Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Weupe wako unawazuzua!
 
Sijawahi kukuamini sijui kwanini,
 
Maisha bwana! Wakati mimi nikiwa seriously kuomba msaada wa hata buku kisa me dume bc wananiona fala tu, but kuna mwingine anawatest tu wamtumie hela but n KE basi wamejitoa kweli kweli.
So sad, mwanaume kusaidia mwanaume mwenzake ni kazi but kusaidia mwanamke ni mwepesi sana. Right now mwanaume ukiwa na shida mtumie mwanamke kuexpress shida yako as if ni yake, trust me atasaidiwa sana but like ungetumia identity yako mwanaume.

But utofauti, ni mwanamke kumsaidia mwanamke mwenzake yupo easy sana, huwa hawajari kama wanao uwezo wa kusaidia, na siyo mwanamke mwenzake tu but hata kwa wanaume huwa wanasaidia wakiguswa na shida iliyoelezewa.
But niseme tu, kumsaidia mtu si cases ili mradi umeguswa, kwa maana huwezi kujua nani atakaye kusaidia kesho. Huwezi jua kabisa, narudia huwezi kujua kabisaaa.
My respect kwa sam2000 popote ilipo. Bro I respect you forever.
Saidia, saidia jamaa saidia.
Watoto yatima saidia,
Chokola saidia,
Wasio jiweza saidia
Siyo kisa pisikali tu ndo usaidie.
[emoji25][emoji25][emoji25]
Nyie si mnasemaga wanawake hatupendani... wanaume mnapendana sana
 
Una ujasiri umeweza kutoa no? Aisee hakuna kitu naogopa kama kumpa no yangu mtu wa mitandaon hasa jf wasiojulikana
Unaweza Hakiwa...ukakoma

Ila Mimi Wala siogopi....Sina makando kando....Wala sina Muda wakutukanana na serekali..
Ila.mtu akijisikia kunijak TU afurahishe nafsi yake....Aendelee tu
 
Ni kwa sababu wanazo pesa za kutosha pesa zao sio za mawazo mawazo
 
Nyie si mnasemaga wanawake hatupendani... wanaume mnapendana sana
Sijui lakini, ila kwangu mimi nawapa 86% wanawake but wanaume 46%, huu ni ukweli wangu na hauwezi kuwa right kwa mwingine maana kila mmoja na ukweli wake😁
 
Ili Samsung unayo bdo?
Asante mkuu una kumbukumbu. Bado ipo mkuu, hii cm cjui imelogwa isiuzike ili chamoto nikioneee?😆 right nw nipo bush kwetu kuna kimsiba kilitokea ck nne zilizopita, sasa nawaza narudije kuleee, nauli hakuna😁, bi mkubwa hali n ngumu na yeye hadi mahind hajamaliza palizi ya mwisho. Moyo unaniambia cjui niuze vitu vya kule vyote niendelee tu kuishi huko home au la! Mana huku angalau milo yote naipata ila kule ni mlo mmoja tu.
Maza anasema mbona umekonda ghafla hivo nimemdanganya, itakuwa ni mazingira yamenikataa😄😄😄😄,
Haya maisha mkuu! we acha tu🤣
 
Unaweza Hakiwa...ukakoma

Ila Mimi Wala siogopi....Sina makando kando....Wala sina Muda wakutukanana na serekali..
Ila.mtu akijisikia kunijak TU afurahishe nafsi yake....Aendelee tu
Basi tuko tofauti mm mwaka wa 7 niko humu na sina lolote baya la kunifanya nisikutane na mtu ila siwezi et nijikute zaid ya mtu mmoja jf ananijuwa? Hapana 😀😀
 
Back
Top Bottom