010)
#6 . Angola

GDP- Purchasing Power Parity: US$107.3 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 65.8%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 9.6%

Contribution of Services Sector in GDP: 24.6% (As of 2008)

Population: 18,498,000 (As of 2009)

Unemployment Rate: NA%
#7 . Sudan

GDP- Purchasing Power Parity: US$100 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 29.5%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 30.5%

Contribution of Services Sector in GDP: 39.9% (As of 2010)

Population: 30,894,000 (As of 2008)

Unemployment Rate: 18.7% (As of 2002)
#7 . Tunisia

GDP- Purchasing Power Parity: US$100 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 34.6%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 10.6%

Contribution of Services Sector in GDP: 54.8% (As of 2010)

Population: 10,432,500 (As of April 2, 2011)

Unemployment Rate: 13% (As of 2010)
#9 . Libya

GDP- Purchasing Power Parity: US$90.57 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 62.9%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 2.6%

Contribution of Services Sector in GDP: 34.6% (As of 2010)

Population: 6,420,000 (As of 2010)

Unemployment Rate: 30% (As of 2004)
#1 0. Ethiopia

GDP- Purchasing Power Parity: US$86.12 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 11%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 50%

Contribution of Services Sector in GDP: 39% (As of 2010)

Population: 82,101,998 (As of 2011)

Unemployment Rate: NA%
#1 1. Kenya

GDP- Purchasing Power Parity: US$66.03 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 16%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 22%

Contribution of Services Sector in GDP: 62% (As of 2010)

Population: 41,070,934 (As of 2011)

Unemployment Rate: 40% (As of 2008)
#1 2. Ghana

GDP- Purchasing Power Parity: US$61.97 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 18.6%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 29.9%

Contribution of Services Sector in GDP: 51.4% (As of 2010)

Population: 24,233,431 (As of 2010)

Unemployment Rate: 11% (As of 2000)
#1 3. Tanzania

GDP- Purchasing Power Parity: US$58.44 Billion (As of 2010)

Contribution of Industrial Sector in GDP: 24%

Contribution of Agricultural Sector in GDP: 28.4%

Contribution of Services Sector in GDP: 47.6% (As of 2010)

Population: 43,739,000 (As of 2009)

Unemployment Rate: NA%

Source : Africa's Largest Economies - Top 20 Economies In Africa - TheRichest

Countries Ranked by Military Strength (2014)

Hapa tuko namba 22, sasa sijajua kwamba hawajui tulichonacho au ni kweli sisi wachovu..

African Powers Ranked by Military Strength - 2014
 
Ingekuwa miji ya Pwani ni maskini,mngekimbia bara mkaja Pwani,Dar,Tanga,toka enzi zakuja na gari ya taa moja,mababu zenu wa bara,walikuja Pwani kutafuta maisha,na mpaka nyinyi mnaozaliwa sasa ndoto yake kuja miji ya pwani,Dar,Tanga.Mkishajifunza ustarabu,hamrudi kwenu.

Hata wazungu walitoka bara la ulaya na kwenda USA kutafuta maisha.
 
Ulimuona wapi MTU wa pwani akawa omba omba,Dar wamejaa watu Dodoma,Morogoro,Singida,Mwanza,Shinyanga,wanalala kwenye mabaraza ya wahindi,na watoto wao.Maeneo yote ya bara alikopita mzungu maisha magumu.Ndio mana wabara wengi wanakimbilia mikoa ya Pwani.Dar imeanzishwa na muarabu angalia ilivyo na maendeleo.Na ustaraabu wa wenyeji,na mji ulivyo na bandari nzuri aliyoianzisha muarabu.Lakini miji aliyokuwako mzungu mpaka leo maendeleo hakuna,umaskini wa kutupwa.Miji haikupangika,miundombinu ya ovyo.

Hapa umedanganya Mkuu, ile misusuru na maandamano ya ijumaa kupita kuomba madukani ni watu wa bara kweli ? Au tofauti ni namna ya uombaomba, wa bara wanakuwa barabarani na kila siku wakati wa pwani wao ni madukani siku ya ijumaa
 
Mkoa uliokaliwa na waarabu kwa muda mrefu kuliko yote hapo TZ ni Daresalaam. Mpaka wakatoa na jina la huo mji. Na sehemu ya Pili ni ZANZIBAR!
Nakuuliza. We unaonaje Uchumi wa Hizi sehemu MBILI?

Sasa nenda Singida walikokaa wazungu wa kigalatia uone Vumbi lake.
Unapotanguliza hisia fulani au mahaba ya kitu kwenye kila jambo pengine inaweza kuwa sababu ya kushindwa kupambanua na kujadili mada kwa mapana yake.

Unapozungumzia dar-es-salaam ya leo pamoja na uchumu wake mkubwa kuna maswala kadha wa kadha hauna budi kuyataja kama kichocheo cha uchumi.
Asilimia kubwa ya watu wanao miliki mali na walioinua jiji la dar-es-salaam siyo wazawa ni wakuja ndiyo wenye juhudi zote hizi unazoziona na kuringia jiji la dar-es-salaam.
Kama unahistoria nzuri juu ya wazawa wa dar unaweza kudungua wao mchango wao ni kiasi gani katika hili hasa ukirejea kwenye historia kwa kuangalia wanajuduhi kiasi gani kujituma katika kazi wanahulka ya kazi amalaa.

Nikirudi kwa zanzibar kama ulivyosema nakosa mantiki ya wewe kuilinganisha Singida na Zanzibar hasa ukizingatia Zanzibar ni nchi halafu Singida ni mkoa, kwa hivyo katika hali yoyote ile hauwezi ukalinganisha kiuchumi kati ya nchi na mkoa.
 
kweli wanaotoka Bara wameendelea zaidi kuliko watu wanaotoka Pwani. Ukitembelea huko bara utaona namna wanavo enjoy maisha na maendeleo binafsi:

Maasai_Enkang_and_Hut.JPG Wabara wakiwa katika magorofa yao.

masai.jpg wabara wakiwa na investors wao


wachaga.jpg wabara akiandaa balance diet , mlo wa waloendelea

wachagaf.jpg

wamasai1.jpg wabara wakiwa katika kazi za maendeleo


 
Wanapenda sana shughuli hawa.. Wengi wako radhi wauze mashamba wacheze ngoma...tena kwa siku tatu mfululizo.. Unategemea nini hapo?
 
bahati nzuri nimetembelea sehemu nyingi sana Tz hii,acheni kuwasema watu wa pwani ni masikini,umasikini wa watu wa pwani humkuti mtu kutembea uchi,humkuti mtu analala na mbuzi chumba kimoja,huko mikoani ni mambo ya aibu haswa ukiyaona hayaelezeki hao jamaa wako old stone age. ningekuwa najua kama ningekuja kutoa maoni hapa ningepiga picha nadhani mngeona aibu sana.
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?

Mbona ni vizito sana, wakwere..!! wapo vizuri sana
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?


Umezunguka mikoa yote ukajionea hali halisi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom