Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

Status
Not open for further replies.
Hebu linganisha mtwara na simiyu.
au mpanda na tanga.
hapo utasema wahamiaji ndo wameendeleza,sasa kwanini wasiendeleze kwao?.
na hao wahamiaji waliondeleza dar ni kina nani hebu weka orodha tufanye tathimini.
Sina muda wa kwendeleza ubishani usiokuwa na mantiki, kwa mwenye akilia atakuwa amenielwa nilichokiandika.
 
Umaskin wa kiuchumi ni matokeo ya umaskini wa mawazo,fikra,maarifa na akili kwa ujumla wake.Pwani ndio kwenye watoto wanao zaa watoto;wasio maliza darasa la saba; wafuasi watiifu wa vigodor;Watu wanaoridhika kwa maneno tu (Na hawa ndio mtaji wa maccm).UNA HAKI YA KIKATIBA KUKATAA AU KUKUBALI,ILA HUNA HAKI KUBADILISHA UKWELI
 
Vipi nasie wa bara tunaokwenda kulima shambani tukiwa uchi wa mnyama bila kujali yupo binti,kaka mtu,baba na mama ili eti tupate mavuno tani 10 kwa robo heka iliyolimwa kwa jembe la mkono?.
hao mahousgail toka iringa wanaokuja kufanya kazi dar kwa maelfu nao ni watu wa pwani?
 
Wamisionary walikopita walieneza elimu jiulize huko unakotaja kiwango cha elimu kikoje kwa wazaliwa.kazi unaweza kufanya lakini maarifa kidogo na tija ni ndogo

watu wa pwani hawana elimu ila sio masikini. dodoma, kigoma, singida, ruvuma n.k kote kunanuka umasikini na tz yote kwa ujumla. Relatively nchi yote tupo sawa kiuchumi tatizo watu wa pwani wengi hawajakwenda shule
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?

Wachaga wakipata fedha wanajenga mijengo ila wenzangu wapwani wao ni papuchi na majini.
 
watu wa pwani hawana elimu ila sio masikini. dodoma, kigoma, singida, ruvuma n.k kote kunanuka umasikini na tz yote kwa ujumla. Relatively nchi yote tupo sawa kiuchumi tatizo watu wa pwani wengi hawajakwenda shule

Shule kila mtu anaenda.
Labda kama una maana ya kuongea ki english as wabara wengi wanadhani kuingea ki english ndo kusoma.
Lakini wabara wengi ndo omba omba mjini.
Tena siku za ijumaa watavaa hejabu na jumapili msalaba mkubwa
Zamani wakikamatwa kurejeshwa kwao bara wakalime.
Watu wa pwani na ustarab wao umewavutia wabara kuhamia kwa wingi na mpaka leo mbara mwenzao alitaka kuhamisha mji mkuu huko bara lakini imebaki kwenye nyimbo tu wamengangania hapa hapa
 
Watu mnaleta udini,utamaduni kwamba ndio chanzo cha umasikin wa pwani.

Kwanza tusahihishane hapa, PWANI YOTE SIO MASIKINI. Point ni hii watu wengi wa pwani hawajakwenda shule tu ila sio masikini. Umasikini upo Tz yote, mikoa ya bara kama singida, rukwa,kagera,ruvuma,iringa ni masikini tu na kiuhalisia Tz yote ni masikini. Suala la utamadun halina mantiki maana huko bara kuna mambo ya ajabu sana.

Mimi nimetembea mikoa mingi Tz najua hali ya uchumi wa watu wa vijijin. Wewe umehamia kimara mwaka jana unamcheka wa bugurun masikin kumbuka kuwa wale ndugu zako walio masikin kule kijijin kwenu si wanaendelea kuish palepale miaka na miaka, sasa ulitaka mtu wa mbagala, temeke, bugurun, gongo la mboto, kigogo n.k aende wapi wakati pale ndio kijijin kwao na ile ndio hali yake kiuchumi kama wale ndugu zako kijijin kwenu.

Ndio maana ukienda maeneo tajwa hapo juu utakuta nyumba za miaka ya zamani tangu ukolon sababu tangu zaman wanakaa hapo yaani hapo ndio kijijin kwao. Mwaka 1973 manzese ilikua makaz ya watu lkn eneo kilipo kiwanda cha urafiki lilikua mashamba ya minaz na mikorosho just imagine wale wa manzese tangu 1973 unadhan kijiji chao wapi kama sio palepale. Kukaa bonyokwa kimara maeneo ya miliman kule, mwenge,mbezi n.k isiwe sababu bcoz maeneo hayo yanakaliwa na watu waliosoma na wana vipato vizuri. Kamlete yule mjomba wako wa Isimani uone kama ana uwezo wa kukaa mbezi.

Suala hapa walikosa elimu watu wa pwani sababu hawakuithamin elimu hii ya mkoloni lakin wachache walisoma pia wana maisha mazuri na sio masikin na wanaish huko huko wanakoish akina masanja, mwaigomole, mihayo, nkya, mndeme n.k. Ndio maana ukimuona mtu wa bara asiye na elimu na kipato hana utamuonea huruma namna anavyoishi.

Nenda Moshi uone wakina mama na ndizi kichwani kilometa kadhaa on feet to town looking for their incomes. Tanzania yote masikini tu hasa huko vijijin. Wabara Wachache mlio mjini msiwadharau wa mliowakuta hapa mjini maskin na kuwabeza hapa ndio kijijin kwao. ibada ya swala tano sio kigezo cha kuwa masikin- nchi za kiarabu mbona tajiri na wanaswali kuliko hao watu wa pwani(mwenye point hii hakua na logic) au kuoa mitala na kuzaa watoto wengi nako ni sababu?

Wasukuma wanafamilia kubwa kubwa sana tu na Wakurya wanaoa wanawake wengi tena zaid ya waislamu wa pwani na wanafamilia kubwa sana tu na wao masikini sababu ni nn?
Msilete udini na ukanda hapa

MTOA MADA UNGEJIULIZA KWANINI VIJIJIN KUNA UMASIKINI ULIOKITHIRI nafikir ungepata majibu mazuri, hapa watu wanaleta udini na ukanda.
 
Shule kila mtu anaenda.
Labda kama una maana ya kuongea ki english as wabara wengi wanadhani kuingea ki english ndo kusoma.
Lakini wabara wengi ndo omba omba mjini.
Tena siku za ijumaa watavaa hejabu na jumapili msalaba mkubwa
Zamani wakikamatwa kurejeshwa kwao bara wakalime.
Watu wa pwani na ustarab wao umewavutia wabara kuhamia kwa wingi na mpaka leo mbara mwenzao alitaka kuhamisha mji mkuu huko bara lakini imebaki kwenye nyimbo tu wamengangania hapa hapa

hivi unajua watu wa pwani ambao wengi ni waislamu enzi hizo walikua hawapelek watoto shule kwa kuhofia watabadilishwa dini sababu shule zilikua zinamilikiwa na wamisionari. Na ushahidi upo
 
mleta mada huu naona mambo yashaharibika humu naona udini ushaingizwa humu........ mutant gene
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada inaonyesha umekuja mjini juzi juzi, na umeshasahau ndugu zako huko kijijini, kwasababu mi nimebahatika kusafiri na kufanya kazi mikoani kwakweli huwezi kulinganisha hata chembe na vijiji vya mikoa ya pwani
 
Mkulima wa Lindi anapovuna mazao yake kitu cha kwanza anachofikiri ni kuuza mazao yake yote na kumiliki pesa mkononi bila kuweka akiba ya chakula ndani & kuongeza mke wa3,nimetembelea Singida wakulima wengi sana takriban 85% wanaweka akiba ya chakula kwa mwaka mzima hadi watakapovuna mazao ya msimu unaofuata,mazao yanayoshambuliwa haraka na wadudu huyauza kiasi na mengine huyatumia kwa chakula.Ila Pwani elimu bado tatizo wengi hawawezi kwenda mabadiliko ya kimtazamo wa maisha ya sasa.
 
Watu mnaleta udini,utamaduni kwamba ndio chanzo cha umasikin wa pwani. Kwanza tusahihishane hapa, PWANI YOTE SIO MASIKINI. Point ni hii watu wengi wa pwani hawajakwenda shule tu ila sio masikini. Umasikini upo Tz yote, mikoa ya bara kama singida, rukwa,kagera,ruvuma,iringa ni masikini tu na kiuhalisia Tz yote ni masikini. Suala la utamadun halina mantiki maana huko bara kuna mambo ya ajabu sana. Mimi nimetembea mikoa mingi Tz najua hali ya uchumi wa watu wa vijijin. Wewe umehamia kimara mwaka jana unamcheka wa bugurun masikin kumbuka kuwa wale ndugu zako walio masikin kule kijijin kwenu si wanaendelea kuish palepale miaka na miaka, sasa ulitaka mtu wa mbagala, temeke, bugurun, gongo la mboto, kigogo n.k aende wapi wakati pale ndio kijijin kwao na ile ndio hali yake kiuchumi kama wale ndugu zako kijijin kwenu. Ndio maana ukienda maeneo tajwa hapo juu utakuta nyumba za miaka ya zamani tangu ukolon sababu tangu zaman wanakaa hapo yaani hapo ndio kijijin kwao. Mwaka 1973 manzese ilikua makaz ya watu lkn eneo kilipo kiwanda cha urafiki lilikua mashamba ya minaz na mikorosho just imagine wale wa manzese tangu 1973 unadhan kijiji chao wapi kama sio palepale. Kukaa bonyokwa kimara maeneo ya miliman kule, mwenge,mbezi n.k isiwe sababu bcoz maeneo hayo yanakaliwa na watu waliosoma na wana vipato vizuri. Kamlete yule mjomba wako wa Isimani uone kama ana uwezo wa kukaa mbezi. Suala hapa walikosa elimu watu wa pwani sababu hawakuithamin elimu hii ya mkoloni lakin wachache walisoma pia wana maisha mazuri na sio masikin na wanaish huko huko wanakoish akina masanja, mwaigomole, mihayo, nkya, mndeme n.k. Ndio maana ukimuona mtu wa bara asiye na elimu na kipato hana utamuonea huruma namna anavyoishi. Nenda Moshi uone wakina mama na ndizi kichwani kilometa kadhaa on feet to town looking for their incomes. Tanzania yote masikini tu hasa huko vijijin. Wabara Wachache mlio mjini msiwadharau wa mliowakuta hapa mjini maskin na kuwabeza hapa ndio kijijin kwao. ibada ya swala tano sio kigezo cha kuwa masikin- nchi za kiarabu mbona tajiri na wanaswali kuliko hao watu wa pwani(mwenye point hii hakua na logic) au kuoa mitala na kuzaa watoto wengi nako ni sababu? Wasukuma wanafamilia kubwa kubwa sana tu na Wakurya wanaoa wanawake wengi tena zaid ya waislamu wa pwani na wanafamilia kubwa sana tu na wao masikini sababu ni nn?
Msilete udini na ukanda hapa
MTOA MADA UNGEJIULIZA KWANINI VIJIJIN KUNA UMASIKINI ULIOKITHIRI nafikir ungepata majibu mazuri, hapa watu wanaleta udini na ukanda.....nyambaf
Am out, leave ur comment. ciao

nakuunga mkono asilimia 1000, mleta mada uzi huu angesema na kuonesha sababu kwanini pwanI nI maakini...labda mleta uzi huu hajatembelea maneneo ya pwani ajioneee ila labda cha kumwambia pwanI bado fursa zipo ni za kuwahi......tatizo jf wanapenda sana kugeuza mada iingie ktk udini si wakristo si waislam
 
Mkulima wa Lindi anapovuna mazao yake kitu cha kwanza anachofikiri ni kuuza mazao yake yote na kumiliki pesa mkononi bila kuweka akiba ya chakula ndani & kuongeza mke wa3,nimetembelea Singida wakulima wengi sana takriban 85% wanaweka akiba ya chakula kwa mwaka mzima hadi watakapovuna mazao ya msimu unaofuata,mazao yanayoshambuliwa haraka na wadudu huyauza kiasi na mengine huyatumia kwa chakula.Ila Pwani elimu bado tatizo wengi hawawezi kwenda mabadiliko ya kimtazamo wa maisha ya sasa.

hata dodoma wakulima wanakulaaa mpaka mbegu siyo lindi pekeee hata morogoro kuna wakati nishawaona wakulimaa wanafanya hivyo....
 
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.

Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?

Kutokuwa na elimu tosha, kucheza bao, umbea, kuoa wanawake wengi pasipo uwezo, kujifanya ma-alwatan bila sababu.
 
nendeni basi nyie pwani huko mkakamate fursa mpainue mlete maendeleo!
 
Hivi wabara wangapi wapo hapa mjini wanaajiri zaidi ya watu 50? Hata 10 hawafiki.
Wabara wangapi wanamiliki viwanda kule pugu road ?
Au changombe au mikocheni industrial areas?
Wangapi wana miliki ma bank ?
Wangapi wanamiliki makampuni ya bima?
Wangapi wanamiliki makampuni ya utalii?
Wangapi wana mahoteli ? (Labda guest house za short time)
Wangapi wana construction company?
Wangapi ni biggest real estate developers?
Hizo ndio sehemu muhimu za uchumi...sasa mjipime
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom