Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
kujishughulisha kwao ni kwa vitu vidogo vidogo,uuzaji wa mihogo ya kukaanga,maandazi,barafu etc.bora wapate vijihela vya kula na siyo biashara zinazoweza kuwatoa kimaisha.pia wanaendekeza sana mapenzi

watu wa pwani hawapati nafasi ya kuiba serikalini.
 
we mnyantuzu, hao matajiri wa ardhi wako wapi? kisarawe?mkuranga? tumeshawafukuza wote hapa mjini wanazidi kusogea pembeni karibia wataingia bahari ya hindi ardhi wabara wamekuja kuinunua yooote, hawamiliki kitu, sasaivi hata uende isarawe ni sheeedah kupata ardhi utaambiwa masanja kanunua, mara sijui mnyakyusa gani, mara masai, mara mchaga mara everything. kwani wazaramo wangapi wanamiliki nyumba hapa bongo kama hawajajazana bonde la jangwani magomeni wanasubiri mafuriko? wametuuzia ardhi kwa bei ya kutupa ili wanunue nyama ya ng'ombe wetu.
Weka data,hapa ,najua mbara mengi ndo kanunua mgodi pale tanga.mwingine nani?.
au vile viwanja vya hatua 10 kwa 20 mnavyouziwa kwa milion 50 pale kimara ili mjenge ,mpate pa kulala ndo unasema umechukua ardhi yote?.
taja wafanyabiashara wakubwa wa bara hapo kariakoo.
 
Muulize Nape aliyewauliza kama wanataka katiba wakasema 'hapanaaaaaa' ndo anawajua vizuri,ingawa umaskini upo kila mahali Tanzania hii.
 
watu wa pwani hawapati nafasi ya kuiba serikalini.
Kwani hata wa bara wenye vihela vya kununua walau babywalker ya kupigia misele si ni wale wa TRA labda na wa BOT, wengine hali ngumu tu,kazi kufunga tati na kupiga mkanda nje na kujidai eti wasomi,wana diploma za hotel management.
jumapili haoo mkanda nje hadi kwa mzee upako,kuomba magari.
watu bana.
 
Iringa na tabora napo siku hizi ni pwani?.
dah,jamani mulugo umetuachia janga nchi hii.
au unamaanisha pwani maana yake waislamu?.
hata kama,unataka kusema waislamu hawapendi jeshi na wanapenda kukaa ubavuni mwa mamaz?.
ha ha ha,mambo mengine bana...

Kuna neno la asili ya pwani ni sikusema Tabora na Iringa Ni Pwani!!! weka kichwa sawa....b4 kucoment...!! Don't ever think am product ya Mulugo........!!!!!
 
Kuna neno la asili ya pwani ni sikusema Tabora na Iringa Ni Pwani!!! weka kichwa sawa....b4 kucoment...!! Don't ever think am product ya Mulugo........!!!!!
Bara yote ni maskini wa kutupwa,kama bara ni matajiri wasingekimbilia Mikoa ya Pwani.
 
Kuna neno la asili ya pwani ni sikusema Tabora na Iringa Ni Pwani!!! weka kichwa sawa....b4 kucoment...!! Don't ever think am product ya Mulugo........!!!!!
Haya twende polepole hapa...hao wenyeji wa tabora na iringa wenye asili ya pwani ndo wapi hao?.

au unamaanisha waislamu?.
 
Bara yote ni maskini wa kutupwa,kama bara ni matajiri wasingekimbilia Mikoa ya Pwani.
Si mimi nawambia hawaelewi,mimi mwenyewe ni mnyantuzu pure,natoka bara,na nimetoka bara kuja pwani kusaka opportunities,huko bara hali ngumu sana,yaani huko ukiwa na kisuzuki vitara wewe ni tajiri mkubwa,na jamii inayokuzunguka inakuheshimu.
 
Gahawa na Magenge hayatoi, Uswahili mwingi Pwanu
 
Cdhani km ni kweli pwani ni tajiri zaidi ya tabora au singida.... Jaribu kuvisit lindi, mtwara, tanga pangani ndio utajua unachomaanisha kumbe sicho


🙏🙏🙏🙏

Utakuwa na mtindio wa Ubongo na au hujatembea umekaa kusimuliwa tu. Mkoa wa Mtwara hata per capita iko vizuri isipokuwa wilaya ya Mtwara Vijijin tu. Mkoa wa Tanga nao uko vizuri sana kuanzia Jiji, Lushoto na Korogwe. Ni mburula pekee atakuja kudanganya watu kuwa pwani yote imechoka. Huu ni uzushi mkubwa. Hebu tutajie mikoa ya bara kama Katavi, Iringa, Manyara, Rukwa, Dodoma, Singida, Kagera, Mara, Shinyanga kutaja baadhi inazidi nini mkoa wa Mtwara achilia mbali mkoa wa Tanga? Acha uongo. Ingekuwa hatujatembea sawa, lakini kila mkoa ukienda vijijini hali ni mbaya tena sana.
 
Kwa jibu ya swali lako hebu soma kitabu cha Why Nations Fail? Utajua ni kwanini kwa mfano marekani ni jirani ya mexico lakini hali zao ki-uchumi ni tofauti. Au kwanini Korea ilikuwa nchi moja lakini North Korea ni hoi kiuchumi kuliko South Korea, etc
 
shika adabu yako kunguru mawe.ukabila hatuhutaki humu.kwani ardhi ya Tanzania ni ya babu yako peke yake?
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?

Tembea nchi nzima kwanza kabla hujaandika ujinga huu. Watanzania asimilia 80% tuna matatizo ya umaskini na hapa nimetumia vipimo vya basic needs (food,shelter and clothes) hujaweka elimu, afya na mambo kibao binadamu ana haki ya kupata. Acheni kuleta thread za majungu na ubaguzi kwa watu wa kanda fulani au dini fulani kujifurahisha. Siyo fresh.
 
nakuunga mkono.. WILE
 
Last edited by a moderator:
mleta uzi huu unaposema watu wa pwani hawafanyi kazi bado hujaelezea kwa undani zadi....yaani hawafanyi kazi kivipi? maana pwani kubwa bagamoyo, mafia, rufiji hozo sehemi zote wanasofika kwa shuguli kubwa zinazofanyika kutoka huko
 
mleta uzi huu unaposema watu wa pwani hawafanyi kazi bado hujaelezea kwa undani zadi....yaani hawafanyi kazi kivipi? maana pwani kubwa bagamoyo, mafia, rufiji hozo sehemi zote wanasofika kwa shuguli kubwa zinazofanyika kutoka huko

hebu rudia kusoma huo uzi tena wapi niliposema hawafanyi kazi?
 
umesema watu wa pwani kwanini ni maskini! hebu funguka zaidi kuhusu umaskini wao......chief

mkuu kama unaweza kusoma katikati ya mistari basi nadhani utakuwa umeelewa nilikuwa namaanisha nini katika kuelezea huo umasikini wao haina haja ya kurudia mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom