crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Mkuu wabara ni watu wa wapi?
ni opposite ya wapwani.
Anyway the whole idea to my post ni kumjibu mleta mada ya kuwa watanzania wote ni maskini bado nchii hii tuna safari ndefu kufikia maendeleo ya kweli ya kuondokana na umaskini . hakuna cha pwani wala bara wote ni hali moja.
Anaefikiri wanaotoka sehemu fulani katika nchi wameendelea uwezo wake mdogo sana.
kila sehemu kuna waloendelea walosoma na wasasa..lakini hawa ni wachache sana na chini ya asilimia 5 ya watanzania
45m .
nchi zilizoendelea hauwezi kuona tofauti kati ya watu waishio mijini na wale wa country side.tuna safari ndefu kufika huko