Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

We hela wanakutumia kwa njia gani?
Wapi wananitumia? Wa humu ama wa nje ya jf tunaojuana?

Kama unamaanisha wa humu hilo halitokaa litokee. Staki kabisa mawasiliano na mtu wa jf.

Tunaojuwa nje ya jf wanatuma mpesa kama kawaisa coz tunajuana ila jf nooooooo
 
Basi tuko tofauti mm mwaka wa 7 niko humu na sina lolote baya la kunifanya nisikutane na mtu ila siwezi et nijikute zaid ya mtu mmoja jf ananijuwa? Hapana 😀😀
Dada naomba nikumit..itakuwa Siri yangu Mimi tu😀
 
Kuna kipande hujamalizia sema wa jamii forum baada ya kuvuruga papuchi wanaacha kibunda kirefu kiliko hao wengine. Mi nimekuelewa mada ipo kifasihi sana hahaha .
 
Hakuna aliyemtumia hata sent labda walimwahidi tu akadhani ndo ametumiwa, nani akupe hela eti kwa sbb tu kaona image yako hapo thubutu!!!
 
Kama bado unaendelea na utafiti, weka namba yako tuendelee kutupia. Pesa ngumu Instagram sio JF.
 
wengine ni wapelelezi mshukuru MUNGU nyuzi na comment zako zinaunga mkono JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA 5
 
wengine ni wapelelezi mshukuru MUNGU nyuzi na comment zako zinaunga mkono JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA 5
Aisee mkurya upo right Sana...nishawai Hakiwa na mtu.... Nadhani mpaka leo atakuwa anaona mawasiliano yangu..m

Nilishangaa Sana...watu wanatafuta kupanda vyeo... So wakiwapata wanao tusi awamu ya Tano...kwao Ni neema
 
Back
Top Bottom