Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,294
- 7,727
nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao wanapigwa tu.
nimeshangaa influencer mmoja anaitwa niffer nimemuona akichangisha watu kuhusu miss grand kwanza sikujua miss grand ni nini? wabongo wamekomaa kutuma hela ikafika zaidi ya million 700, plus engagement ya kutosha wamepata wale waandaaji, nimefaatilia data mshindi hapati zaidi ya million 100, ni mwendo wa kupigwa tu.
michango ya rest kumnunulia gari yule muimba mziki upendo nkone kwanza hawakuambiwa imechangwa shingapi ni kupigwa kila kona.
sasaivi wameibuka content creator wa kilimo na nafaka wanaandaa seminar, warsha mbalimbali kwa kuwapiga wajinga, wanaunda magroup whatsapp wanalipisha kiingilio kujifunza kilimo, ndio mara ya kwanza naona kilimo kinalimwa whatsap.
subirini nipo naandaa project ya kuwapiga hachomoki mtu, ukiitwa kwenye fursa wewe ndio fursa yenyewe.